Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Safari Tayari Mkuu
Yupo Taiwan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safari Tayari Mkuu
Wanajijambisha tu kuwapa furaha wamarekani wa tandale. Hakuna safari hapo kwani akienda na ndege ha jeshi ndio hawezi kushambuliwa?? Pro USA siku hizi imekuwa mijinga sana kwasababu ya PutinSerikali ya Marekani kupitia msemaji wa Ikulu, imesema kuwa haiogopi, wala haitafuata maelekezo ya China.
Pia China haipaswi kujawa gadhabu kwa ziara ya Spika wa Bunge, kwani Marekani kjna mgawanyo wa Madaraka na Serikali haiwezi ingilia maamuzi ya Spika
Spika wa Marekani atasafiri kwa ndege ya jeshi, na jeshi la Marekani na serikali imesema itahakikisha usalama wa Nancy wakati wa kutua na kupaa, na akiwepo Taiwan.
Pia imesema kuwa inategemea China kugadhabishwa na kujaribu fanya lolote.
Imesema itaendelea kufanya mawasiliano na China ila Nancy hatazuiwa kwenda Taiwan
Je, nini kimebadilika ghafla, maana kwenye ratiba Taiwan haikuwepo, ila imekuja ghafla badala ya kwenda South Korea kutokea Singapore, ataenda kulala Taiwan.
Ya kwenda wapi? Labda SINGAPORE, 🤣🤣 Marekani inajiabisha sana kwa kuutaka usupa pawa for nothingSafari Tayari Mkuu
Pelosi atatua Taiwan....Wanajijambisha tu kuwapa furaha wamarekani wa tandale. Hakuna safari hapo kwani akienda na ndege ha jeshi ndio hawezi kushambuliwa?? Pro USA siku hizi imekuwa mijinga sana kwasababu ya Putin
Imesema itaendelea kufanya mawasiliano na China ila Nancy hatazuiwa kwenda Taiwan
Marekani amebobea sana kwenye masuala ya international terrorismDu Marekani kazidi ubabe
Mkija kubutuliwa msirudi hapa na kulialia eti mbona anatumia nguvu kubwa kuliko adui yake.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwanamme ameshasema Sasa hao macho madogo wafanye wanachoona wanaweza waonyweshwe shughuli.
Tuone bibi akienda hukoKuna mijamaa ilijishaua sana huku niliwaambia mmareksni haogopi vitisho ,waliponda sana haya sasa tuone mchina atafanya nn
Thubutu. Marekani aibu nyingine anajitengenezea mwenyewe. Naona upo kwenye ndoto. Angalia usijikojolee tuPelosi atatua Taiwan....
Marekani ni aina ya mataifa yanayostawi kwenye mizozo na vita; bila chokochoko huko nje, mle ndani huwa hapakaliko.Kuna watu hawapendi amani kabisa!
China hawezi kuishambulia hata ingekuwa spika wa china, Marekani asingeweza kuishambulia ndege yake. Mara zote uwa kuna mstari ambao hauvukwi kirahisi hata kwenye migogoro[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwanamme ameshasema Sasa hao macho madogo wafanye wanachoona wanaweza waonyweshwe shughuli.
Halafu alikuwa anasomea the best and the most expensive school hapa nchini.Rudisha ada za wazazi wako.
Ndiyo tujifunze kujitegemea. Kwani sie tutakua lini?Katika mgogoro ambao utaigharimu Afrika basi ni huu. Maisha yetu ya kila siku yanategemea bidhaa za China kwa kiasi kikubwa. Imagine China awekewe vikwqzo vya kiuchumi kama alivowekewa urusi walahi Africa itaangamia.
Bara hili limekosa viongozi wenye uthubutu Wanachojua wao ni ufisadi na kuomba omba kwa wakubwa, Ndio mana kina Makroni wanatutukana mbele ya wake zetu Tena nyumbani kwetu dadeki
Waache tupumzike shida tulizonazo na hii vita ya Russia tu inatosha wasituletee majanga tena watatumaliza na njaa hivi hawa wanatafuta nini hasa? sisi badala ya kuwaangalia wao kama mifano mizuri kwamba mambo ya vita ya miaka 40 huko wameshavuka wanakimbizana na maendeleo leo wao ndio wamekuwa shida ya dunia hii. Kama kuna kitu kitatokea baina ya nchi mbili hizi basi ni janga kubwa duniani sote tunajuwa utegemezi wetu kwa China na hili litaleta shida zaidi huko Russia na Ukraine. Huyu mama anataka nini?Huku ukraine VS Russia kule nako USA&Taiwan VS CHINA and soon kinawaka Israel VS IRAN [emoji23][emoji23][emoji23].
Kwa hakika madhara mtayapata huku wanachi wa MADONGOKUINAMA afrika pale mfumuko wa bei utakapo panda na uhadimu wa bidhaa utakapokuwa kwa kasi MAAJABU HAYA.
Hapo ndipo tutapata akili za kujitegemea na hivi tunaongozwa na viongozi wapumbavu basi tujiandae kisaikolojia, yajayo hayafurahishi.
Waafrika tungekuwa na akili timamu basi tungengana kupinga sana migogoro ya hao mabwana maana watakaoumia sana ni sisi wazee wa kupokea misaada na kila aina ya takataka zao huko.
Kuna wengine humu mpka wamejipa makundi ya utetezi lkn tujue hii level ya kushangilia migogoro haikupasa tuifikie mpaka pale tutakapoweza kujitegemea.
Huko mbeleni wengi mtapoteza kazi, mtapoteza biashara zenu, mitaji yenu , Mark this yajayo hayafurahishi tujiandae tu
Inategea na situation, mtu ameshakukataa mapema peupe hakutaki umtembelee. Huwaga hakjna safari za kulazimisha kama hii ya sasaChina hawezi kuishambulia hata ingekuwa spika wa china, Marekani asingeweza kuishambulia ndege yake. Mara zote uwa kuna mstari ambao hauvukwi kirahisi hata kwenye migogoro