Waache tupumzike shida tulizonazo na hii vita ya Russia tu inatosha wasituletee majanga tena watatumaliza na njaa hivi hawa wanatafuta nini hasa? sisi badala ya kuwaangalia wao kama mifano mizuri kwamba mambo ya vita ya miaka 40 huko wameshavuka wanakimbizana na maendeleo leo wao ndio wamekuwa shida ya dunia hii. Kama kuna kitu kitatokea baina ya nchi mbili hizi basi ni janga kubwa duniani sote tunajuwa utegemezi wetu kwa China na hili litaleta shida zaidi huko Russia na Ukraine. Huyu mama anataka nini?