OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Mkuu wavaa kobazi wamekumind kinyama 😂😂😂🤣🤣Nawe unavaa kobazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wavaa kobazi wamekumind kinyama 😂😂😂🤣🤣Nawe unavaa kobazi?
... tena salama salimini; ole wao apige hata chafya!Pelosi atatua Taiwan....
... sana sana atakachofanya China baada ya Nancy kuondoka ni kurusha ndege mbili tatu za kijeshi juu ya anga la Taiwan kama Tanganyika ifanyavyo juu ya Zanzibar halafu mchezo unakuwa umeishia hapo!Je China ipo tayari kuendelea kuwa mnyonge mbele ya US?? China ana mipango gani?? Je kuna vita inakwenda kutokea??
China sio wajinga mpaka kukataza ziara ya pelosi kwenda Taiwan lazima kuna jambo la siri. Tuendelee kusubir tuone nani atakua kidume.
Fuatilia habari.Anatua wapi? Kwanza toa maelezo uweleweke
Vijana wa "mnyanzi mungu" mna taabu kweli.Anatua wapi? Kwanza toa maelezo uweleweke
Kuna muvi walicheza kuhusu hii dhanaMarekani ni aina ya mataifa yanayostawi kwenye mizozo na vita; bila chokochoko huko nje, mle ndani huwa hapakaliko.
They are trying to distract themselves from internal problems
Una akili za kitoto sana,ww unafikiri wamarekani wanatupenda sana nin[emoji848],yaan wanataman wangebaki hata wenyeweHataenda Taiwan si kwa woga ila kwa kuepuka madhara yake kwa dunia
Ukiwaza short term unaona kama ni madharaKatika mgogoro ambao utaigharimu Afrika basi ni huu. Maisha yetu ya kila siku yanategemea bidhaa za China kwa kiasi kikubwa. Imagine China awekewe vikwqzo vya kiuchumi kama alivowekewa urusi walahi Africa itaangamia.
Bara hili limekosa viongozi wenye uthubutu Wanachojua wao ni ufisadi na kuomba omba kwa wakubwa, Ndio mana kina Makroni wanatutukana mbele ya wake zetu Tena nyumbani kwetu dadeki
Ndioooooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwanamme ameshasema Sasa hao macho madogo wafanye wanachoona wanaweza waonyweshwe shughuli.
Sheikh mbona matusi tena?Wavaa kobazi wameingiaje mbona una chuki za kithenge sana pambana na hoja usitaje watu fulani kwani ukimtaja baba ako au mama ako Kuna shida gani mpaka utaje wavaa kobazi
Kwa hiyo Marekani ndiye mwamuzi wa nchi zingine? Mbona Russia anapoivamia Ukraine, wanasema yenyewe ni sovereign state?Hii issue ya Pelosi kwenda Taiwan ni kumpa adhabu China kwa ku-support Urusi kwa kukiuka vikwazo vyote vya Marekani na kuongeza biashara maradufu na Urusi kwa kununua mafuta na gas zaidi hata kabla ya vikwazo.
Download the applicationRT NewsHii issue ya Pelosi kwenda Taiwan ni kumpa adhabu China kwa ku-support Urusi kwa kukiuka vikwazo vyote vya Marekani na kuongeza biashara maradufu na Urusi kwa kununua mafuta na gas zaidi hata kabla ya vikwazo.
Pia China na Russia kujipanga kuiondoa Dollar kwenye biashara Kati Yao, USA ana hasira na China.
Wamarekani wababe sana aiseeSerikali ya Marekani kupitia msemaji wa Ikulu, imesema kuwa haiogopi, wala haitafuata maelekezo ya China...
Kwahiyo wewe ndio unawapenda mkuu. Hii dunia inaendeshwa katika mfumo wa mwenye nguvu ndio mlaji wewe. Unafikir hata kama ungekuwa wewe usingefanya anayofanya mkuu.Una akili za kitoto sana,ww unafikiri wamarekani wanatupenda sana nin[emoji848],yaan wanataman wangebaki hata wenyewe