Marekani kuhakikisha Pelosi anatua salama Taiwan

Zaidi ya watu 200,000 wanaifuatilia ndege iliyombeba Nancy Pelosi kuelekea Taiwan
Ndege hiyo yenye Namba SPAR19 imilikiwayo na USAF

Hii imevunja rekodiii
20220802_121520.jpg
 
Anaona aibu kuback off watamwona kaogopa, kwenda pia hana hakika na yajayo, basi yuko njia panda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asipokwenda itakuwa aibu sana na akienda itakuwa aibu kubwa Sana Kwa china ,

I bet Nancy haendi china Hawawezi kukubali huo ujinga Endapo wakikubali basi wajue fika kuwa ndio watakuwa wameikosa Taiwan jumla
 
Hii issue ya Pelosi kwenda Taiwan ni kumpa adhabu China kwa ku-support Urusi kwa kukiuka vikwazo vyote vya Marekani na kuongeza biashara maradufu na Urusi kwa kununua mafuta na gas zaidi hata kabla ya vikwazo.

Pia China na Russia kujipanga kuiondoa Dollar kwenye biashara Kati Yao, USA ana hasira na China.
USA wanatapa tapa tu watajua hawajui tuone Sasa huyo Nancy akienda tumeshachoka matamko
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asipokwenda itakuwa aibu sana na akienda itakuwa aibu kubwa Sana Kwa china ,

I bet Nancy haendi china Hawawezi kukubali huo ujinga Endapo wakikubali basi wajue fika kuwa ndio watakuwa wameikosa Taiwan jumla
Marekani Biden aliogopa kuingia kwa Nancy Taiwan, hatujui kimetokea nini hadi imebadilika
 
Wasipokwenda lazima watapoteza ushawishi wa kisiasa na upepo utazidi kuhamia Kwa Russia na china so hii safari ni muhimu kwao ktk kurejesha nguvu ya ushawishi.

Na ni muhimu Kwa china kuizuia Ili waweze kujitangaza Zaidi kimataifa kuwa wao ni wababe wapya Duniani kama ilivyo Kwa Russia now
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asipokwenda itakuwa aibu sana na akienda itakuwa aibu kubwa Sana Kwa china ,

I bet Nancy haendi china Hawawezi kukubali huo ujinga Endapo wakikubali basi wajue fika kuwa ndio watakuwa wameikosa Taiwan jumla
Yani hapa patamu sana.... Ngoja tusubiri tuone hili policha
 
Wasipokwenda lazima watapoteza ushawishi wa kisiasa na upepo utazidi kuhamia Kwa Russia na china so hii safari ni muhimu kwao ktk kurejesha nguvu ya ushawishi.

Na ni muhimu Kwa china kuizuia Ili waweze kujitangaza Zaidi kimataifa kuwa wao ni wababe wapya Duniani kama ilivyo Kwa Russia now
Marekani keshaapa ataingia Taiwan na washirika wake wamesema watamsaidia Taiwan
 
Kwa hiyo Marekani ndiye mwamuzi wa nchi zingine? Mbona Russia anapoivamia Ukraine, wanasema yenyewe ni sovereign state?

US ndiye chanzo cha ugaidi duniani

USA anajiona Yuko juu ya Sheria, mikataba, taratibu, makubaliano yoyote kwenye hii dunia hayamhusu.

USA anajiona kama Mungu wa dunia hii.
 
Back
Top Bottom