Marekani kuhakikisha Pelosi anatua salama Taiwan

Marekani kuhakikisha Pelosi anatua salama Taiwan

Wasipokwenda lazima watapoteza ushawishi wa kisiasa na upepo utazidi kuhamia Kwa Russia na china so hii safari ni muhimu kwao ktk kurejesha nguvu ya ushawishi.

Na ni muhimu Kwa china kuizuia Ili waweze kujitangaza Zaidi kimataifa kuwa wao ni wababe wapya Duniani kama ilivyo Kwa Russia now
Yaani huu mtego aliyeutega lazima ana PhD in Political Violence
 
Zaidi ya watu 200,000 wanaifuatilia ndege iliyombeba Nancy Pelosi kuelekea Taiwan
Ndege hiyo yenye Namba SPAR19 imilikiwayo na USAF

Hii imevunja rekodiiiView attachment 2311798
Pelosi akitua Taiwan apewe kuiongoza Marekani. Biden apumzike ale pensheni. Nasikia Wamarekani na wafuasi wake wanaomba sana Pelosi awafute hii fedheha.
 
Marekani keshaapa ataingia Taiwan na washirika wake wamesema watamsaidia Taiwan
Sio Kwa beat hili la china sio poa ujue Leo nimeona matank yanayo eleza juu ya Maji na kutembea nchi kavu yamejazana, halafu hao ni kawaida yao kutoa matamko wasikupumbaze [emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220802-124701.jpg
 
Ndege ya Pelosi imeanza safari kupita anga ya Phillipines ambapo atapokelewa na USAF hadi ADIZ
Qmamae mbabe atajulikana leo ni leo msema kesho ni muongo. Hapa hakuna kukwepesha na ratiba ni alale Taiwan Jmatano akutane na raisi so hakuna kusema kapita
 
It seems, the Chinese are not bluffing this time!
===

Сhina dispatches state-of-the-art warships – media​

Two Chinese aircraft carriers set out to sea as warplanes buzz the Strait of Taiwan, local media report
Сhina dispatches state-of-the-art warships – media

FILE PHOTO. China's sole operational aircraft carrier, the Liaoning (C), sailing during a drill at sea. © AFP
A number of Chinese warplanes have been seen flying close to the median line dividing the Taiwan Strait, sources close to the matter have told Reuters. Meanwhile, Taiwanese media report that at least two Chinese aircraft carriers, the Liaoning and the Shandong, have left their ports and could be heading towards the strait as well.
China has escalated its military presence on the Taiwan Strait as US House of Representatives Speaker Nancy Pelosi is reportedly expected to arrive in Taipei later on Tuesday.
The escalation comes after China repeatedly warned against Pelosi going to Taiwan, which Beijing claims as its own, while the White House has dismissed these threats as “saber rattling.”
Media reports suggest that both Chinese warships and aircraft have been “squeezing” the median line since Tuesday morning, which is described as an unusual move and “very provocative” according to Reuter’s sources, as neither Beijing’s nor Taipei’s aircraft normally cross the line.
Additionally, residents of the southeastern city of Xiamen, which lies opposite Taiwan and houses a large military base, have reportedly posted pictures online allegedly showing Chinese armored vehicles on the move, though these images have yet to be verified.
 
Sioni ajabu China hatofanya lolote, mbona Putin alisema atakayeisaidia Ukraine atajutia maisha yake? Je watu hawaisaidii? Na amefanya nini? Sitashangaa China endapo hatofanya lolote lile.
Alisema atakeye ingiza jeshi kuisaidia ukraine
 
Back
Top Bottom