Marekani kuhakikisha Pelosi anatua salama Taiwan

Wanajijambisha tu kuwapa furaha wamarekani wa tandale. Hakuna safari hapo kwani akienda na ndege ha jeshi ndio hawezi kushambuliwa?? Pro USA siku hizi imekuwa mijinga sana kwasababu ya Putin
 
Katika mgogoro ambao utaigharimu Afrika basi ni huu. Maisha yetu ya kila siku yanategemea bidhaa za China kwa kiasi kikubwa. Imagine China awekewe vikwqzo vya kiuchumi kama alivowekewa urusi walahi Africa itaangamia.
Bara hili limekosa viongozi wenye uthubutu Wanachojua wao ni ufisadi na kuomba omba kwa wakubwa, Ndio mana kina Makroni wanatutukana mbele ya wake zetu Tena nyumbani kwetu dadeki
 
Ndiyo tujifunze kujitegemea. Kwani sie tutakua lini?
 
Waache tupumzike shida tulizonazo na hii vita ya Russia tu inatosha wasituletee majanga tena watatumaliza na njaa hivi hawa wanatafuta nini hasa? sisi badala ya kuwaangalia wao kama mifano mizuri kwamba mambo ya vita ya miaka 40 huko wameshavuka wanakimbizana na maendeleo leo wao ndio wamekuwa shida ya dunia hii. Kama kuna kitu kitatokea baina ya nchi mbili hizi basi ni janga kubwa duniani sote tunajuwa utegemezi wetu kwa China na hili litaleta shida zaidi huko Russia na Ukraine. Huyu mama anataka nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…