HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Serikali ya Marekani kupitia msemaji wa Ikulu, imesema kuwa haiogopi, wala haitafuata maelekezo ya China.
Pia China haipaswi kujawa gadhabu kwa ziara ya Spika wa Bunge, kwani Marekani kjna mgawanyo wa Madaraka na Serikali haiwezi ingilia maamuzi ya Spika
Spika wa Marekani atasafiri kwa ndege ya jeshi, na jeshi la Marekani na serikali imesema itahakikisha usalama wa Nancy wakati wa kutua na kupaa, na akiwepo Taiwan.
Pia imesema kuwa inategemea China kugadhabishwa na kujaribu fanya lolote.
Imesema itaendelea kufanya mawasiliano na China ila Nancy hatazuiwa kwenda Taiwan
Je, nini kimebadilika ghafla, maana kwenye ratiba Taiwan haikuwepo, ila imekuja ghafla badala ya kwenda South Korea kutokea Singapore, ataenda kulala Taiwan.