Tetesi: Marekani Kuishambulia Iran muda wowote kutoka sasa

Okokeni siku hizi ni za mwisho
 
Sidhani kama US ana mpango wa kuishambulia Iran. Nadhani alipata funzo kubwa kupitia Iraq. So si rahisi kuanzia vita nyingine tena hapo Middle East
Iran it's being built Atomic boom.. Ages and no any Western media's would allow to tells this..But aside from the wall, the fear of what the USA is willing to do (nuke Iran) would put EVERYONE on notice... It may have taken years, but they don't https://jamii.app/JFUserGuide around ANY MORE... Iran it's not Libya Syria, Iraq or Afghanistan
 
Mali hizo zinafanya jumla ya meli nne kutokea Saudi Arabia zilizoshambuliwa ndani ya miezi miwili pamoja na Bomba la mafuta.

Siyo Iran hao ni Wayemeni na walishatangaza mashambulizi mfululizo na yote yatalenga uchumi.
 
Source ya habari hii ni media gani?


Nadhani alichojibiwa USA na balozi wa iran nchini marekani kiliskilikna, USA ililitaja iran kma ni taifa la kiislam na ni magaidi bas iran nae akasema yuko tayar kwa lolote juu ya maadui zake.
 
Walijaribugi mwaka wa 78 wakaumbuliwa vibaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…