NATO ndio hao hao USA..., naweza kusema USA ni more NATO kuliko hata hao wengine...USA na NATO wakuda sana, ukiwa na mtazamo tofauti lazima wakuanzishie
Na kweli sijawahi sikia Marekani akipigana vita yeye kama yeye bila ya kukusanya msaada wa wapambe wakewanazitolea wapi basi kumiliki vyombo vya habari tutadanganywa mpaka tukome,
Wingereza ilivyo collapse wale wazungu waliokua british ndio hao walio marekani ndio maana jambo la marekani na Uk huwa ni moja.
wanaonyesha russia c kitu ila toka kitambo russia anajitosheleza kwa kila kitu hana shida hata ya kufanya exploitation au kushawishi mataifa yawe upande wake kama marekani.
Muwe mnasoma hata habari, Marekani ana kila kituwanazitolea wapi basi kumiliki vyombo vya habari tutadanganywa mpaka tukome,
Wingereza ilivyo collapse wale wazungu waliokua british ndio hao walio marekani ndio maana jambo la marekani na Uk huwa ni moja.
wanaonyesha russia c kitu ila toka kitambo russia anajitosheleza kwa kila kitu hana shida hata ya kufanya exploitation au kushawishi mataifa yawe upande wake kama marekani.
Kwamba wewe wajua kuliko waoSasa hii ndio sababu kuu ya ile vita. Walitaka kuliteka soko la gas ulaya. Lakini jambo moja ambalo marekani hatoweza kufanya ni consistency of supply na price. Wanategemea meli kusafirisha gas wakati Russian gas is cheap na supply is consistent and stable.
Mgogoro mkubwa ulianza Nord steam 2 ilipoanza kujengwa.
Kwamba wewe wajua kuliko wanaokubaliGas itasafirishwa kwa meli, hii ni kupunguza tatizo lakini inabidi waiuze kwa gharama ili kupata faida.
Usafirishaji wa gas kwa njia ya meli ni gharama, gas itapanda bei mno, huwezi shindana na mtu ana bomba.
Uchumi wa ulaya unakwenda kudorora, gas ya Russia ni nafuu.
US itanyoosha mikono tu, hii vita ni ngumu.
Kuweka bomba la gas kutoka USA sijui itachukua karne ngapi.
Kama hujui omba ueleweshwe
Hawa jamaa USA tuwaponde tuwezavyo, lakini naona ndo taifa pekee ambalo linajua mwaka 2070 litakuwa ktk hali gani kiuchumi, kijeshi n.kMMAREKANI mjanja sanaaaa... anaenda kuwa fanya wa ulaya watumwa, amewachochea wapigane na mrusi ili wanyimane gas alafu yeye ana wapelekea ili awatumie vyema...
trump alisema wana weka pesa nyingi sana na wana taka kuona usa ina nufaika kila sehemu wanapo peleka pesa... mmarekani mzee wa fursa... kapigana na waarabu weeee kisa mafuta, leo anaingia ktk gas
Changamoto ni Moja,namna ya kusafiriaha gas hiyo kwenda EU.Maana yake watasafirisha Kwa meli na kusambaza EU nzima.Wakati Kwa Russia tayari kilikuwa Kuna pipeline inayosafirisha gas.Kwa tafsiri rahisi hata EU watanunua Kwa gharama zaidi!Marekani ndio nchi inayoongoza duniani kwa uzalishaji wa gesi Ikifuatiwa na Urusi
Hata ku Google umeshindwa kabla kubishia
kila mbabe ana mbabe wakeYaani mpaka mfaransa kafanywa zuzu na mmarekani
US hatoshindwa kuweka sawa miundombinu endapo akadhamiria haswa.Sasa hii ndio sababu kuu ya ile vita. Walitaka kuliteka soko la gas ulaya. Lakini jambo moja ambalo marekani hatoweza kufanya ni consistency of supply na price. Wanategemea meli kusafirisha gas wakati Russian gas is cheap na supply is consistent and stable.
Mgogoro mkubwa ulianza Nord steam 2 ilipoanza kujengwa.
HOUSTON, March 1 2022 (Reuters) - Europe last month held its spot as the top importer of U.S. liquefied natural gas (LNG) for a third month in a row, taking nearly three-fourths of exports, according to preliminary Refinitiv vessel tracking data.Changamoto ni Moja,namna ya kusafiriaha gas hiyo kwenda EU.Maana yake watasafirisha Kwa meli na kusambaza EU nzima.Wakati Kwa Russia tayari kilikuwa Kuna pipeline inayosafirisha gas.Kwa tafsiri rahisi hata EU watanunua Kwa gharama zaidi!
Pia hizo 15b ni asilimia 10 tu ya aliyokuwa anauza Russia Kwa EU!
Unafkiri US na Europe wakiamua wanashindwa kuhusu hilo bomba kuliweka?Gas itasafirishwa kwa meli, hii ni kupunguza tatizo lakini inabidi waiuze kwa gharama ili kupata faida.
Usafirishaji wa gas kwa njia ya meli ni gharama, gas itapanda bei mno, huwezi shindana na mtu ana bomba.
Uchumi wa ulaya unakwenda kudorora, gas ya Russia ni nafuu.
US itanyoosha mikono tu, hii vita ni ngumu.
Kuweka bomba la gas kutoka USA sijui itachukua karne ngapi.
Mataifa mengi makubwa ya Ulaya hasa Ulaya magharibi ni vigumu sana kumkatalia US matakwa yake kutokana na mchango wake mkubwa aliowapa kufufua uchumi wa nchi zao baada ya WW 2 kupitia European Recovery Project (Marshall Plan) chini ya Rais Harry Truman.Ila Marekani kiboko, yaani imewakunja EU kama kambale mtoto! EU haifurukuti hata maslahi yake yakitikiswa...ajabu sana hii.
How much natural gas does the United States have, and how long will it last?Russia ndio nchi yenye reserve kubwa ya gesi duniani, uzalishaji unategemea reserve uliyonayo. Muda si mrefu reserve ya Marekani itashuka kwa kulazimisha supply wasiyoweza kuimudu hapo ndio ulaya watarudi kwa Putin mikono nyuma wakisema TUMEKOSA TUMEKOSA SANA TUHURUMIE
Umoja wooote huo w Ulaya inakuaje kirahisi rahisi washikwe akili na US? Sio kwamba kuna kitu cha ziada ambacho sisi hatukifahamu?Mkuu kila bidhaa itapanda bei mno.
Hata nauli za Tax tu na usafiri wa umma.
Serikali za ulaya tutegemee kupata wakati mgumu dhidi ya wananchi, wanaokwenda kuumia ni wananchi.
Hali ni mbaya, Putin ameona bora amwage na yeye mboga kama wamemwaga ugali, chakula hakiliki.
Nchi za ulaya pasipo shinikizo la US wangetii matakwa ya Russia, tatizo ni US, ndio maana anajikakamua kuhakikisha anawapatia kile wanachokosa ili wasimgeuke, cause mwisho wa siku ni maslahi.
Ni kweli, US ndo anaongoza kwa gas.Marekani ndio nchi inayoongoza duniani kwa uzalishaji wa gesi Ikifuatiwa na Urusi
Hata ku Google umeshindwa kabla kubishia
Ha ha ha ha ha ha haRussia ndio nchi yenye reserve kubwa ya gesi duniani, uzalishaji unategemea reserve uliyonayo. Muda si mrefu reserve ya Marekani itashuka kwa kulazimisha supply wasiyoweza kuimudu hapo ndio ulaya watarudi kwa Putin mikono nyuma wakisema TUMEKOSA TUMEKOSA SANA TUHURUMIE
Ni vema pia tukatambua mambo mawaili hapa:Hiyo reserve ya US kwisha ni baada si chini ya Miaka 400 ijayo kwa kupiga current production ya sasa ikihusisha na hiyo wanayouzia Ulaya
Kwa hiyo waweza fidia hiyo gap ya Russia kwa Miaka 400 ijayo labda useme baada ya hiyo miaka 400