Marekani kupeleka Ulaya Cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia ile waliyokuwa wananunua Urusi

Marekani kupeleka Ulaya Cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia ile waliyokuwa wananunua Urusi

USA na NATO wakuda sana, ukiwa na mtazamo tofauti lazima wakuanzishie
NATO ndio hao hao USA..., naweza kusema USA ni more NATO kuliko hata hao wengine...

Hii North Atlantic Treaty Organisation (iliyotengenezwa ili kumkabili USSR) inajulikana pia kama Washington Treaty...

Kwahio hapo unaweza kuona What is what and Who is Who....

The 12 founding member countries of NATO are Belgium, Canada, Denmark, France, Iceland, Italy, Luxembourg, Netherlands, Norway, Portugal, the United Kingdom, and the United States.
 
wanazitolea wapi basi kumiliki vyombo vya habari tutadanganywa mpaka tukome,

Wingereza ilivyo collapse wale wazungu waliokua british ndio hao walio marekani ndio maana jambo la marekani na Uk huwa ni moja.

wanaonyesha russia c kitu ila toka kitambo russia anajitosheleza kwa kila kitu hana shida hata ya kufanya exploitation au kushawishi mataifa yawe upande wake kama marekani.
Na kweli sijawahi sikia Marekani akipigana vita yeye kama yeye bila ya kukusanya msaada wa wapambe wake
 
wanazitolea wapi basi kumiliki vyombo vya habari tutadanganywa mpaka tukome,

Wingereza ilivyo collapse wale wazungu waliokua british ndio hao walio marekani ndio maana jambo la marekani na Uk huwa ni moja.

wanaonyesha russia c kitu ila toka kitambo russia anajitosheleza kwa kila kitu hana shida hata ya kufanya exploitation au kushawishi mataifa yawe upande wake kama marekani.
Muwe mnasoma hata habari, Marekani ana kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hii ndio sababu kuu ya ile vita. Walitaka kuliteka soko la gas ulaya. Lakini jambo moja ambalo marekani hatoweza kufanya ni consistency of supply na price. Wanategemea meli kusafirisha gas wakati Russian gas is cheap na supply is consistent and stable.

Mgogoro mkubwa ulianza Nord steam 2 ilipoanza kujengwa.
Kwamba wewe wajua kuliko wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gas itasafirishwa kwa meli, hii ni kupunguza tatizo lakini inabidi waiuze kwa gharama ili kupata faida.

Usafirishaji wa gas kwa njia ya meli ni gharama, gas itapanda bei mno, huwezi shindana na mtu ana bomba.

Uchumi wa ulaya unakwenda kudorora, gas ya Russia ni nafuu.

US itanyoosha mikono tu, hii vita ni ngumu.

Kuweka bomba la gas kutoka USA sijui itachukua karne ngapi.
Kwamba wewe wajua kuliko wanaokubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MMAREKANI mjanja sanaaaa... anaenda kuwa fanya wa ulaya watumwa, amewachochea wapigane na mrusi ili wanyimane gas alafu yeye ana wapelekea ili awatumie vyema...

trump alisema wana weka pesa nyingi sana na wana taka kuona usa ina nufaika kila sehemu wanapo peleka pesa... mmarekani mzee wa fursa... kapigana na waarabu weeee kisa mafuta, leo anaingia ktk gas
Hawa jamaa USA tuwaponde tuwezavyo, lakini naona ndo taifa pekee ambalo linajua mwaka 2070 litakuwa ktk hali gani kiuchumi, kijeshi n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani ndio nchi inayoongoza duniani kwa uzalishaji wa gesi Ikifuatiwa na Urusi

Hata ku Google umeshindwa kabla kubishia
Changamoto ni Moja,namna ya kusafiriaha gas hiyo kwenda EU.Maana yake watasafirisha Kwa meli na kusambaza EU nzima.Wakati Kwa Russia tayari kilikuwa Kuna pipeline inayosafirisha gas.Kwa tafsiri rahisi hata EU watanunua Kwa gharama zaidi!
Pia hizo 15b ni asilimia 10 tu ya aliyokuwa anauza Russia Kwa EU!
 
Sasa hii ndio sababu kuu ya ile vita. Walitaka kuliteka soko la gas ulaya. Lakini jambo moja ambalo marekani hatoweza kufanya ni consistency of supply na price. Wanategemea meli kusafirisha gas wakati Russian gas is cheap na supply is consistent and stable.

Mgogoro mkubwa ulianza Nord steam 2 ilipoanza kujengwa.
US hatoshindwa kuweka sawa miundombinu endapo akadhamiria haswa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changamoto ni Moja,namna ya kusafiriaha gas hiyo kwenda EU.Maana yake watasafirisha Kwa meli na kusambaza EU nzima.Wakati Kwa Russia tayari kilikuwa Kuna pipeline inayosafirisha gas.Kwa tafsiri rahisi hata EU watanunua Kwa gharama zaidi!
Pia hizo 15b ni asilimia 10 tu ya aliyokuwa anauza Russia Kwa EU!
HOUSTON, March 1 2022 (Reuters) - Europe last month held its spot as the top importer of U.S. liquefied natural gas (LNG) for a third month in a row, taking nearly three-fourths of exports, according to preliminary Refinitiv vessel tracking data.
Reporting by Marcy de Luna
 
Gas itasafirishwa kwa meli, hii ni kupunguza tatizo lakini inabidi waiuze kwa gharama ili kupata faida.

Usafirishaji wa gas kwa njia ya meli ni gharama, gas itapanda bei mno, huwezi shindana na mtu ana bomba.

Uchumi wa ulaya unakwenda kudorora, gas ya Russia ni nafuu.

US itanyoosha mikono tu, hii vita ni ngumu.

Kuweka bomba la gas kutoka USA sijui itachukua karne ngapi.
Unafkiri US na Europe wakiamua wanashindwa kuhusu hilo bomba kuliweka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Marekani kiboko, yaani imewakunja EU kama kambale mtoto! EU haifurukuti hata maslahi yake yakitikiswa...ajabu sana hii.
Mataifa mengi makubwa ya Ulaya hasa Ulaya magharibi ni vigumu sana kumkatalia US matakwa yake kutokana na mchango wake mkubwa aliowapa kufufua uchumi wa nchi zao baada ya WW 2 kupitia European Recovery Project (Marshall Plan) chini ya Rais Harry Truman.

Ikumbukwe pia kuwa mpango huu wa kufufua Uchumi wa ulaya ulipokua proposed mwaka 1947 ulikua na masharti yasiyoweza kukataliwa (Non Negotiable Terms).
 
Russia ndio nchi yenye reserve kubwa ya gesi duniani, uzalishaji unategemea reserve uliyonayo. Muda si mrefu reserve ya Marekani itashuka kwa kulazimisha supply wasiyoweza kuimudu hapo ndio ulaya watarudi kwa Putin mikono nyuma wakisema TUMEKOSA TUMEKOSA SANA TUHURUMIE
How much natural gas does the United States have, and how long will it last?
The U.S. Energy Information Administration estimates in the Annual Energy Outlook 2022 that as of January 1, 2020, there were about 2,926 trillion cubic feet (Tcf) of technically recoverable resources (TRR) of dry natural gas in the United States. Assuming the same annual rate of U.S. dry natural gas production in 2020 of about 30 Tcf, the United States has enough dry natural gas to last about 98 years. The actual number of years the TRR will last depends on the actual amount of dry natural gas produced and on changes in natural gas TRR in future years.
 
Mkuu kila bidhaa itapanda bei mno.
Hata nauli za Tax tu na usafiri wa umma.

Serikali za ulaya tutegemee kupata wakati mgumu dhidi ya wananchi, wanaokwenda kuumia ni wananchi.

Hali ni mbaya, Putin ameona bora amwage na yeye mboga kama wamemwaga ugali, chakula hakiliki.

Nchi za ulaya pasipo shinikizo la US wangetii matakwa ya Russia, tatizo ni US, ndio maana anajikakamua kuhakikisha anawapatia kile wanachokosa ili wasimgeuke, cause mwisho wa siku ni maslahi.
Umoja wooote huo w Ulaya inakuaje kirahisi rahisi washikwe akili na US? Sio kwamba kuna kitu cha ziada ambacho sisi hatukifahamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia ndio nchi yenye reserve kubwa ya gesi duniani, uzalishaji unategemea reserve uliyonayo. Muda si mrefu reserve ya Marekani itashuka kwa kulazimisha supply wasiyoweza kuimudu hapo ndio ulaya watarudi kwa Putin mikono nyuma wakisema TUMEKOSA TUMEKOSA SANA TUHURUMIE
Ha ha ha ha ha ha ha

Sasa mkuu ina maana US hajui kama yeye hana reserve ya kutosha kusupply Ulaya? Kwanini achochee vita endapo akijua kuwa hawezi kukidhi mahitaji ya Ulaya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo reserve ya US kwisha ni baada si chini ya Miaka 400 ijayo kwa kupiga current production ya sasa ikihusisha na hiyo wanayouzia Ulaya

Kwa hiyo waweza fidia hiyo gap ya Russia kwa Miaka 400 ijayo labda useme baada ya hiyo miaka 400
Ni vema pia tukatambua mambo mawaili hapa:

Mosi) Mkataba alioingia Sleepy Joe jana wa kutoa hizo 15 billion cubic metres za Liquified Natural Gas (LNG) utaweza kucover asilimia 10% tu ya kile kiwango anachotoa Russia kwa ulaya nzima. Hivyo Urusi bado ataendelea kutoa hio 90%. US anafanya hivi huku mataifa makubwa ya Ulaya yakiwa na mpango wa kukomesha kabisa matumizi ya energy kutoka Urusi kufikia mwaka 2030, yaani miaka 7 kutoka sasa.

Pili) Kila siku tunaskia mataifa yaliyoendelea chini ya Mwavuli wa UN na EU yakipiga kelele juu ya swala la Climate Change na Global Shift in energy from Fossil Fuel to Cleaner Forms of Energy. Wanafanya hivi wakiwa na mpango maalumu zaidi ya huu wanaopigia kelele wa kutunza mazingira. Hivyo unaona ni kwa namna gani campaigns hizi zinavokua Engineered chini ya US governemnt na kuhakikisha malengo yanatimia.

Tukisema US ana plan 50 years or maybe a century ahead juu ya nafasi yake duniani tunaonekana tunawasiafia sana lakin huo ndo ukweli na kama utataka kuprove unaweza kuangalia jinsi dunia ya leo inavyoenda inakua facilitated na plans na contracts zilizoingiwa zaidi ya miaka 30 nyuma; mipango hii imeota sana mizizi kiasi kwamba kuikwepa unahitaji msuli mnene sana kitu ambacho ni almost impossible kutimiza.

US tunaweza kuwachukia kwa uonevu wao na ukoloni wao, lakini hatuwezi kuwachukia na kuwadharau kwa umakini wao na uwezo wao wa kufikiri na kuweka mipango thabiti juu ya ustawi wa taifa lao. In fact inabidi tuwapongeze na kutamani kujifunza juu ya umakin wao wa kuwaza mbele.

In the end, hio ndio maana ya halisi ya Capitalism; kwamba mwenye akili nyingi na nguvu nyingi ndo atakula na kuneemeka.
 
Back
Top Bottom