Marekani kupeleka Ulaya Cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia ile waliyokuwa wananunua Urusi

Marekani kupeleka Ulaya Cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia ile waliyokuwa wananunua Urusi

Kuupanda mchongoma kushuka ndio ngoma

Rais Biden wa Marekani anajadiliana na kufikia makubaliano namna USA itavyowapelekea Ulaya cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia pengo lililojitokeza baada ya kuiwekea vikwazo Russia.

Source: BBC
Anapeleka bure au anaenda kupiga pesa
Marekani Nyokolost kbsa

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli, US ndo anaongoza kwa gas.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee wewe mbona muongo Sana?Russia anagesi nyingi mpaka ya kumwaga
world-proven-reserves.jpg
 
"Hata kwa kumwaga damu "

Damu ya nani?
Meaning hata wakichukua the extreme route

USA ana Mwaga damu za watu kila siku

In all the countries they invaded… damu inamwagika

Wapi umesikia anapewa sanctions?

Au inataka debate unnecessarily?
 
Uko sahihi somo la long term planning linafundishwa kila chuo hata kama cha kata Tanazania kiwe cha diploma au degree.Mimi huwa nashangaa mtu akisema elimu yetu iko chini sidhani.Kaulize hata mtu aliyesoma chuo cha kata na aliyepata low class anajua long term planning ni kitu gani atakueleza vizuri kwa ufasaha hasa!!

Cha ajabu ni USA pekee ndio huwa serious kwenye issue ya long term plans na implementation.Sisi kila siku long term plans hubadilika inategemea Raisi gani au bosi gani yuko madarakani kwa wakati huo!! Kuna succession plan ya kupokezana uongozi sio long term plans za nchi.Marekani wana zote succession plan za uongozi na long term plans na wako serious nazo
Kwani trump alipokuwa anataka kujenga ukuta mexico ilikuwa kwenye plan ya nchi??
 
wanazitolea wapi basi kumiliki vyombo vya habari tutadanganywa mpaka tukome,


Wingereza ilivyo collapse wale wazungu waliokua british ndio hao walio marekani ndio maana jambo la marekani na Uk huwa ni moja.

wanaonyesha russia c kitu ila toka kitambo russia anajitosheleza kwa kila kitu hana shida hata ya kufanya exploitation au kushawishi mataifa yawe upande wake kama marekani.
Hao wanaakiba yakutosha yakila kitu hebu wafatilie America vizuri unavoambiwa ni Kaka wa dunia ndohivyo ukubwa wa Dolla ndohuo
 
Aisee wewe mbona muongo Sana?Russia anagesi nyingi mpaka ya kumwagaView attachment 2165419
Wewe ndio huelewi. Tofautisha RESERVE (Akiba) na PRODUCTION.

Russia anaweza kuwa na hifadhi kubwa ya Gas Ardhini lakini anazalisha Kidogo. USA ina Reserve ndogo kuliko Russia lakini USA inazalisha LNG ya kutosha kuliko nchi yoyote ile Duniani. Tatizo kwa USA Ni kwamba,Licha ya kuwa ndio mzalishaji mkubwa wa Gas na Mafuta Duniani,lakini ni Mtumiaji mkubwa Sana wa Mafuta na Gasi kuliko nchi yoyote Duniani,kwahiyo Ndio maana anashindwa kuuza nje.
 
wanazitolea wapi basi kumiliki vyombo vya habari tutadanganywa mpaka tukome,


Wingereza ilivyo collapse wale wazungu waliokua british ndio hao walio marekani ndio maana jambo la marekani na Uk huwa ni moja.

wanaonyesha russia c kitu ila toka kitambo russia anajitosheleza kwa kila kitu hana shida hata ya kufanya exploitation au kushawishi mataifa yawe upande wake kama marekani.
USA ndio number one producer wa natural gas duniani, anaproduce 90bill cubic feet per day. So kamtoa Urusi kwenye soko la ulaya kikuda maana ushindani na urusi ulimshinda kutokana na geographical location. Ila kwa sasa ulaya itatengeneza miundombinu ya kutegemea gas ya USA
 
Ni ahadi hewa za Marekani pale wakishakusukuma kwenye matatizo.Gesi anayoahidi si kwamba anayo mkononi bali kwa kupora kutoka mataifa ya kiarabu.Halafu gesi hiyo isafirishwe kwa meli kutoka huko mpaka Ulaya.Bei itapanda mpaka Ulaya watajuta kujiingiza kichwa kichwa kumpinga Mrusi. Gesi inayotiririka kwenye mabomba ni bwerere kwa Ulaya.
 
Back
Top Bottom