Kwamba China ishambulie Urusi aisee sio lazima ukoment ili upunguze kujiaibisha.Hayo ni maoni binafsi ya huyo General. Kasema hisia zake zinamtuma hivyo, foreign policy haiendeshwi na hisia za mtu mmoja hata angekuwa ndiye Rais wa Marekani.
Na China hawashangai juu ya hilo, nani asiyejua jeshi la Marekani linajipanga kuikabili China. Kila mwaka Pentagon hutoa assessment na kuelezea advancement ya jeshi la China. China hawakurupuki kwenye sera zao za kigeni, wanaonekana wapole kwa nje ila muda wao kuonyesha ubabe bado.
Huwa naona it's very likely Marekani kuanzisha vita na China kuliko kuanzisha na Urusi. Na vilevile uwezekano wa China kuishambulia Russia ni mkubwa kuliko kuishambulia Marekani.
Lakini maoni yake sidhani kama ni bora katika diplomasia ya haya mataifa mawili makubwa ukizingatia kuwa yeye ni high ranked general katika jeshi la taifa la marekani.Hayo ni maoni binafsi ya huyo General. Kasema hisia zake zinamtuma hivyo, foreign policy haiendeshwi na hisia za mtu mmoja hata angekuwa ndiye Rais wa Marekani.
Ni kweli jeshi la marekani lina jiandaa kuikabili China katika swala la Taiwan licha ya kuwa China hawa kurupuki katika hilo lakini je jumbe kama hizi za majenerali wa marekani haziwezi kufanya China kubadili hiyo Operation yake anayo panga kufanya hapo Taiwan kwa kupeleka muda mbele au kurudisha muda nyuma wa kuanza ?Na China hawashangai juu ya hilo, nani asiyejua jeshi la Marekani linajipanga kuikabili China. Kila mwaka Pentagon hutoa assessment na kuelezea advancement ya jeshi la China. China hawakurupuki kwenye sera zao za kigeni, wanaonekana wapole kwa nje ila muda wao kuonyesha ubabe bado.
Kwa nini mkuu?Huwa naona it's very likely Marekani kuanzisha vita na China kuliko kuanzisha na Urusi.
Kwa nini China aishambulie Russia wakati wapo upande mmoja na sio Marekani?Na vilevile uwezekano wa China kuishambulia Russia ni mkubwa kuliko kuishambulia Marekani.
Nimesoma maelezo yako umeelezea vizuri Sana. Ila hapo uliposema "uwezekano wa China kuishambulia Russia ni mkubwa kuliko kuishambulia Marekani". Naomba ufafanuzi. How?Hayo ni maoni binafsi ya huyo General. Kasema hisia zake zinamtuma hivyo, foreign policy haiendeshwi na hisia za mtu mmoja hata angekuwa ndiye Rais wa Marekani.
Na China hawashangai juu ya hilo, nani asiyejua jeshi la Marekani linajipanga kuikabili China. Kila mwaka Pentagon hutoa assessment na kuelezea advancement ya jeshi la China. China hawakurupuki kwenye sera zao za kigeni, wanaonekana wapole kwa nje ila muda wao kuonyesha ubabe bado.
Huwa naona it's very likely Marekani kuanzisha vita na China kuliko kuanzisha na Urusi. Na vilevile uwezekano wa China kuishambulia Russia ni mkubwa kuliko kuishambulia Marekani.
Marekani hawezi thubutu kuingia vitani na China, angekuwa na hizo guts angeshaipiga Iran siku nyingi.Wenzetu hawakurupuki kuropoka kama yule wa Uganda, huenda kuna oda alipewa na wakuu ili akamilishe baadhi ya mambo ya kijeshi kwa ajili ya kuingia mzigoni.
Wenzetu hawakurupuki kwamba mmegombana leo au kutofautiana mtazamo basi asubuhi unatupa maguruneti, ni mipango ya muda ili kujua mwenzako ana nini na wewe uzalishe au kuagiza nini ili umvae.
Huwezi elewa kwa vile umejifungia akili. USSR na China waligombea mipaka miaka ya 1960s mwishoni hadi vifaru vilihusika na watu walikufa kwenye mapigano ya rasharasha kwa miezi zaidi ya mitano. Baadaye ndio wakasaini ceasefire na kurudia mipaka ya zamani, walikuja kusaini makubaliano kumalizana na madai 2008 au 2009 kama sikosei.Kwamba China ishambulie urusi aisee sio lazima ukoment ili upunguze kujiaibisha.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
General hajaambia waandishi wa habari wala hajayasema maneno yale in public. Kulingana na elimu yake, uzoefu, cheo na intelligence anayoweza access amefanya prediction muda wa vita ya Marekani na China ni 2025 na hapo ndio akaandika memo kwenda kwa maofisa. Alichokifanya ni kazi yake, kawaambia wanajeshi ambayo ndio kazi yao hiyo kukaa chonjo dhidi ya adui.Lakini yake sidhani kama ni bora katika diplomasia ya haya mataifa mawili makubwa uliizingatia kuwa yeye high ranked general katika jeshi la taifa la marekani.
Ni kweli jeshi la marekani lina jiandaa kuikabili China katika swala Taiwan licha ya kuwa China hawa kurupuki katika hilo lakini je jumbe kama hizi za majenerali wa marekani haziwezi kufanya China kubadili hiyo Operation yake inayo panga kufanya hapo Taiwan kwa kupeleka muda mbele au kuirudisha muda nyuma wa kuanza ?
Kwa nini mkuu ?
Kwa nini China aishambulie Russia wakati wapo upande mmoja na sio Marekani ?
Vita haiko hivyo.Marekani hawezi thubutu kuingia vitani na China,angekuwa na hizo guts angeshaipiga Iran siku nyingi
Ujumbe huu hauwezi kuwa na athari kubwa kwa U.S.A?Wenzetu hawakurupuki kuropoka kama yule wa Uganda, huenda kuna oda alipewa na wakuu ili akamilishe baadhi ya mambo ya kijeshi kwa ajili ya kuingia mzigoni.
Wenzetu hawakurupuki kwamba mmegombana leo au kutofautiana mtazamo basi asubuhi unatupa maguruneti, ni mipango ya muda ili kujua mwenzako ana nini na wewe uzalishe au kuagiza nini ili umvae.
Unazungumzia Urusi hii hii inayopigana na Ukraine mwaka mzima kwa silaha za kuomba omba kutoka kwa nchi za Ulaya na Marekani ama kuna Urusi nyingine nje na hii?.Marekani katafuta kibonde wa kumtolea matamko na kumtisha kwa vita ,angesema hivyo kwa Russia uone mchezo kama haujezwa mwaka huu.
Tuacheni masihara Russia anaogopwa sana na Marekani na hiyo ni kutokana na kwamba Marekani anaijua Urusi na anajua anateknolojia za Siri mno.
Mmarekani kwa Mchina: Marekani itapigana na china 2025
Mmarekani kwa Mrusi: Russia sio taifa la kulichezea na uamuzi wa kupigana ni Urusi ni kutotumia akili
Hiyo hiyo inayoyapiga mashoga zaidi ya 30 kwa pamoja kuanzia uchumi mpaka kijeshiUnazungumzia Urus hii hii inayopigana na ukraine mwaka mzima kwa silaha za kuomba omba kutoka kwa nchi za Ulaya na marekani ama kuna Urusi nyingine nje na hii?.
Sasa ikiwa anapigana na mshoga wasio na silaha zaidi ya kuomba omba kwa watu vipi siku akipigana na wanaume halisi wasio omba omba silaha itakuwaje?Hiyo hiyo inayoyapiga mashoga zaidi ya 30 kwa pamoja kuanzia uchumi mpaka kijeshi
Ugomvi wa kimipaka China anao dhidi ya mataifa mengi sana ikiwemo Turkey,India, Mongolia, Vietnam, Russia, Japan n.k na urafiki wa China na Russia umetokana na falsafa ya kikomunisti iliyo waunganisha na wakomunisti wa CPC walipo kuwa wanasaka ukombozi licha ya kuwa miaka ya mbeleni wakati wa Mao ugomvi ulizuka tena.Huwezi elewa kwa vile umejifungia akili. USSR na China waligombea mipaka miaka ya 1960s mwishoni hadi vifaru vilihusika na watu walikufa kwenye mapigano ya rasharasha kwa miezi zaidi ya mitano. Baadaye ndio wakasaini ceasefire na kurudia mipaka ya zamani, walikuja kusaini makubaliano kumalizana na madai 2008 au 2009 kama sikosei.
Wakati China ikiwa weak enzi za dynasties kina Qing na Ming na wengine pale Russia ilichukua maeneo kadhaa na ilikiuka mikataba ya mipaka. Miaka mingine maeneo yalichukuliwa, mji wa Vladivostok pale Russia ni eneo la China lile. Waulize Wachina wakwambie Outer Manchuria ni nini, eneo lote la Russia lililoibiwa kutoka China wanaita hivyo.
Mapigano kati ya Russia/USSR na China yametokea kwenye mipaka yao ila mapigano kati ya Marekani na China hayajatokea kwenye mipaka. Kwenye WW2 Marekani ilifanya airlifting campaign "The Hump" kuipa silaha China ipigane na Japan. Zilipitia India na kuvuka nyanda za milima mikali kukwepa eneo la Manchuria lililokaliwa na Japan.
China na Marekani ni wagomvi kimaslahi na kuishawishi, ila China na Russia ni mgogoro wa mipaka ambao ni frozen na mgogoro wa mipaka huwa haufi kirahisi. Ugomvi wa China na Marekani ni baada ya WW2, ila China na Russia wana fujo zao since 1800s uko.