Wapi nimetaka marekani iipige Iran!?Kwanini unataka Marekani iipige Iran?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi nimetaka marekani iipige Iran!?Kwanini unataka Marekani iipige Iran?
Sasa China itaishambulia Urusi on what ground?Hayo ni maoni binafsi ya huyo General. Kasema hisia zake zinamtuma hivyo, foreign policy haiendeshwi na hisia za mtu mmoja hata angekuwa ndiye Rais wa Marekani.
Na China hawashangai juu ya hilo, nani asiyejua jeshi la Marekani linajipanga kuikabili China. Kila mwaka Pentagon hutoa assessment na kuelezea advancement ya jeshi la China. China hawakurupuki kwenye sera zao za kigeni, wanaonekana wapole kwa nje ila muda wao kuonyesha ubabe bado.
Huwa naona it's very likely Marekani kuanzisha vita na China kuliko kuanzisha na Urusi. Na vilevile uwezekano wa China kuishambulia Russia ni mkubwa kuliko kuishambulia Marekani.