Marekani kuzindua B-21, ndege yenye uwezo wa kushambulia kwa nyuklia tena bila rubani

Sidhani kama Urusi inahitaji heshima zako maana hata usipo iheshimu huwezi kuipunguzia chochote.

Waone wenye Ulaya yao wanavyo sema alafu ujitafakari iwapo kichwani una akili au una makamasi.
 
Ndege za nini tena na Makombora yanatembea yenyewe bila bughudha kwa kasi kubwa kabisa zaidi ya sauti na kufikia malengo kwa uhakika kabisa!?

kombora linatumwa sehemu moja linakwenda kupiga na kujifia, ila ndege inaweza ikawatesa sana kwenye anga ya Bongo ikiachia makombora na kugeuza kurudi iongozwe makombora zaidi, na hamtaipata kwa rada maana inapiga mwendo kasi usioweza kusomeka ka rada.
 
Si mlisema west hawana swagga za kujitangaza juu ya silaha zao inakuwa kama surprise unaziona tu zimetinga mzigo ni. Imekuwaje tena? Wateja wamepungua/zimedoda?!!!
 
Global hawk wala sio stealth ni high altitude surveillance drone.
 
Bomber ambayo ni remote controlled kama drone ?....dah!..japo inawezekana..
T14 Armata
 
Supa-pawa kauvunja moyo wako..😂😂😂
 
Si mlisema west hawana swagga za kujitangaza juu ya silaha zao inakuwa kama surprise unaziona tu zimetinga mzigo ni. Imekuwaje tena? Wateja wamepungua/zimedoda?!!!
Unajua maana ya unveiling? Ni kutangazia umma uwepo wa kitu kwa mara ya kwanza, uzinduzi. Zile ni pesa za walipakodi wa Marekani na wanatangaziwa mzigo mpya ulioundwa. Wewe ukiona ukakasirika ni kiherehere chako Marekani haijakutangazia wewe na kwa taarifa yako hizi ndege haziuzwi. Marekani huwa haiuzi bombers, haikuuza B-52 Stratofortress, haikuuza B1 Lancer, haikuuza B-2 Spirit na hii B-21 Raider haitouzwa.
 
Bomber ambayo ni remote controlled kama drone ?....dah!..japo inawezekana..
T14 Armata
B-21 ni Sixth Generation, mojawapo ya vigezo vya ndege kuwa generation hiyo ni kuwa stealth na kuwa manned na unmanned au kuwa unmanned kabisa. Sasa hii B-21 wanataka waipe uwezo wa kuendeshwa na rubani au kuwa kama drone. Iko na open architecture.

Nikifikiria nahisi ugumu wa maamuzi ya kuifanya strategic long range bomber yenye nuclear capability kuwa unmanned. Uweke mabomu ya nyuklia kwenye ndege haina rubani hii ni ujasiri wa hatari ila watajua wenyewe
 
Sidhani kama Urusi inahitaji heshima zako maana hata usipo iheshimu huwezi kuipunguzia chochote.

Waone wenye Ulaya yao wanavyo sema alafu ujitafakari iwapo kichwani una akili au una makamasi.View attachment 2433983
Kuna watu humu huwa tunabaki kuwatazama wanaweza kuongelea hiyo battlefield kana kwamba hata rehearsal waliwahi fanya.
 
 
Bado hawajafika wale wenyewe suruali mwisho magotini utajuta kuleta uzi🤣🤣🤣
Tunaambiwa Kwenye mpambano huko Ukreni kwamba"Adui anarusha makombora mingi zaidi ya 20kwa wakati mmoja ndio maana mifumo ya ulinzi inashindwa kuzuia, sasa ndege itabeba mingi kiasi gani impaka iwe tishio,!? Labda kama itakuwa kweli hilo Dege haliwezi kudunguliwa hapo ndio patakuwa na changamoto mpya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…