Marekani kuzindua B-21, ndege yenye uwezo wa kushambulia kwa nyuklia tena bila rubani

Marekani kuzindua B-21, ndege yenye uwezo wa kushambulia kwa nyuklia tena bila rubani

Kabla ya vita vya Ukraine niliwaheshimu sana Warusi kwa nguvu za kijeshi. BAADA ya hivi vita nimegundua hawa watu si lolote si chochote.
Wamepoteza askari wengi sana mbele ya taifa dogo .
Wamepoteza vifaa vyao vingi vya kijeshi.Imefikia askari wa Urusi wanakufa kwabaridi kwa kukosa mavazi sahihi ya kipindi cha baridi
Huku wengine wakivaa raba mtoni kwenye battlefield badala ya buti[emoji848]
Sidhani kama Urusi inahitaji heshima zako maana hata usipo iheshimu huwezi kuipunguzia chochote.

Waone wenye Ulaya yao wanavyo sema alafu ujitafakari iwapo kichwani una akili au una makamasi.
Screenshot_20221202-111100.jpg
 
Ndege za nini tena na Makombora yanatembea yenyewe bila bughudha kwa kasi kubwa kabisa zaidi ya sauti na kufikia malengo kwa uhakika kabisa!?

kombora linatumwa sehemu moja linakwenda kupiga na kujifia, ila ndege inaweza ikawatesa sana kwenye anga ya Bongo ikiachia makombora na kugeuza kurudi iongozwe makombora zaidi, na hamtaipata kwa rada maana inapiga mwendo kasi usioweza kusomeka ka rada.
 
Si mlisema west hawana swagga za kujitangaza juu ya silaha zao inakuwa kama surprise unaziona tu zimetinga mzigo ni. Imekuwaje tena? Wateja wamepungua/zimedoda?!!!
 
Hata ile drone iliyoangushwa na iran mlikuwa mnaisifia hvyo hvyo matokeo yake kombora moja tu mpaka leo kimyaa mmeacha kuisifia na hyo majaribio yake mkaipitishe iran
Iliyoangushwa na iran hii hapa chini ilikuwa inasifiwa kuliko hyo kwamba hata rada haizioni lakini imeshushwa mkabaki kulialia tuView attachment 2433654
Global hawk wala sio stealth ni high altitude surveillance drone.
 
Sifa za hii ndege ni za kiajabu ajabu, kitengo cha wana hewa (airforce) kitaagiza 100 kama hizi, zina uwezo wa kusafiri kwa mwendo kasi tena bila rubani na zitashambulia kwa silaha kali ikiwemo manyuklia......
Inazinduliwa leo ijumaa kareem...mpooo??? takbirrr
========================

The US Air Force will unveil its new B-21 Raider on Friday, a high-tech stealth bomber that can carry nuclear and conventional weapons and is designed to be able to fly without a crew on board.

The B-21 -- which is on track to cost nearly $700 million per plane and is the first new US bomber in decades -- will gradually replace the B-1 and B-2 aircraft, which first flew during the Cold War.

"The B-21 will be the backbone of our future bomber force." "It will possess the range, access, and payload to penetrate the most highly-contested threat environments and hold any target around the globe at risk," US Air Force spokesperson Ann Stefanek told AFP.

The first B-21 flight is expected to take place next year, and the Air Force plans to buy at least 100 of the aircraft, Stefanek said.

The manufacturer, Northrop Grumman, said six of the planes are currently in different stages of assembly and testing at its facility in Palmdale, California, where the unveiling will take place.
Bomber ambayo ni remote controlled kama drone ?....dah!..japo inawezekana..
T14 Armata
 
Kabla ya vita vya Ukraine niliwaheshimu sana Warusi kwa nguvu za kijeshi. BAADA ya hivi vita nimegundua hawa watu si lolote si chochote.
Wamepoteza askari wengi sana mbele ya taifa dogo .
Wamepoteza vifaa vyao vingi vya kijeshi.Imefikia askari wa Urusi wanakufa kwabaridi kwa kukosa mavazi sahihi ya kipindi cha baridi
Huku wengine wakivaa raba mtoni kwenye battlefield badala ya buti🤔
Supa-pawa kauvunja moyo wako..😂😂😂
 
Si mlisema west hawana swagga za kujitangaza juu ya silaha zao inakuwa kama surprise unaziona tu zimetinga mzigo ni. Imekuwaje tena? Wateja wamepungua/zimedoda?!!!
Unajua maana ya unveiling? Ni kutangazia umma uwepo wa kitu kwa mara ya kwanza, uzinduzi. Zile ni pesa za walipakodi wa Marekani na wanatangaziwa mzigo mpya ulioundwa. Wewe ukiona ukakasirika ni kiherehere chako Marekani haijakutangazia wewe na kwa taarifa yako hizi ndege haziuzwi. Marekani huwa haiuzi bombers, haikuuza B-52 Stratofortress, haikuuza B1 Lancer, haikuuza B-2 Spirit na hii B-21 Raider haitouzwa.
 
Bomber ambayo ni remote controlled kama drone ?....dah!..japo inawezekana..
T14 Armata
B-21 ni Sixth Generation, mojawapo ya vigezo vya ndege kuwa generation hiyo ni kuwa stealth na kuwa manned na unmanned au kuwa unmanned kabisa. Sasa hii B-21 wanataka waipe uwezo wa kuendeshwa na rubani au kuwa kama drone. Iko na open architecture.

Nikifikiria nahisi ugumu wa maamuzi ya kuifanya strategic long range bomber yenye nuclear capability kuwa unmanned. Uweke mabomu ya nyuklia kwenye ndege haina rubani hii ni ujasiri wa hatari ila watajua wenyewe
 
Sidhani kama Urusi inahitaji heshima zako maana hata usipo iheshimu huwezi kuipunguzia chochote.

Waone wenye Ulaya yao wanavyo sema alafu ujitafakari iwapo kichwani una akili au una makamasi.View attachment 2433983
Kuna watu humu huwa tunabaki kuwatazama wanaweza kuongelea hiyo battlefield kana kwamba hata rehearsal waliwahi fanya.
 
kombora linatumwa sehemu moja linakwenda kupiga na kujifia, ila ndege inaweza ikawatesa sana kwenye anga ya Bongo ikiachia makombora na kugeuza kurudi iongozwe makombora zaidi, na hamtaipata kwa rada maana inapiga mwendo kasi usioweza kusomeka ka rada.
 
Bado hawajafika wale wenyewe suruali mwisho magotini utajuta kuleta uzi🤣🤣🤣
Tunaambiwa Kwenye mpambano huko Ukreni kwamba"Adui anarusha makombora mingi zaidi ya 20kwa wakati mmoja ndio maana mifumo ya ulinzi inashindwa kuzuia, sasa ndege itabeba mingi kiasi gani impaka iwe tishio,!? Labda kama itakuwa kweli hilo Dege haliwezi kudunguliwa hapo ndio patakuwa na changamoto mpya!
 
Back
Top Bottom