Marekani na China zafikia makubaliano ya kibiashara baada ya mvutano wa muda mrefu

Marekani ya Trump hamna kitu alidhani akipandisha kodi watakaoathirika ni China pekee aisee...
 
Trump ni mafiii!

Mbwembwe zote zile zilikuwa za nini sasa?

Ajabu sasa mchina yeyealimuona Trump kama taahira flani tu,
Trump Alipoona mchina kamchunia akaazna kujibebisha kwa Xi jing ping
Ilikuwa ni tactics za kurudi mezani kuweka terms upya. China na US zote zinategemeana. Sisi tuendelee kuchagua upande kama Simba na Yanga.
 
Tiari hata hivyo china lazima ichukue hatua kuachana na usa usa ameshaajiharibia amna mtu atakayemwamini tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…