SI KWELI Marekani na DRC wakubaliana katika mikataba ya madini adimu na ulinzi

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Mkuu kwani ulithibitisha vipi beyond reasonable doubt kwamba waasi hawaui kabisa raia badala yake wanasingiziwa?

Lakini pia umefikiaje kirahisi tu conclusion ya kumvisha Kagame taji la uzalendo kwa kuvamia na kupambana na majeshi ya nchi nyingine? Kwa tunaoishi na jamii za watutsi tunajua fika tabia zao za roho mbaya, ubaguzi na ubinafsi huwezi katu kutudanganya kuwa Kagame anafadhili M23 kwa sababu ya kuguswa na misoto ya watu wa Congo, na eti haui kabisa anasingiziwa, never.
 
Duh!..
 
Hayo madini anayaiba Kagame kwa muda mrefu sasa, na ndio yanatumika kama fimbo ya kuwapiga wazaire.
Kumpa Marekani ina maana kumkimbiza Kagame kutoka kwenye hayo madini.
Maana nyingine Kagame amenyang'anywa uwezo wa kuuwafadhili M23.
MBOKA NA NGAI ...

Kagame anahitaji vikwazo tu Ili kukomesha vurugu anazofanya huko Kivu..
 
Hiyo inaitwa tukose wote.
DRC watakosa madini.
Rwanda watakosa madini.
Marekani watapata madini, DRC watapata amani pengine na maendeleo kidogo.
sio maendeleo kidogo bali maendeleo sana ila vikundi vya kias kwa namna moja ama nyingine vitahamishiwa nchi jiran , tuwe makini , maana watakuwa washapata hitaji lao
 
Hiyo inaitwa tukose wote.
DRC watakosa madini.
Rwanda watakosa madini.
Marekani watapata madini, DRC watapata amani pengine na maendeleo kidogo.
WIN WIN SITUATION HAPA ANAYEFAIDIKA NI MMAREKANI.....

BAADAE HUKO UTASIKIA MAREKANI INA HIFADHI KUBWA YA MADINI ADIMU IKIWEMO HAYO YA KUTENGENEZEA VIFAA VYA KIELEKTRONIKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…