SI KWELI Marekani na DRC wakubaliana katika mikataba ya madini adimu na ulinzi

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Waafrika tukiamua tunaweza ila ndio hivyo sasa
Trump akiwaita “ Shithole countries “ mnakasirika ! Yako wapi sasa? Waafrika wameshindwa kutatua matatizo yao wenyewe mpaka marekani aje kusuluhisha kwa ujira wa madini anavyotaka yeye! Halafu anawauzia silaha muuwane wenyewe kwa wenyewe! What a curse!
I pray that M23 should match all the way to Kinshasa and topple Tshekedi na hizo silaha zikija wazichukue .
Wakifanikiwa kufanya hivyo huo mkataba na marekani utakuwa batili
 
Mkuu; Usiogope kupita kiasi. Sisi cha kufanya hapo ni kuchukua Tahadhari. Hali ya huko haijachukua mrengo wa Itikadi za Kidini bali ni kikabila na Tayari yapo makundi zaidi ya 120. Kwa mantiki hiyo sio rahisi yakajitokeza makundi ya kigaidi esp. yale yenye usumbufu wa kugombania nafasi za peponi.
 
Hayo madini anayaiba Kagame kwa muda mrefu sasa, na ndio yanatumika kama fimbo ya kuwapiga wazaire.
Kumpa Marekani ina maana kumkimbiza Kagame kutoka kwenye hayo madini.
Maana nyingine Kagame amenyang'anywa uwezo wa kuuwafadhili M23.
Kule x watutsi wanalalamika sana issue ya mmarekani kupewa east congo
 
Siiafiki hoja hii kwa sababu M23 ni kundi mojawapo tu kati ya makundi yaliyopo na yenye silaha yanayopigana na dhidi ya Utawala wa Congo DRC. Hilo linamaanisha kwamba siku Utawala wa DRC ukianguka kitakachoendelea ni makundi hayo kutunishiana misuli - nani mbabe, nani amiliki wapi etc. Kwa hiyo wakati huo ndo kuuana kutakuwa ni "Order of the day". Hiyo ni mbaya zaidi ya hiki kinachoiendelea kwa sasa. Bora Trump afanye hiyo kazi ya Ulinzi japokuwa malipo yamekuwa ni ya juu sana.
 
Unampa marekani madini wewe unapewa vifaa vya ulinzi

ALIETULOGA WAAFRICA AISEE
Hayo madini ya Congo yameanza kuibiwa zamani ni kampuni za huko huko marekani (Apple) na M23 ndio waliokuwa wanagawa hayo madini na kupewa silaha kumshambulia Tikshedi DRC kuondoka madarakani. Sasa ni vile madini yao yataendela kuondoka kwa mtindo mwengine ambao utambakisha madarakani Tikishedi.
 
Huu ni mpango wa muda mfupi kukabiliana na Rwanda. Baada ya hapa upo mpango wa muda mrefu kuunda jeshi lenye nidhamu na malipo stahiki lakini kwamba sasa tayari wameshajifunza kutokana na makosa mengine yataendelea kurekebishwa.
 
Huyo Traore ajikite katika kujenga taasisi imara na si kujiimarisha kimadaraka.
 
Wewe! Huu ni uamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Kwani toka madini hayo yawepo zaidi ya vifo vingi kwa wakongo na wizi kwa Rwanda imewafaidisha nini wakongo. Kwa sasa amani kwanza mengine baadae. Kama ndivyo inavyosema kumbe yupo sahihi maana kuna msemo " mpe mchawi mwanao amlee" kwamba kwa kuwa madini yatakuwa mikononi mwake manyang'au mengine kama m23 na Kagame hayatosogea kuharibu maslahi ya USA na kuendelea kuwepo kwa amani kwa wakongo
 
Ameamua hasa na kuufutilia mbali mkataba wa Lemela ulitaka kuwatambua watusi na kuwpa nafasi za ajira nyeti ingawa alichelewa lakini walioingia wanakiona cha mtema kumi nl hasa familia zao
Naomba a deal nayo vibaya sana hayo majitu yenye pua na shingo ndefu. Sijui yanajikutana ni akina nani tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…