SI KWELI Marekani na DRC wakubaliana katika mikataba ya madini adimu na ulinzi

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Hiyo ni better option kuliko kuwaleta marekani kuja kutawala uchumi wa Congo! M23 ni wacongo wenye asili ya Kitutsi hivyo they are fighting for their country!
Fighting for their country huku wakivuruga amani na kuuwa raia.
 
Mkuu. Usiogope. Wanajeshi wetu wataendelea kupata Dolari kwani huyo mwamba huchukua walinzi kutoka sehemu mbalimbali kwa Mkataba. Si unakumbuka yale ya kampuni ya Black Water?
Malipo ya dola elfu moja kwa mwezi ndio yanakufanya utambe?
 
Huu ni mpango wa muda mfupi kukabiliana na Rwanda. Baada ya hapa upo mpango wa muda mrefu kuunda jeshi lenye nidhamu na malipo stahiki lakini kwamba sasa tayari wameshajifunza kutokana na makosa mengine yataendelea kurekebishwa.
Kama hivyo sawa mkuu
 
Ndo hitaji lake kwa sasa. Uwwzekano mkubwa kapunjwa.
Alternatively, aorganise achimbe mwenyewe awauzie faida aitumie kuimarisha usalama wake, na hii ndo best alternative but it needs brain to implement. Hiyo brain anayo?
Ila mzee kwa nchi za Kiafrika uchumi wa kuchimba madini hatuna, hii njia aliyoitumua mie naona iko vyema mfano Saudia mbona walitoa mafuta yao ili walindwe na USA na mambo yanawaendea vyema tu. Muhimu wangie nao mkataba mzuri wenye kuilinda kongo na watu wake
 
Smart move so far. Ulitaka afanyeje? Hata mimi ningefanya hivyohivyo.


Amefanya jambo jema sana kuliko kumwacha Kagame aendelee kuwaua wakongo kwa kutumia madini yao wenyewe. Ni aheri madini yao yatumike kuwalinda.
 
Tshekedi kachukua uhamuzi sahihi kabisa!
 
Babu zetu hawakusoma na ilitumika nguvu kubwa sana kuwakoloni, sasa hivi Africa kuna wasomi kila Kona lakini tunaenda wenyewe kuomba ukoloni.
We ni kibaraka wa Kagame,kwahiyo Tshekedi asiombe ulinzi wa America kisa ukoloni?au ni bora kagame aibe madini au bora zaidi kumpa mmarekani huku akikupa zana za ulinzi na ulinzi kulinda raia wako wasiendelee kufa?mnafurahia Raia wa Drc wanavyopata tabu, Ukraine huko umesikia kakubari kumpa migodi america ili apate ulinzi,cha ajabu nini!!
 



Lini ulisikia wamevamia nchi ya watu kuiba rasilimali?
wewe huna akili kbs waarabu wnyw wanakimbilia kwa wazungu hawakimbilii kwa waarabu wenzao hakuna mtu mwny roho mbaya sn kwa muafrika kama mwarabu, muindi, mchina ukfanya kaz kwa haya matakataka ndo utajua hujui utaondoka ukiwa maskini kama si kufa kbs tofauti na wazungu mambo kuvamia nchi nyngn ni vile mwarabu hana mabavu tu angekuwa nayo angeshasilimisha kwa upanga dunia yote. Hakika allah ni shetani kbs
 
Hiyo ni better option kuliko kuwaleta marekani kuja kutawala uchumi wa Congo! M23 ni wacongo wenye asili ya Kitutsi hivyo they are fighting for their country!
Kama ni wakongo inakuwaje viongozi wa kundi hili la m23 ndo hao viongozi ama waliowahi kuwa wanajeshi na viongozi wa jeshi la Rwanda. Hii ni Hadaa ya kitoto.
 
Kuna watu humu kichwani wepesi kama unyoya hapo DRC USA sio wageni, kinachoenda kutokea ni ku dominate tuu zaidi ya hapo hakuna jipya. Wanakwambia ku neutralize majeshi ya kigeni, akina? UN wapo huko for decades and now wapo huko wameshikiliwa mateka na hao rebels why now na inasemekana magari yao yalikuwa yanapakia madini asubuhi na jioni. Hao waasi. Ngoja tuone uelekeo wa upepo. Na Trump hataki tena ku fund kitu kinachoitwa UN. Tishekedi ameweza kuiuza congo ila ameonyesha uwezo mdogo wa kiuongozi.
 
Waafrika bado tutatawaliwa milele
Kama tuna viongozi ambao wanaishi kwa misaada na wakijilimbikizia mali za Umma bila kuwaza mengine

Tutalia sana ila hakuna wa kuokoa
Maraisi wetu ndio hao
 
Tulisema TPDF iingie mikataba ya aina hii tukabezwa hapa.

Haya sasa beberu kawahi fursa.
Sasa Cockroach Kagame ni aidha ataambiwa atulie kama maji ya mtungi au anyooshe Ile shingo yake kama ya mbuni halafu aonyeshwe kazi.
 
Ni kweli kabisa sipingani na wewe, Amani kwanza na kuwafukuza wengine kunafuata

Japo wanasema hakuna amani/maendeleo bila umwagikaji wa damu
 
Hana namna, anatafuta kutawala Congo kwa amani na yeye apate mkate. M23 unawajua ni akina nani? Hadi Ufaransa ni M23, ukiachilia mbali akina Kagame.

Hapo bila kuomba msaada asingefika mbali.
N i kweli kabisa M23 wana backup kubwa nyuma yao, suala linalozidi kuumiza kichwa watafuta suluhu juu ya mgogoro huu

Hakuna anayekubali kujishusha na kuweka silaha chini kwa amani/kutoka moyoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…