TawireCredit kwa Pascal Mayalla
Marekani, US, na washarika wake, EU, kupitia mashirika yao ya kibeberu ikiwemo IMF, WB, US AID, CIA, NATO, etc, ndio nchi zinazoongoza kwa imperialism, wakiamua kiongozi fulani hawamtaki kwa maslahi yao, watamtafutia sababu, wakikosa, watamtungia uongo wa ukiukwaji wa haki za binadamu, mradi wapate justification ya kuingilia mambo ya ndani na kumuondoa.
Walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kwa kutaka kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa sababu ya ku over stay?, na tetesi with no facts JPM kwa kutetea rasilimali.
Haya mauaji ya halaiki hayawezi kuwa sababu? Wameshaanza, US kupitia ma senator wake wamesema uchaguzi haukuwa huru, bunge la Ulaya limesitisha misaada linakwenda kuweka vikwazo.
Unazijua sababu za kibiti na msumbiji na matokeo yake???Kwa hiyo hao jwtz ndio wa kuzuia USA na Nato kuleta silaha tz kuwatoa ccm madarakani. Au Tanzania itashusha mabomu usa na nchi za ulaya zote. Au Tanzania itaipiga Usa vikwazo vya kiuchumi usa na ulaya yote mpaka mmarekani aiombe msamaha Tanzania kwa vikwazo vikali vya kiuchumi. Nchi ambayo imeshindwa kuwapa watu maji tu, nchi imeshindwa kuwa na vyoo kwenye shule za msingi, imeshindwa kuwapa vijana ajira watoto wanamaliza shule na vyuo wapo tu ndani, Ndio ishushe bomu kwa mmarekani na kushusha mabomu ulaya yote?
Unazijua sababu za Libya na Syria na matokeo yake?Unazijua sababu za kibiti na msumbiji na matokeo yake???
Kwa yaliyotokea 29/10 na kuyashuhudia kwa macho yangu. Nachelea kusema Gen z wangekuwa na silaha Dsm tungekuwa ndani mpaka leo.Kwa hiyo hao jwtz ndio wa kuzuia USA na Nato kuleta silaha tz kuwatoa ccm madarakani. Au Tanzania itashusha mabomu usa na nchi za ulaya zote. Au Tanzania itaipiga Usa vikwazo vya kiuchumi usa na ulaya yote mpaka mmarekani aiombe msamaha Tanzania kwa vikwazo vikali vya kiuchumi Na viongozi wote wa ulaya waiombe msamaha Tanzania kwa vikwazo vikali vya kiuchumi toka Tanzania. Nchi ambayo imeshindwa kuwapa watu maji tu, nchi imeshindwa kuwa na vyoo kwenye shule za msingi, imeshindwa kuwapa vijana ajira watoto wanamaliza shule na vyuo wapo tu ndani, Ndio ishushe bomu kwa mmarekani na kushusha mabomu ulaya yote?
Kama wale watoto wa Gen Z wangekuwa na Silaha nahisi samia angeshapinduliwa siku ile ile au nchi ingekuwa kwenye vita kati ya maaskari wa ccm na maaskari wasiotaka ccmKwa yaliyotokea 29/10 na kuyashuhudia kwa macho yangu. Nachelea kusema Gen z wangekuwa na silaha Dsm tungekuwa ndani mpaka leo.
Sijajua mantiki yako nini lakini kusema mauaji yaliyotokea Tanzania ni sababu tosha kabisa mtu hatari kama huyoCredit kwa Pascal Mayalla
Marekani, US, na washarika wake, EU, kupitia mashirika yao ya kibeberu ikiwemo IMF, WB, US AID, CIA, NATO, etc, ndio nchi zinazoongoza kwa imperialism, wakiamua kiongozi fulani hawamtaki kwa maslahi yao, watamtafutia sababu, wakikosa, watamtungia uongo wa ukiukwaji wa haki za binadamu, mradi wapate justification ya kuingilia mambo ya ndani na kumuondoa.
Walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kwa kutaka kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa sababu ya ku over stay?, na tetesi with no facts JPM kwa kutetea rasilimali.
Haya mauaji ya halaiki hayawezi kuwa sababu? Wameshaanza, US kupitia ma senator wake wamesema uchaguzi haukuwa huru, bunge la Ulaya limesitisha misaada linakwenda kuweka vikwazo.
Waleteni andikeni barua kuwaombaUnazijua sababu za Libya na Syria na matokeo yake?
Hilo ndo tatizo sasa tena kubwa sanaMtu anayeonewa huwa haangalii baada ya anachojua ni kumuondoa kwanza anayemuonea.
Kwa jpm unawasingiziaWalimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kwa kutaka kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa sababu ya ku over stay?, na tetesi with no facts JPM kwa kutetea rasilimali.
Gaddafi na Samia nani alikuwa na uwezo kumzidi mwingine.Mnaichukulia hii nchi kizembe sanaa.... Wajaribu tu
Ndio maana nikaweka kama tetesi but let's not judge out.Kwa jpm unawasingizia
😂😂 mara ya mwisho ilikua lini marekani ametoa mtu madarakani, hio marekani unaoiongea saahv inaendeshwa na israel sio marekan ile unaoijuaHuyo marekani ananguvu kubwa sana .china yupo kwa maslai binafsi .alafu tanzania ni mnafiki afumgani na upande wowote hicho kimemlamba
It depends na uhusiano, nkupe mfano libya ilijitoa 100% kumsaidia uganda kipindi cha vita ya id amin, vita ile ilitulemea sana kama sio msaada wa akina m7 na waganda wenyewe tungeisha vibaya mno, diplomasia ni muhimu lakini sio lazima iwe na westkwa hiyo unaamini kabisa kwamba china wako tayari kurisk kila kitu na west ili kutetea utawala wa tanzagiza? nipe mfano mmoja tu ambapo china alimtetea yoyote against the west na ikafanikiwa.
btw kwa nini tanzagiza haikuhudhuria (alikwa) g20 iliyofanyika AK juzi kati …
Mpaka leo wamemshindwa m7 na kagameWazungu wana mbinu nyingi sio lazima watumie mbinu za Kongo.
We ni mjinga, cha kwanza uelewe walioleta fujo juzi hawazidi ata 15k,Jidanganye. Kwa sasa watanzania wana maumivu makubwa sana Mioyoni mwao. Anti-ccm rebels wakianza watapata wapiganaji wengi mno. Ndivyo ilivyotokea Libya. Nato na us walikuwa wanashusha matani na makontena ya silaha kwa ndege toka angani wananchi wanakuwa nazo wanajipanga kuwa rebels mpaka wakamtoa Gaddafi. Hakuna mtu yoyote duniani wa kumzuia USA au Nato au EU na wakichukua ndege zao zikaja Tanzania na wakiamua kushusha shehena ya silaha toka angani mikoa yote Tanzania kama dar,mwanza, arusha mbeya, songwe,n.k na vitabu na video ya jinsi ya kutumia silaha. Ccm watapigika vibaya mno
It depends na uhusiano, nkupe mfano libya ilijitoa 100% kumsaidia uganda kipindi cha vita ya id amin, vita ile ilitulemea sana kama sio msaada wa akina m7 na waganda wenyewe tungeisha vibaya mno, diplomasia ni muhimu lakini sio lazima iwe na west
Sasa warisk wananchi wao kwa kipi Uganda au Rwanda.Mpaka leo wamemshindwa m7 na kagame