We lazima utakuwa muimba kwaya tena sauti ya 7 ile nyembamba saanaCredit kwa Pascal Mayalla
Marekani, US, na washarika wake, EU, kupitia mashirika yao ya kibeberu ikiwemo IMF, WB, US AID, CIA, NATO, etc, ndio nchi zinazoongoza kwa imperialism, wakiamua kiongozi fulani hawamtaki kwa maslahi yao, watamtafutia sababu, wakikosa, watamtungia uongo wa ukiukwaji wa haki za binadamu, mradi wapate justification ya kuingilia mambo ya ndani na kumuondoa.
Walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kwa kutaka kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa sababu ya ku over stay?, na tetesi with no facts JPM kwa kutetea rasilimali.
Haya mauaji ya halaiki hayawezi kuwa sababu? Wameshaanza, US kupitia ma senator wake wamesema uchaguzi haukuwa huru, bunge la Ulaya limesitisha misaada linakwenda kuweka vikwazo.
Walimshindwa General Farah Aidid na kufunga viragoCredit kwa Pascal Mayalla

Hao NATO na Us umewakomalia sana😂😂😂Kwa jinsi ccm na shetani samia wanavyong'ang'ania madaraka njia pekee ya kuwatoa ni coup d'etat (au wanajeshi wa jwtz wamtoe samia Na ccm yote nadarakani) au Tanzanian civil war. Labda genz waamue kutulia ila wakiendelea kuuliwa kwa wingi na Mmarekani na NATO wakiingilia kati tutafika huko.
Kwani :-Haya mauaji ya halaiki hayawezi kuwa sababu?
Hata kama hayawahusu utajua mwenyewe wakiamua wameamua. Jiulize walipomtoa Sadam kweli kulikuwa na WMD.Kwani :-
1. US ndiyo iligoma kufanya reforms zilizopelelekea chadema kuja na NoReNoE?
2. US ndiyo iliyomfungulia Lisu kesi ya kubumba ya uhaini?
3. US ndiyo iliyoandaa "uchafuzi" ambapo Samia alikuwa anashindana na kivuli chake?
4. US ndiyo iliyoamuru wasndamaji wapigwe risasi za moto?
Mkuu un hakika kabisa hayo Maandamano yalikuwa ni ya Wakristo tu? Inasikitisha na Tanzania tuna safari mdefu mno!Leo mnaomba mabeberu
Si mnasema mtakiwasha
Mlikurupuka M29, mkafinyangwa barabara sasa mnawalilia wazungu mara madowo
Vipi au ndio uoga wenyewe tarehe zinavyokaribia
Jichanganyeni tena d9,
This time, order ya SHOOT TO KILL imetolewa hadharani
Nasubiri vimaombi ya kigalatia kuwa yesu yuko nanyi
Kama unaona mada sio saizi yako unasepaWe lazima utakuwa muimba kwaya tena sauti ya 7 ile nyembamba saana
Unashoboke wazungu!
Yaani ovyo kabisa
Next stop ni Iran.Ulikuwa sahihi
Bado huamini hadi uone picha, haya huyo hapo tayari keshaingia kwenye 18, wanaye.Ilikua zaman sio sasa, karne hii lazima uchague upande mfano wa wamarekani na genge lake ama upande wa china na genge lake
Habari za asubuhi.Hahaha Bavicha bana kambi zitakuwa poli gani kwa Moshi?
mkuu naona uliona mbali sana hatimae leo yamekuwa.Venezuela naona kapewa siku kadhaa tu. Amesema Yes sir
Tayari.Venezuela naona kapewa siku kadhaa tu. Amesema Yes sir
Wakitoka Iran wakujeNext stop ni Iran.