Marekani na Iran zimeripotiwa kufikia makubaliano ya kihistoria

Iranian kufunga Hormuz ilikiwa pigo kubwa kwa Marekani na Ulaya kutoka apo malengo ya Marekani na Israel +Ulaya yakafa kibudu👈

1)Marekani ikaja kushtuka kuwa Iranian inaweza kusambalatisha Kambi zao zote pale gulf state ndani ya nusu saa tu.

Lkn Iranian imeziwacha kwa malengo yake ya kisiasa kama dhamana ya pamoja ya Usalama wao Iranian ✅️

Ule msemo Mkizingua tunawazingua nanyinyi kwenye kambi zenu.

2)
Israel nayo inatumiwa na Iranian kwa maslahi yake manake Iranian inaweza kuisambalatisha na kuiyangusha Serikali ya Israel ✅️

lkn Iranian ipo nayo mdogo mdogo lengo lile lile kuwatumia Raia wa Israeli kama dhamana yao kulinda raia wa Iranian kwenye migogoro!

Iranian inaweza kuitwanga Israeli wakiwa popote lkn wamenyuti !❗️

malengo yamefaamika ya Iranian
ni Super power ✅️

Trump kaona yaishe tu njia ya Vita ni hatari zaidi njia ya vikwazo navyo vigumu kwasasa Iranian imekuja na njia ya kufunga Hormuz 👈

Hormuz ni moyo wa Uchumi wote wa Gulf States Saudi Arabia UAE Iraq Kuwait Qatar Bahrain wote wanaenda kuzuiwa kupita Hormuz Marekani imewekeza kukubwa kwenye Gulf States ❗️

So Iranian imeshinda vita kwa Ujumla wake ✅️

Kushinda vita kumetokana na kuwa nii
1 )Vigumu kuitwanga Iranian kivita hatari kwao ❌️

2)Vigumu kuendelea na njia ya Vikwazo kwa Iranian Hormuz ❌️
 
Hakuna anayekuamini humu unaokoteza vi-news uchwara Marekani karibu media nyingi ni ant-Trump ndo maana ukirefer sakata la COVID alipotoka Trump Tu COVID ikakosa popularity taratibu na hatimaye vita ya Ukraine. Hizo shule mnazijua nyie Tu kobazi au siyo?

Ni kweli USA anaangalia maslahi Yake lakini walau huwa ni muwazi na anajali human rights japo nakiri vita haina macho minor injuries to civilians havikwepeki.
 
Hiyo habari ya Iran kuendelea na mradi wake wa nyuklia umeitoa masjid ubwabwa gani.!!!???😛😛😛
 
Hiyo habari ya Iran kuendelea na mradi wake wa nyuklia umeitoa masjid ubwabwa gani.!!!???😛😛😛
*Iran kupokea $300b toka marekani na washirika, JD Vance kathibitisha punde, kumbuka GDP ya Iran ni $300.24
*Iran na Oman kutoza matumizi ya Hormuz
*Marekani kuachia $24b za Iran
*GCC kuipa Iran $12b
*Iran kurutubisha uranium kwa level zisizo za kitengeza silaha

Ukitafuta uthibitisho wa marekani kupigwa na Iran basi ni hayo makubaliano,angekua kashinda vita asingekubali kusaini hiyo memorandum
 
Unahisi USA ni TZ siyo? Ile nchi ina mizizi mirefu kila Kona ya dunia unayoiishi🤣 hata USSR wakati wa cold war walipambwa kila Kona kwamba wapo vizuri! Ila mpaka leo hawajui nini kiliwakuta. Ogopa nchi ina influence dunia nzima
Hapo tukikuuliza unawajua wasanii wangapi top elites wa Iran na Russia huwajui! Lakini unafurahia pop, RNB na rap. Achilia mbali pepsi na coca unazokunywa daily bila kusahau iOS na android
 
Duu umesaau na Rambo Van
dame Arnold Marekani inatishaa km Sudan kusini
 
Kuna coment ukisoma humu utagundua kwanini ccm bado inatutawala mpaka leo
 
Kubutulia Kambi za Marekani asa ya Jordan wengi wanaamini chanzo cha Marekani kutafuta Suluhu na Iranian 🤔

kwamaana wameshindwa kuzuiya MAKOMBORA yao kikamilifu!!!

jambo gumu kupigana kivita na mshindani wako wa aina iyo anaweza kukuvua nguo mbele za ulimwengu ndani ya dkk 30 tu.

TRUMP kachutama kimtindo👈
 
Uncle Sam hafanyi negotiation from position of strength
Ataingia kwako akupige, aharibu kila kitu mwisho aibe kila anachoweza mf Afghanistan, Iraq, Syria, Libya na hata Venezuela kumnyakua Rais wao
Ukiona anazungumza nawe hapo jua mambo hayako sawa upande wake
Amekubali masharti ya Iran (14 point plan) na ameipa unafuu zaidi ya hapo awali

Watu asiowataka, IRGC ndio wanaongoza nchi, ma hardliner kuliko wazee waliokufa waliokuwa washajichokea, living on borrowed time
Viongozi wa sasa ni maveteran wa vita ya miaka 8 Iran vs Iraq, miaka ya 80, wao vita ya attrition ndio walijifunzia maisha. Imebidi akae nao miezi 2 wanafanya negotiations na misimamo yao licha ya kuwaita “terrorists” na US principle yao hawa negotiate na “terrorists”

Trump ameshindwa kuangusha utawala wa Iran licha ya pressure kutoka kwa Israel na aibu kubwa kwake bendera ya Iran inapepea US huku nyimbo ya kusifu Islamic revolution inapigwa nchini kwake
Iran imepata uungwaji mkono na mataifa mengi tofauti na hapo awali na propaganda za Western media
Angalia support waliyoipata kwenye World Cup
EU wameona nani wa kushirikiana naye na siasa za Middle East zinabadilika
Nchi za kiarabu zitaanza kuiheshimu Iran zaidi na kutotegemea ulinzi wa US
Israel hawataki peace plan na wanaona US amewaangusha
Watasababisha machafuko au mauaji US ili waisingizie Iran halafu US wapate sababu ya kupigana tena, jambo ambalo hawako tayari ila AIPAC na watu wao lazima watataka kutimiza malengo yao
Leo B52 imeanguka huko US,
Mossad washaingia kazini

View: https://x.com/mog_russen/status/2066617534426870198?s=46&t=QPom08LshpQkexuINedA9Q
huku mahusiano yanaanza kuharibika
“ Israeli National Security Minister Itamar Ben-Gvir canceled a planned family trip to the United States after encountering difficulties obtaining a U.S. visa, per Haaretz”
 
Pole sana, najua umeumia kuona US kasalimu amri na kuondoa vikwazo. Mlidhani vita itaangusha utawala wa Iran cha ajabu leo mnaingia makubaliano na mliowaita magaidi.
Ujinga mtupu unawasumbua Iran Mwanzo alikataa kabisa mazungumzo lakini baada ya Total-Blockade ilibidi asalimu amri maana palikuwa hapapiti kitu bila idhini ya Marekani Iran alikuwa hufanya biashara yoyote ile!!,,

Iran ndiye kasalimu Amri kwa kiranja wa dunia kwa kula matapishi yake kukubali Mashariki ya Marekani pamoja na kujifanya mbabe!!
 
Hutaki kusikia ukweli mmezoea kumezeshwa UHARO na akina zitto junior na Bumunda Ritz
Mzee wa uharo,Yahudi mweusi wa Nzega,Mlokole pori
Tafuta kazi ya kufanya usije ukawapa tabu watu wengine kuja kukulea uzeeni mwako,

Haya matapishi unayo yamwaga humu kila siku hayatakuja kua na msaada kwako.
 
Wacha weeeee!
Mchambuzi wa masuala ya kimataifa kutoka Nzega vijijini.
 
Hamna tena habari ya regime change wala makombora na nyuklia😂
Marekani atafanyia hilo kazi kimyakimya. Utawala lazima uondolewe. Hata hivyo umeshadhoofisshwa sana, na una hofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…