The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Unajua kua US aliwapa silaha waandamanaji wa Iran? unajua kua kulikua na mamluki wa US na Israel kwenye yale maandamano? wote walikamatwa na silaha zilikamatwa,Marekani atafanyia hilo kazi kimya kimya, Utawala lazima uondolewe. Hata hivyo umeshadhoofisshwa sana, na una hofu
Marekani kwani ni nani asikamatwe? Na ni kwa nini asijiulize alikamatwaje ili aje kivingine? Muda utaongeaUnajua kua US aliwapa silaha waandamanaji wa Iran? unajua kua kulikua na mamluki wa US na Israel kwenye yale maandamano? wote walikamatwa na silaha zilikamatwa,
Yani Marekani atafanya kimya kimya ila wewe uliyepo huko madongo kuinama unajua? ndio kimya kimya hua inakua inajulikana hivyo sio?
Hiyo comment yako inatakiwa ipelekwe kwenye jukwaa la vichekesho.
Mzee wa Uharo naona umerungwa hujui hata unachotetea msome Bashaaa wako Netanyahu hataki mkataba wa Iran na Marekani wewe unausifia๐Ujinga mtupu unawasumbua Iran Mwanzo alikataa kabisa mazungumzo lakini baada ya Total-Blockade ilibidi asalimu amri maana palikuwa hapapiti kitu bila idhini ya Marekani Iran alikuwa hufanya biashara yoyote ile!!,,
Iran ndiye kasalimu Amri kwa kiranja wa dunia kwa kula matapishi yake kukubali Mashariki ya Marekani pamoja na kujifanya mbabe!!
Mzee wa Uharo unaumia sana ukiambiwa ukweli? Mpaka umeamua kuwasemea Wafuga Midevu na Majini wenzako au ukiwa Mwarabu-Koko unakosa akili hata ya kujisimamia wewe mwenyewe?Yahudi Mweusi wa Kakonko anatoa tamko kwa niaba ya Trump๐
Mzee wa UHARO Tumia akili zako vizuri Aliyekuambia naunga mkono mkataba wa Magumashi Nani?Mzee wa Uharo naona umerungwa hujui hata unachotetea msome Bashaaa wako Netanyahu hataki mkataba wa Iran na Marekani wewe unausifia๐
BREAKING: NETANYAHU ASEMA HAKUBALIANI NA MKATABA WA TRUMP WA IRAN NA ALIMWAMBIA TRUMP โTUNA MASLAHI YETUโ
โMkataba huu ulifanywa na Marekani, na Rais wa Marekani, na anaamini kwamba anaweza kufikia usimamizi na kubomolewa kwa mpango wa nyuklia.
Nilisema: huo ni uamuzi wake. Narudia: huo ni uamuzi wake. Anauongoza.
Bila shaka, nilitoa maoni yangu katika mazungumzo mbalimbali.
Kwa upande mwingine, nilisema kwamba tuna maslahi yetu wenyewe.โ
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/2066596345561887022?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Mzee wa Uharo kavurugwa hajui hata anachokitetea bwana yake Netanyahu hataki huu mkataba Mzee wa Uharo anakuambia mkataba mzuri๐Mzee wa uharo,Yahudi mweusi wa Nzega,Mlokole pori
Tafuta kazi ya kufanya usije ukawapa tabu watu wengine kuja kukulea uzeeni mwako,
Haya matapishi unayo yamwaga humu kila siku hayatakuja kua na msaada kwako.
Wakati yeye anajiuliza alikamatwaje ili aje kivingine,na wakamataji nao pia wanapanga wamkamate vipi tena,Marekani kwani ni nani asikamatwe? Na ni kwa nini asijiulize alikamatwaje ili aje kivingine? Muda utaongea
Mzee wa Uharo ananiogopa kama ukoma,hana ujasiri kabisa wa kugusa comment zangu,akiona tu comment zangu hua anaanza kutetemeka hovyo.Mzee wa Uharo kavurugwa hajui hata anachokitetea bwana yake Netanyahu hataki huu mkataba Mzee wa Uharo anakuambia mkataba mzuri๐
Mzee wa Uharo anayeumia ni huyu.Mzee wa Uharo unaumia sana ukiambiwa ukweli? Mpaka umeamua kuwasemea Wafuga Midevu na Majini wenzako au ukiwa Mwarabu-Koko unakosa akili hata ya kujisimamia wewe mwenyewe?
Wapi nimesema mzuri?Mzee wa Uharo kavurugwa hajui hata anachokitetea bwana yake Netanyahu hataki huu mkataba Mzee wa Uharo anakuambia mkataba mzuri๐
Mzee wa Uharo hajui anachotetea umesema kuwa Iran amafuata masharti ya Marekani baada ya kizuizi baada kukuletea habari za bwana yako Netanyahu kuwa analalamika na wewe umebadilika๐Mzee wa UHARO Tumia akili zako vizuri Aliyekuambia naunga mkono mkataba wa Magumashi Nani?
Hivi kwa nini ukiwa Mwislamu lazima uwe muongo muongo Sana? Wapi nilipounga mkono mkataba wa Magumashi?Mzew wa Uharo hajui anachotetea umesema kuwa Iran amafuata masharti ya Marekani baada ya kizuizi baada kukuletea habari za bwana yako Netanyahu kuwa analalamika na wewe umebadilika๐
Mzee wa Uharo jisome hapa.Ujinga mtupu unawasumbua Iran Mwanzo alikataa kabisa mazungumzo lakini baada ya Total-Blockade ilibidi asalimu amri maana palikuwa hapapiti kitu bila idhini ya Marekani Iran alikuwa hufanya biashara yoyote ile!!,,
Iran ndiye kasalimu Amri kwa kiranja wa dunia kwa kula matapishi yake kukubali Mashariki ya Marekani pamoja na kujifanya mbabe!!
Copy & PasteMzee wa Uharo jisome hapa.
Unasema Iran kasalimi amri baada ya Total blockade๐
Umesema Iran kasalimu amri wakati bwana yako Netanyahu kasema Iran ni tishio kwenye huu mkataba unamnufaisha.
Msome bashaa wako mwingine huyu๐
Trump ๐บ๐ธ anadharauliwa na Israeli ๐ฎ๐ฑ ๐๐๐๐๐๐
Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israeli Ben Gvir alisema kwamba Israeli ๐ฎ๐ฑ haichukui maagizo kutoka Marekani ๐บ๐ธ
Aliendelea kusema MoU haifungi Israeli ๐ฎ๐ฑ na wanaweza kufanya wanavyoona inafaa ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
View: https://x.com/andzace/status/2066498275197223105?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kisha unasema Iran kasalimu amri sasa hawa mabwana zako wanalalamika nini Mzee wa Uharo kwa faida ya JF tufahamishe๐