Marekani na Israel wameziomba Nchi za Afrika Mashariki zikubali kuwapokea Wapalestina wa Gaza

Arabs league kikao kilichofanyika wiki chache zilizopita Egypt nakumbuka mpango huo ulipingwa na walipendekeza kutenga kiasi fulani cha Pesa kuijenga Gaza tena
 
We siye wazinza hatuna tabia ya kujitoa muhanga, na wengi wetu siyo wafuasi wa dini ya Munyaazi-mungu. Wapelekwe mafia.

Abhazinza tulibhache twimanye
Alooo msemo wa zamani sana huu abazinza twimanye

Umenikumbusha mbali sana
 
Jordan na misri zimechomoa kuwapokea ndugu zao ndio wawapeleke kwa wasomali, watawezana?
 
Wakija wakubali kuchanganyikana na wazawa, mabinti zao waolewe na wenyeji na wao waoe mabinti wa kienyeji na wajue huku hakuna udini na ukabila

Kwahiyo wakichanganyikana unapata nini!! Ila watanzania bwana, wengi wetu tunapenda mno kujiona ni watu wenye kuonewa onewa, na kujihisi kubaguliwa all thetime, kazi kweli kweli.

Na huwezi ukalazimisha race flani uowe kwao, kama hawana interest na wewe usilazimishe, na sio kufosi.

Na kwa taarifa yako, hawahami hata watumie nuclear, pale ni kwao na ardhi yote pale Israel ni yao.
 
Hizi habari zilivuma kuwa watu wa gaza wataletwa congo na ndio kisa cha hiyo vita inayoendelea DRC Sasa hivi mjumbe wa 🇺🇸 ni Angola wengine wote tupa kule.
 
Wapelekwe South America, kwanza wanatudharau wanasemaga sisi Waafrika weusi ni "Al Abidi" yaani ni Watumwa wao.
 
Wanaposema nchi za Africa mashariki wanajumlisha nchi za Sudan, Somalia na Somaliland.
 
Kwani Freetown na Monrovia pamejaa?
Ama hata Bujumbura wakapate homa ya Kenge?!!
 
Ninapofikiria tu ubaguzi wa Muarabu+Uislam nasema hapana. Znz tu jinsi wanavyobagua wakristo halafu tena tuletewe hao !!!!
 
Waje. Tz tuna mapori mengi kule msomera. Ila kila familia ipewe lc 300 mupyaaa. Na dola 10,000/mwezi ya mafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…