Marekani na Israel wameziomba Nchi za Afrika Mashariki zikubali kuwapokea Wapalestina wa Gaza

Marekani na Israel wameziomba Nchi za Afrika Mashariki zikubali kuwapokea Wapalestina wa Gaza

Iran iko mstari wa mbele kuwasaidia HAMAS kwanini isiwachukue wakaishi huko.

Na kwanini waarabu waje afrika wasiende nchi za kiarabu?

Hawaoni kinachotokea SUDAN, waarabu hawataki waafrika, wanataka Sudan iwe mali yao pekeyao.
 
Kulingana na gazeti la Financial Times, inasemekana Marekani na Israel wamewasiliana na viongozi wa Afrika Mashariki kuomba kuwahamishia Afrika Mashariki Wapalestina wote waishio Gaza.

View attachment 3270673
Kha! Tayari ishara ya wazi kwamba tunaenda kusogezewa HUSDA, CHUKI na UGAIDI katika maeneo yetu na AMANI tuliyoizoea sasa ndo basi tena inaenda kuyeyuka kama mshumaa.
Laiti au Naombea kama viongozi wetu watatoa hoja ya kuwepo na zoezi la kupiga kura (plebicite)ya wananchi ambao wapo kwenye maeneo yatakayohusika, wananchi hao waseme Ndiyo au Hapana ie. Tunaridhia au Hatuwataki. Au ikiwapendeza wakatae jambo hilo moja kwa moja kukingali mapema kwani uzoefu unaonesha kwamba mwisho wa siku hao jamaa hugeuka na kuanzisha machafuko. Sio watu wazuri hao - tuwakatae wakatafute mahali pengine. Mbona Marekani na Israel wenyewe ambao ndo Agenda yao hawawataki halafu eti wanatusakizia sisi. Hawana nia njema kwetu.
 
Zama hizi unaishi na yeyote acha ushamba
La hasha. Unaangalia na kuchukua Tahadhari ya ni nani unayeishi naye. Usibweteke kwamba zama hizi unaishi na yeyote e.g. Hata Jambazi? Mbona watu walihamishwa Ngorongoro ikawa Nongwa ilhali ni ndani ya nchi moja na sote tunaongea lugha moja?
1. Hao jamaa ni washari siku zote - Historia inabainisha hivyo ujue.
2. Hao Jamaa desturi zao zimegubikwa mno na mambo ya Imani(Udini)
3. Mawasiliano (Lugha) inaweza kuwa ni changamoto.
4. Hao jamaa watakuja na Tabia zao(dharau, ubaguzi, fitina, husda, mauaji ya watu kiholela n.k.) Mila na Desturi zao ambazo hapa kwetu hazikubaliani na sisi.
5. Hao jamaa wataletwa chini ya mwamvuli wa Marekani na Israeli. Hicho kitawapa kichwa(Kiburi ) kwamba Boss wao au Wanayemtambua na kumheshimu ni Marekani na Israeli na sio mtu mwingine yeyote i.e. hata Viongozi wetu. Mwisho wa siku viongozi au hata sisi wenyewe tukiwachoka hatutakuwa na uwezo wa kuwapeleka mahali pengine. Kidagaa kitatuozea.
Tuchukue Tahadhari kubwa. Wahenga walisemaga: "Tahadhari kabla ya hatari" na wale wengine kule wakasema: "Think before you leap" halafu tena wapo waliosema: "Majuto ni mjukuu, mwisho huja kinyume".
 
Kwa masharti haya

Waje wao tu utamaduni wao wauache huko huko.

Na wote wakubali kuwa wamasai au lah basi wawe wa Adzabe.
Miaka 10 tu, wataanza mapigano ya kumuua Rais wa Tanzania... Wapalestina kila walipokaribishwa wamewahi kufanya mpango wa kumuua Kiongozi mkuu... Ndio maana Jordan, Misri, Syria na Lebanon hawawataki kabisa
 
Miaka 10 tu, wataanza mapigano ya kumuua Rais wa Tanzania... Wapalestina kila walipokaribishwa wamewahi kufanya mpango wa kumuua Kiongozi mkuu... Ndio maana Jordan, Misri, Syria na Lebanon hawawataki kabisa
Kwa sasa wameanzisha timbwili linaloendelea huko Ujerumani. Ujerumani ilifanya kosa la kuwakaribisha eti ni Ubinadamu - kumbe hapo walichemka. Sasa wamegeuka na kuanzisha vurugu na madai yao yale-yale eti wanaonewa, wanabaguliwa, wananyimwa haki zao, na blaa blaaa nyingi. Ndo Kobaaz hao katika ubora wao.
 
Hawa si wametukatia msaada kalibu yote mbaya zaidi magonjwa mkubwa wamepata baada ya miezi 7 ijayo kama bila nguvu ya MUNGU tutakua na majanga
Chonde chonde viongozi wetu wasikubali kutuletea mzigo tubebe wakati mzigo yetu hawataki kutusaidia
Viongozi kumbukeni. Walivyo tufanyia
Ni wabinafsi mno
 
Hao wakija hapa tayari wataleta shida sisi tuna maisha yetu
 
Wakija wakubali kuchanganyikana na wazawa, mabinti zao waolewe na wenyeji na wao waoe mabinti wa kienyeji na wajue huku hakuna udini na ukabila
,baada ya miaka kadhaa nchi za Africa mashariki zote zinakua chini ya waarabu na waislamu kama sudani,ujawajua waarabu wewe
 
Nchi za kiislamu hawawataki kabisa wapalestina

Ukiwakubali tu jiandae ugaidi.kulipuka nchini kwako

Waarabu wenzao tu hawawataki
sasa kama waarabu wenzao hawawataki, sisi waafrika tutawatakaje na tabia zao za kujilipua?
 
Iran iko mstari wa mbele kuwasaidia HAMAS kwanini isiwachukue wakaishi huko.

Na kwanini waarabu waje afrika wasiende nchi za kiarabu?

Hawaoni kinachotokea SUDAN, waarabu hawataki waafrika, wanataka Sudan iwe mali yao pekeyao.
hiyo sudan inayotakwa kupokea wapalestina hao ni ipi, ni hii ya wale majenerali wawili wanaonyukana au ya salva kiir?
 
sasa kama waarabu wenzao hawawataki, sisi waafrika tutawatakaje na tabia zao za kujilipua?
Waarabu jirani zao Misri waarabu na waislamu wenzao vita ilipolipuka kati ya Palestina na Israel waluamua kujenga ukuta kabisa kudhibiti asitokee mpalestina hata mmoja wa kukimbilia Misri kuwa wapambane na hali yao huko huko Palestina hata wakifa sawa tu lakini marufuku kuingia kwa waarabu wenzao misri

Msimamo wetu kama nchi tusiwapokee kabisa..Wana shida kubwa mno wapalestina sio watu wazuri kabisa
 
Back
Top Bottom