Marekani na Israel zapendekeza Wapalestina watakaohamishwa kutoka gaza waende kuishi somalia, Sudan na somaliland, mawasiliano yanaendelea kufanywa

Sio kwamba waliotoka Ulaya, warudishwe huko Ulaya. Halafu waache wapalestina waendelee kuishi ndani ya nchi yao?.
Waliotoka Ulaya walifukuzwa na Warumi na kuzagaa Ulaya na sasa wamerejea kwao na ushahidi uko kwenye vitabu vyote.
 

Israel and US said in contact with Sudan, Somalia about resettling Gazans​

Officials say approaches also made to breakaway region of Somaliland; Sudanese source says proposal rejected, officials from other two say unaware of issue being broached​

Wataiharibu East Africa
 
Uzuri wote wanapanda punda kama usafir kama zama dam.patawafaa sana sudan au somalia kwanza naupepo wa bahari upo kama pale gaza
 
WAPALESTINA Watabaki kwenye Ardhi yao akuna mtu yoyote mwenye nguvu za kuwatoa pale iyo Israel na Tramp wanataka tu kujifuraisha Baada ya kushindwa Vita ya Gaza..!!!!

ISRAEL imechafuka sana Dunian aijawai tokea!!!!!

ukija upande wa nguvu kwasasa Wameishiwa IRAN ndio mwiba mwenye uwezo wakuamua lini Taifa la ISRAEL life.

. kila mwenye Akili kaona nguvu za IRAN alipojipigia iyo Israel mala 2. Ushaid upo!!!

Kubwa zaid IRAN kwasasa ndio mwenye nguvu zaid Dunian akitaka kukupiga uwezi zuiya!!!!! Katuonesha kwa macho yetu..
 
Misri,libya, Tunisia zilikuwa za waafrika weusi ujio wa waarabu wakawaua waafrika weusi Hapo ni kutaka kuongeza shida ingine wapelekwe uarabuni kwa ndugu zao kule wanaongea lugha moja.
 
Ukiwapeleka somalia wanaweza kudai kuwa babu zao na mskiti ulitokea huko.
 
Hao wakiambiwa kuhamia ulaya ni dkk sifuri ila somalia/sudan hawatakubali usweken kule🤣
 
Mimi nikiwa genius wenu hapa JF ninaye weza kuona mbali nasema wapalestina wataondolewa wote Gaza hata baki hata sisimizi na nchi watakayo pelekwa ni somalia.
 
Wazo zuri la kuwapeleka kwa wenzao!
 
Horn of
Armhh
Mhh, Iran hii hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…