Marekani na Israel zapendekeza Wapalestina watakaohamishwa kutoka gaza waende kuishi somalia, Sudan na somaliland, mawasiliano yanaendelea kufanywa

Marekani na Israel zapendekeza Wapalestina watakaohamishwa kutoka gaza waende kuishi somalia, Sudan na somaliland, mawasiliano yanaendelea kufanywa

Hao watu wana fujo za kidini sana, waishie hukohuko sudan na somalia kwani wanafanana dini na wote ni watu wa vitavita tu, huko watawezana. Kuwaleta nchi kama Tanzania, Kenya na Uganda huku udini wao hautakubalika watapaswa kuishi kama wenyeji wanavyoishi. Tatizo ni uislam wao wa kupenda vitavita na migogoro ya kidini. By the way wangepokelewa vema tu na nchi yoyote na wakaishi kwa amani na upendo
Waisrael waliingia Palestina kwa staili hiyohiyo wanayotaka kuitumia Marekani kwasasa, waliingia kama wakimbizi wakiomba hifadhi mara baada ya mateso huko Ulaya na Urusi.
Screenshot_2025-03-15-09-36-42-62_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Unafahamu kwanini WW1 ilipiganwa? Basi moja ya malengo makuu ilikuwa uanzishwaji wa Taifa la Wayahudi na 1917 Uingereza ilipitisha azimio la uanzishwaji wa Taifa la Wayahudi ndani ya ardhi ya Palestina (Balfour Declaration)
Screenshot_2024-11-03-14-56-24-43_ab7988c7b00b15bc78ec5a428c58236f.jpg

Baada ya WW1 Uingereza aliikalia Palestina kama mwangalizi kama ilivyokuwa kwa Tanganyika, ila unajua Serikali ya Uingereza ilipitia machungu gani?
1. Shumbulio kubwa la kigaidi toka kwa Wayahudi
Screenshot_2025-03-15-09-47-50-61_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

No. 2
Screenshot_2025-03-15-09-50-12-93_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Mwisho kabisa japo sio kwa umuhimu Marehemu Malkia Elizabeth wa 2 hakuwahi kukanyaga ardhi ya Israel sababu aliamini wale watu ni magaidi na ata umuone mtoto mdogo basi jua ana chembechembe za ugaidi.

Mwisho kabisa!
Unajiuliza nini kitaenda kutokea katika nchi tajwa endapo Wapalestina wakipelekwa huko? Lazima kutakuwa na migogoro ya ardhi tu kati ya wenyeji wa nchi yao na wageni walioletwa na mwisho wa siku hizo nchi hazitakuwa na amani daima.
 
Sawa mkuu, wapalestina wapelekwe Rwanda. Maana Mr. Slim alitaka kuchukua wakimbizi kutoka UK, sasa wampe wapalestina Ili wawe Jirani zetu.
Ni kwanini wasirudishwe Hijazi ambako ndio leo Saudi Arabia kwanini waletwe Afrika ya Mashariki?!
 
Back
Top Bottom