Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Brics imeenda na majiRUSSIA, CHINA, KOREA ZINAPIGA JALAMBA KUINGILIA VITA KUIFUTA MAREKANI.....
Kabisa ustaadhi
Kama ni hivyo ,Iran itakuwa ina changamoto sehemu, yaani inaruhusu viongozi wakubwa wafe, ili kuweka mtego?Iran ilikuwa inafanya kusudi kuruhusu ndege za israel zinazoendeshwa na mademu ziingie kuua viongozi wake na kulipua maeneo ya silaha. Ilikuwa ni makusudi ili Marekani waingie mtegoni.
Israel wameharibu sana silaha za Iran. Na maeneo mengi kwa kupiga kimkakati. Si sababu Iran haiwezi zuia. Ila ni sababu ilikuwa ni mtego. Sasa wameingia mtegoni. WAMEKWISHA.
RUSSIA, CHINA, KOREA ZINAPIGA JALAMBA KUINGILIA VITA KUIFUTA MAREKANI. RUSSIA WAMEFURAHI SANA NA CHINA WANASEMA NDO WALIKUWA WANATAKA HILO LITOKEE. MAREKANI WAMEKWISHAAAAAAA....
Iran wanaakili sana. Ndo maana wao wanapiga tu makazi ya raia. Hawataki kupiga sehemu za kimkakati ili kuepusha israel kuishiwa silaha. Na Putin na wenzie wamesema sasa wanaenda kikamilifu.
WAMEKWISHAAAAAAAAAAAAAAAAA.......
We jamaa itakuwa unavuta BANGIIran ilikuwa inafanya kusudi kuruhusu ndege za israel zinazoendeshwa na mademu ziingie kuua viongozi wake na kulipua maeneo ya silaha. Ilikuwa ni makusudi ili Marekani waingie mtegoni.
Israel wameharibu sana silaha za Iran. Na maeneo mengi kwa kupiga kimkakati. Si sababu Iran haiwezi zuia. Ila ni sababu ilikuwa ni mtego. Sasa wameingia mtegoni. WAMEKWISHA.
RUSSIA, CHINA, KOREA ZINAPIGA JALAMBA KUINGILIA VITA KUIFUTA MAREKANI. RUSSIA WAMEFURAHI SANA NA CHINA WANASEMA NDO WALIKUWA WANATAKA HILO LITOKEE. MAREKANI WAMEKWISHAAAAAAA....
Iran wanaakili sana. Ndo maana wao wanapiga tu makazi ya raia. Hawataki kupiga sehemu za kimkakati ili kuepusha israel kuishiwa silaha. Na Putin na wenzie wamesema sasa wanaenda kikamilifu.
WAMEKWISHAAAAAAAAAAAAAAAAA.......
Oops OohsMnapata faida gani watu wakiuwawa?
Nilisikia kwamba waajemi ni binadamu wenye akili nyingi duniani hadi wakiwa wanatembea zinamwagika zenyewe.Ndiyo maana kiongozi wao mkuu akabuni njia nzuri ya kuvaa vilemba/highal kuzuia hilo.Sifa kwake Ayatollah Khamenei!Iran ilikuwa inafanya kusudi kuruhusu ndege za israel zinazoendeshwa na mademu ziingie kuua viongozi wake na kulipua maeneo ya silaha. Ilikuwa ni makusudi ili Marekani waingie mtegoni.
Israel wameharibu sana silaha za Iran. Na maeneo mengi kwa kupiga kimkakati. Si sababu Iran haiwezi zuia. Ila ni sababu ilikuwa ni mtego. Sasa wameingia mtegoni. WAMEKWISHA.
RUSSIA, CHINA, KOREA ZINAPIGA JALAMBA KUINGILIA VITA KUIFUTA MAREKANI. RUSSIA WAMEFURAHI SANA NA CHINA WANASEMA NDO WALIKUWA WANATAKA HILO LITOKEE. MAREKANI WAMEKWISHAAAAAAA....
Iran wanaakili sana. Ndo maana wao wanapiga tu makazi ya raia. Hawataki kupiga sehemu za kimkakati ili kuepusha israel kuishiwa silaha. Na Putin na wenzie wamesema sasa wanaenda kikamilifu.
WAMEKWISHAAAAAAAAAAAAAAAAA.......
Hatari SANAIran ilikuwa inafanya kusudi kuruhusu ndege za israel zinazoendeshwa na mademu ziingie kuua viongozi wake na kulipua maeneo ya silaha. Ilikuwa ni makusudi ili Marekani waingie mtegoni.
Israel wameharibu sana silaha za Iran. Na maeneo mengi kwa kupiga kimkakati. Si sababu Iran haiwezi zuia. Ila ni sababu ilikuwa ni mtego. Sasa wameingia mtegoni. WAMEKWISHA.
RUSSIA, CHINA, KOREA ZINAPIGA JALAMBA KUINGILIA VITA KUIFUTA MAREKANI. RUSSIA WAMEFURAHI SANA NA CHINA WANASEMA NDO WALIKUWA WANATAKA HILO LITOKEE. MAREKANI WAMEKWISHAAAAAAA....
Iran wanaakili sana. Ndo maana wao wanapiga tu makazi ya raia. Hawataki kupiga sehemu za kimkakati ili kuepusha israel kuishiwa silaha. Na Putin na wenzie wamesema sasa wanaenda kikamilifu.
WAMEKWISHAAAAAAAAAAAAAAAAA.......
Kuna watu huwa wanaandika kama wamekatwa vichwaKama ni hivyo ,Iran itakuwa ina changamoto sehemu, yaani inaruhusu viongozi wakubwa wafe, ili kuweka mtego?
Hawa ndo Washia wa Ngudulugulu, Newala na Butiama papa๐๐๐๐RUSSIA, CHINA, KOREA ZINAPIGA JALAMBA KUINGILIA VITA KUIFUTA MAREKANI.....
Kabisa ustaadhi
Tatzo Iran hamuamini Russia, juzi tu hapa tumetoka kumsikia Putin akisema alitaka kuwasaidia ktka mfumo wa kulilinda anga lao lakini hawakuonesha nia dhati ya uhitaji matokeo yake saivi anga liko mikononi mwa adui, anaingia na kutoka kama chooni kwakeIran ilikuwa inafanya kusudi kuruhusu ndege za israel zinazoendeshwa na mademu ziingie kuua viongozi wake na kulipua maeneo ya silaha. Ilikuwa ni makusudi ili Marekani waingie mtegoni.
Israel wameharibu sana silaha za Iran. Na maeneo mengi kwa kupiga kimkakati. Si sababu Iran haiwezi zuia. Ila ni sababu ilikuwa ni mtego. Sasa wameingia mtegoni. WAMEKWISHA.
RUSSIA, CHINA, KOREA ZINAPIGA JALAMBA KUINGILIA VITA KUIFUTA MAREKANI. RUSSIA WAMEFURAHI SANA NA CHINA WANASEMA NDO WALIKUWA WANATAKA HILO LITOKEE. MAREKANI WAMEKWISHAAAAAAA....
Iran wanaakili sana. Ndo maana wao wanapiga tu makazi ya raia. Hawataki kupiga sehemu za kimkakati ili kuepusha israel kuishiwa silaha. Na Putin na wenzie wamesema sasa wanaenda kikamilifu.
WAMEKWISHAAAAAAAAAAAAAAAAA.......
Iran ilikuwa inafanya kusudi kuruhusu ndege za israel zinazoendeshwa na mademu ziingie kuua viongozi wake na kulipua maeneo ya silaha. Ilikuwa ni makusudi ili Marekani waingie mtegoni.