Marekani na Marafiki zake wameishaingia kwenye Mtego wa Iran. Hakuna rangi wataacha kuona

Kama ni hivyo ,Iran itakuwa ina changamoto sehemu, yaani inaruhusu viongozi wakubwa wafe, ili kuweka mtego?

Sasa utaona kitakachotokea. Hizo ni mbinu za kivita hujui kitu wewe dogo. Viongozi wanazaliwa kila siku wanabadilishwa
 
Iran ilikuwa inafanya kusudi kuruhusu ndege za israel zinazoendeshwa na mademu ziingie kuua viongozi wake na kulipua maeneo ya silaha. Ilikuwa ni makusudi ili Marekani waingie mtegoni.

Israel wameharibu sana silaha za Iran. Na maeneo mengi kwa kupiga kimkakati. Si sababu Iran haiwezi zuia. Ila ni sababu ilikuwa ni mtego. Sasa wameingia mtegoni. WAMEKWISHA.

RUSSIA, CHINA, KOREA ZINAPIGA JALAMBA KUINGILIA VITA KUIFUTA MAREKANI. RUSSIA WAMEFURAHI SANA NA CHINA WANASEMA NDO WALIKUWA WANATAKA HILO LITOKEE. MAREKANI WAMEKWISHAAAAAAA....

Iran wanaakili sana. Ndo maana wao wanapiga tu makazi ya raia. Hawataki kupiga sehemu za kimkakati ili kuepusha israel kuishiwa silaha. Na Putin na wenzie wamesema sasa wanaenda kikamilifu.

WAMEKWISHAAAAAAAAAAAAAAAAA.......
wwe ni mchambuzi au mjuzi? au mawazo yako ya asubuhi?
 
We fala jamaa yako kapigwa unatafuta cha kuongea , Mungu wako kashindwa kuingulia mpaka US kabeba vita maana sio kwa mziki huo.
 
Iran ilikuwa inafanya kusudi kuruhusu ndege za israel zinazoendeshwa na mademu ziingie kuua viongozi wake na kulipua maeneo ya silaha. Ilikuwa ni makusudi ili Marekani waingie mtegoni.

Israel wameharibu sana silaha za Iran. Na maeneo mengi kwa kupiga kimkakati. Si sababu Iran haiwezi zuia. Ila ni sababu ilikuwa ni mtego. Sasa wameingia mtegoni. WAMEKWISHA.

RUSSIA, CHINA, KOREA ZINAPIGA JALAMBA KUINGILIA VITA KUIFUTA MAREKANI. RUSSIA WAMEFURAHI SANA NA CHINA WANASEMA NDO WALIKUWA WANATAKA HILO LITOKEE. MAREKANI WAMEKWISHAAAAAAA....

Iran wanaakili sana. Ndo maana wao wanapiga tu makazi ya raia. Hawataki kupiga sehemu za kimkakati ili kuepusha israel kuishiwa silaha. Na Putin na wenzie wamesema sasa wanaenda kikamilifu.

WAMEKWISHAAAAAAAAAAAAAAAAA.......
Taco laci😂😂😂😂
 
Malizia kuota lakini angalia usikojoe kitandani. Sasa hivi jua la kukausha malalio ni adimu sana
 
China hawezi kuingia vitani kizembe hivyo.Ingekuwa hivyo mzozo wa Taiwan angeubeba kama lengo ilikuwa kumchakaza Marekani

Russia vita yake na Ukraine bado haijampa ushindi hawezi kubeba vita nyingine.

Korea kaskazini ni wale jamaa ambao wapo wapo tu hawana msaada wa maana zaidi ya kelele
 
Hizi siiasa za kwenye keyboard tu. Iran hana uwezo huo nahisi.

Unapigwa kila siku unatoa vitisho tu.
 
Washa bodaboda yako toka hapo kijiweni mkuu, nenda kale vichwa.​
 
Ndoto za alinacha yani angayake yote imedhibitiwa hawezi hata kufanya safari ya ndege bila ruhusa ya Israel afu unasema apigane na super power. Tena aache kurusha mabomu yasiyo lenga Infrastructure za jeshi. Ujinga wake wa kutaka kujitutumua ndo umemfikisha hapa.

Alikuwa anatafutiwa sababu akaanzishiwa mazungumzo ili anase kwenye mtego. Alihisi anaogopwa sana kumbe jamaa wanamwacha ajichoreshe anase.

Ajitahidi asije ivuruga nchi yake. If you can not fight them join them.
 
Ngoja kwanza; haya ulioandika ni mtazamo na mawazo yako binafsi au umewasiliana na Iran hata ukatuandikia humu?
 
Unaelezea matamanio yako ..yasipotokea unabaki unaumia .. u ashindwa kulisemea bara lako
 
Sipendi Israel na marekani wanavoingilia nchi hasa za Middle East lakin bandiko lako umeandika kimihemko sana
 
Back
Top Bottom