Marekani na Marafiki zake wameishaingia kwenye Mtego wa Iran. Hakuna rangi wataacha kuona

Iran ilikuwa inafanya kusudi kuruhusu ndege za israel zinazoendeshwa na mademu ziingie kuua viongozi wake na kulipua maeneo ya silaha. Ilikuwa ni makusudi ili Marekani waingie mtegoni.

Israel wameharibu sana silaha za Iran. Na maeneo mengi kwa kupiga kimkakati. Si sababu Iran haiwezi zuia. Ila ni sababu ilikuwa ni mtego. Sasa wameingia mtegoni. WAMEKWISHA.

RUSSIA, CHINA, KOREA ZINAPIGA JALAMBA KUINGILIA VITA KUIFUTA MAREKANI. RUSSIA WAMEFURAHI SANA NA CHINA WANASEMA NDO WALIKUWA WANATAKA HILO LITOKEE. MAREKANI WAMEKWISHAAAAAAA....

Iran wanaakili sana. Ndo maana wao wanapiga tu makazi ya raia. Hawataki kupiga sehemu za kimkakati ili kuepusha israel kuishiwa silaha. Na Putin na wenzie wamesema sasa wanaenda kikamilifu.

WAMEKWISHAAAAAAAAAAAAAAAAA.......
🤣
Kweli hili ni Komeo lachuma
 
Kwamba Majenero wanakufa kimtego😎
 
Acha kuongea UTI basi
 
yaani mtu anaangamizwa na kuteketezwa halafu huku anapewa moyo eti hali hiyo ya kuangamia na kuteketezwa ni mtego tu dah !🐒
 
Iran ilikuwa inafanya kusudi kuruhusu ndege za israel zinazoendeshwa na mademu ziingie kuua viongozi wake na kulipua maeneo ya silaha. Ilikuwa ni makusudi ili Marekani waingie mtegoni.

Israel wameharibu sana silaha za Iran. Na maeneo mengi kwa kupiga kimkakati. Si sababu Iran haiwezi zuia. Ila ni sababu ilikuwa ni mtego. Sasa wameingia mtegoni. WAMEKWISHA.

RUSSIA, CHINA, KOREA ZINAPIGA JALAMBA KUINGILIA VITA KUIFUTA MAREKANI. RUSSIA WAMEFURAHI SANA NA CHINA WANASEMA NDO WALIKUWA WANATAKA HILO LITOKEE. MAREKANI WAMEKWISHAAAAAAA....

Iran wanaakili sana. Ndo maana wao wanapiga tu makazi ya raia. Hawataki kupiga sehemu za kimkakati ili kuepusha israel kuishiwa silaha. Na Putin na wenzie wamesema sasa wanaenda kikamilifu.

WAMEKWISHAAAAAAAAAAAAAAAAA.......
Hayo ni mawazo yako wala sio mawazo ya warusi, wachina na wala Korea ya kaskazini. We unafikiri kupigana na marekani ni sawa na kupigana kwa ccm na chadema.
 
Iran ilikuwa inafanya kusudi kuruhusu za israel zinazoendeshwa na mademu ziingie kuua viongozi wake na kulipua maeneo ya silaha. Ilikuwa ni makusudi ili Marekani waingie mtegoni.

Israel wameharibu sana silaha za Iran. Na maeneo mengi kwa kupiga kimkakati. Si sababu Iran haiwezi zuia. Ila ni sababu ilikuwa ni mtego. Sasa wameingia mtegoni. WAMEKWISHA.

RUSSIA, CHINA, KOREA ZINAPIGA JALAMBA KUINGILIA VITA KUIFUTA MAREKANI. RUSSIA WAMEFURAHI SANA NA CHINA WANASEMA NDO WALIKUWA WANATAKA HILO LITOKEE. MAREKANI WAMEKWISHAAAAAAA....

Iran wanaakili sana. Ndo maana wao wanapiga tu makazi ya raia. Hawataki kupiga sehemu za kimkakati ili kuepusha israel kuishiwa silaha. Na Putin na wenzie wamesema sasa wanaenda kikamilifu.

WAMEKWISHAAAAAAAAAAAAAAAAA.......

Jew is not Yehudi: (Zechariah 8:23)

"...his chosen ones will use your name as a curse..." (Isaiah 65:15)

Will being a Jew become a curse?

GOD to Jews: Even from your birth you were liars! (Isaiah 48:8)

Why does GOD in the Torah despise the Jews?
 
China,Russia,na Korea kiherehere Chao cha kujifanya ku-side na Iran ambayo ni Muslim country kitakuja kuwagarimu huko mbeleni. Maana najua upendo wa Muislam kwa asiyeamini Uislam inakuwa wa kinafiki tu.
 
Iran ilikuwa inafanya kusudi kuruhusu ndege za israel zinazoendeshwa na mademu ziingie kuua viongozi wake na kulipua maeneo ya silaha. Ilikuwa ni makusudi ili Marekani waingie mtegoni.

Israel wameharibu sana silaha za Iran. Na maeneo mengi kwa kupiga kimkakati. Si sababu Iran haiwezi zuia. Ila ni sababu ilikuwa ni mtego. Sasa wameingia mtegoni. WAMEKWISHA.

RUSSIA, CHINA, KOREA ZINAPIGA JALAMBA KUINGILIA VITA KUIFUTA MAREKANI. RUSSIA WAMEFURAHI SANA NA CHINA WANASEMA NDO WALIKUWA WANATAKA HILO LITOKEE. MAREKANI WAMEKWISHAAAAAAA....

Iran wanaakili sana. Ndo maana wao wanapiga tu makazi ya raia. Hawataki kupiga sehemu za kimkakati ili kuepusha israel kuishiwa silaha. Na Putin na wenzie wamesema sasa wanaenda kikamilifu.

WAMEKWISHAAAAAAAAAAAAAAAAA.......
Andiko limekaa kinazi sana WAMEKWISHAAAAAA 🤣🤣
 
Kimbia haraka, kawahi matibabu. Matatizo ya afya ya akili huanza taratibu sana. Usisubiri mpaka ufikie kiwango cha no return. Ukiwahi unaweza kuokoa.
Watu kama hao wapo Tanzania Tu maana Kwa Akili kama huyo mjinga ni hatari sana
 
Back
Top Bottom