Kiminyio 01
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 1,389
- 2,025
Suala la gesi,limekaaje kwa huko Ulaya,tofauti na Russia je kuna suppliers wengine wakubwa..?Wapuuzi hawa wanajua kabisa vikwazo vinaathiri dunia nzima
Leo London mafuta ya gari yameishapanda na bahati jana nilijaza ila yataisha na hayo yanasubiri
Msifurahie sana Sanctions maana hata nyie nyumbani yanakuja lazima msifikiri mko mbali au mmejifungia na maisha yenu
Wote tutaimba wimbo mmoja tu awe mweupe, mweusi na hata njano
Hivi kweli nao NATO, wawe na akili kama za putin, waamue liwalo na liwe, nini kitatokea duniani?hakuna anayedhania kuwa Russia yuko pekee yake, kwani washirika wake wanajulikana duniani, lakini hawana nguvu kama waliyonayo NATO, kina Iran, pakistan, N.korea, na China.Nakusistiza acha Mrusi afanye alichoamua anajua mwenyewe anachokikusudia kila mtu hapo anawashirika wake na ubaya was mataifa ya mbali unaweza jua puttin Yuko peke yake au wenzake ni wadhaifu kumbe Yuko mamba mmoja kageuka kenge.
Suala la gesi,limekaaje kwa huko Ulaya,tofauti na Russia je kuna suppliers wengine wakubwa..?
Putin who don’t care about sanctions just got pissed and reacted to sanctions
Hivi kweli nao NATO, wawe na akili kama za putin, waamue liwalo na liwe, nini kitatokea duniani?hakuna anayedhania kuwa Russia yuko pekee yake, kwani washirika wake wanajulikana duniani, lakini hawana nguvu kama waliyonayo NATO, kina Iran, pakistan, N.korea, na China.
Na ndio maana hata Warusi wengi hawataki vita kwani vikwazo walivyowekewa 2014, bado vinawasumbua wananchi wa kawaida, tena vije vingine!!!
Wenzetu wanajua retaliation ya sanctions maana wamewekeza zaidi kwenye elimu na utaalam kuliko tumbo.Akitoka huko kwenye kuvamia alafu raia wake wakasota kulingana na vikwazo utashuhudia maandamano makali,
Kutu wewe lini muliekewa vikwazo? makonda yeye kama yeye tu ndio alipigwa marufuku kukanyaga marekani, vikwazo ndio hivi alivyoekewa russia sasa tone atatokea wapiKama walimuwekea vikwazo Magufuli na Makonda alafu Tanzania ikaingia uchumi wa kati watamuweza Putin?
Yukreni kabaki mkiwa[emoji26][emoji599] Ukraine’s Zelensky: “Today I asked the 27 leaders of Europe whether Ukraine will be in NATO, I asked directly. Everyone is afraid, does not answer. And we are not afraid, we are not afraid of anything.”
Hii ni picha ya tukio gani ..View attachment 2130191hii picha 2014
Pamoja mkuu nmekupataFuel [emoji618]️ mkuu iwe Petrol au diesel
Ingawa chakula kilipanda mda ila sasa bei ni juu zaidi
Nisamehe kwa hilo
Tulikuwa dhoofu ilhal kiasi hicho hadi national team ikawa inacheza kidari wazi??..[emoji23][emoji23]Mkuu unaijua kweli historia ya Tanzania mpaka unasema hatujawahi kuwekewa vikwazo.
Unafikiri kufeli kwa ujamaa ulitokea kwa sababu ya mismanagement ya Watanganyika tu.
Walitupiga vikwazo vya kufa muda wa miaka kumi mpaka National team ya mpira ikawa inacheza kidali wazi
Kmmk [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]Kama walimuwekea vikwazo Magufuli na Makonda alafu Tanzania ikaingia uchumi wa kati watamuweza Putin?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sio waweke vikwazo waende kumsaidia ndugu yao Ukraine[emoji3][emoji3][emoji3]km namuona brother kiduku akipasha
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sio kwa Yale madubwana missiles sijui aisee ni hatari sikia tu kwa jiraniVikwazo wakati wenzao wanachezea mboko ni upuuzi.
Waingie msituni tu.
Hajui huyoAbramovich ana passport ya israel
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji123]Mmezoea kuonea vitaifa utopolo kwa sasa mmepata size yenu