Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 4,476
- 9,583
Mimi kwa sasa nina shaka na yote, ameshafeli kwenye diplomasia. Watu wake wanajibu nchi zingine kama wao ndo wenye dunia nzima. Wanapojibu chochote ni yeye kajibu.Hoja ya team NoRNoE yenye nguvu ni moja tu "Utekaji" ambao bado hatuelewi elewi nini kinaendelea.
Ila Kwa Maswala ya Kidiplomasia Mama Samia sina shaka nae. Mambo ya kutekeleza alioya ahidi sina shaka nae kabisa.
Mm anachoniuz nikulea watumishi km watoto wake kitu kinachopelekea ubadhirifu wa fedha kuwa mkubwa mno
Hana time na shithole countries.kuna mwamba trump nasikia faili liko mezani tayari kusurubu.....
Safi sana. Mambo ya ujamaa au ubepari hayatusaidii. Sweden ni nchi ya kijamaa, lakini wanazo hizo haki tunazodai kuliko huyo anayetajwa kama kinara wa demokrasia duniani.Tunachopigania ni haki of course, haki ya freedom of speech, freedom of religion, kutokutekwa na kutokuuawa kipumbavu na vibaka wa Chura Kiziwi. Haki ya kuwa na huru unapo-support chama chochote na kuwa huru kukitetea bila hofu ya kutekwa na kuuawa.
Hiyo ndiyo haki tunayoitaka Watanzania.
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchiNiliandika hapa, Na Sijui kwanini CCM mnashindwa kuzitambua Signals ambazo zinatumwa na Wanademokrasia Duniani.
Ipo Wazi, Dunia ya Ujamaa ilishindwa na HAITAKAA kushinda ,Iwe MCHINA kaungana na Urusi, Korea kaskazin, Iran, Venezuela, HAWA HAWAWEZI KUWASHINDA WANADEMOKRASIA.
Niliandika Uzi hapa, Bunge la Ulaya laionya Serikali ya CCM , Uchaguzi Mkuu bila Chama cha upinzan chenye Nguvu (CHADEMA) hautakua uchaguzi wa Harali na wa Kidemokrasia! kwenye Video iliyopo hapo, Sio tu IDU kumjadili LISSU, Bunge la Ulaya Limemjadili pia, na Bunge la Ulaya likaja na Maadhimio yake , haikuishia hapo, Marekan kupitia Wizara yake ya Mambo ya Nje ikanena pia.
Juzi Ulaya imepiga Marufuku Ndege za ATCL ... Hiyo ni Signal ,Mnatumiwa CCM .
ANGUKO la Nchi linaenda kua Dhahiri na Uhakika hivi karibuni.
Taarifa za Uhakika kabisa zisizokua na Mashaka, MAREKAN NA ULAYA zimeadhimia Kwa pamoja, Kutoutambua Uchaguzi Mkuu wa 2025 ikiwa CHADEMA haishiriki, na CHADEMA kushiriki ni lazima Mabadiliko yafanyike, Hatuwezi shiriki chaguzi ambazo watu wetu wanauliwa !! HATUWEZI KAMWE!!!.
Sasa, ATHARI ya Ulaya na Marekan Kutoutambua Uchaguzi Mkuu ,maana yake ni Kutotambua Serikali , Mnataka kuua Nchi?? ?Mnataka Kutesa Wananchi wakati ambao Nyinyi mtakua mnaishi vizuri??.
Ikiwa Nyerere alikubali Kunyoosha Mikono , Basi Hata mfanye nini, CCM mpo Dunia hii hii ambayo Ulaya na Marekani ndio viranja wake !!.
Iandaeni Nchi kusitishiwa Misaada katika Nyanja mbalimbali
Iandaeni Nchi kuondolewa kwenye Mifumo ya Kipesa ya Dunia
Jiandaeni kuzuiliwa Kukanyaga Marekan na Ulaya.
Jiandaeni Bidhaa zote zinazouzwa uzwa katika Mataifa ya Ulaya, Marekan, Japan, Korea na washiriki wao wote kupiga Marufuku .
Jiandaeni Jiandaeni !!.
Kazi yetu sisi ni Kusema tu¡!.
Kwa hiyo tunaopanda it’s for our own risksThis was for security reasons, not political.
ALL IN ALL NAUNGANA NA WEWE WESTERN KUI-SCREW TANZANIA MPAKA IWE NA UCHAGUZI HURU NA AHAKI
Niliandika hapa, Na Sijui kwanini CCM mnashindwa kuzitambua Signals ambazo zinatumwa na Wanademokrasia Duniani.
Ipo Wazi, Dunia ya Ujamaa ilishindwa na HAITAKAA kushinda ,Iwe MCHINA kaungana na Urusi, Korea kaskazin, Iran, Venezuela, HAWA HAWAWEZI KUWASHINDA WANADEMOKRASIA.
Niliandika Uzi hapa, Bunge la Ulaya laionya Serikali ya CCM , Uchaguzi Mkuu bila Chama cha upinzan chenye Nguvu (CHADEMA) hautakua uchaguzi wa Harali na wa Kidemokrasia! kwenye Video iliyopo hapo, Sio tu IDU kumjadili LISSU, Bunge la Ulaya Limemjadili pia, na Bunge la Ulaya likaja na Maadhimio yake , haikuishia hapo, Marekan kupitia Wizara yake ya Mambo ya Nje ikanena pia.
Juzi Ulaya imepiga Marufuku Ndege za ATCL ... Hiyo ni Signal ,Mnatumiwa CCM .
ANGUKO la Nchi linaenda kua Dhahiri na Uhakika hivi karibuni.
Taarifa za Uhakika kabisa zisizokua na Mashaka, MAREKAN NA ULAYA zimeadhimia Kwa pamoja, Kutoutambua Uchaguzi Mkuu wa 2025 ikiwa CHADEMA haishiriki, na CHADEMA kushiriki ni lazima Mabadiliko yafanyike, Hatuwezi shiriki chaguzi ambazo watu wetu wanauliwa !! HATUWEZI KAMWE!!!.
Sasa, ATHARI ya Ulaya na Marekan Kutoutambua Uchaguzi Mkuu ,maana yake ni Kutotambua Serikali , Mnataka kuua Nchi?? ?Mnataka Kutesa Wananchi wakati ambao Nyinyi mtakua mnaishi vizuri??.
Ikiwa Nyerere alikubali Kunyoosha Mikono , Basi Hata mfanye nini, CCM mpo Dunia hii hii ambayo Ulaya na Marekani ndio viranja wake !!.
Iandaeni Nchi kusitishiwa Misaada katika Nyanja mbalimbali
Iandaeni Nchi kuondolewa kwenye Mifumo ya Kipesa ya Dunia
Jiandaeni kuzuiliwa Kukanyaga Marekan na Ulaya.
Jiandaeni Bidhaa zote zinazouzwa uzwa katika Mataifa ya Ulaya, Marekan, Japan, Korea na washiriki wao wote kupiga Marufuku .
Jiandaeni Jiandaeni !!.
Kazi yetu sisi ni Kusema tu¡!.
Trump leo anataka gavana wa California na meya wa Los Angeles wakamatwe kwa kuwazuia maofisa uhamiaji kufanya kazi zao.Trump mwenyewe anakandamiza watu wake huku 👇 👇
View: https://www.instagram.com/p/DKujGJlt5xN/?igsh=aWFhaGowNWIwYnZ1
Chadomo waelewe tuu kwamba hakuna Beberu atawapeleka Ikulu na hakuna Beberu anaetulisha
Kwa hiyo chama pekee kinachotetea ushoga ndio kinatambulika!!? Hiyo ndio demokrasia!!? Ha ha ha ha! Anyway, kwani wao wasipoutambua sisi inatuhusu nini??Niliandika hapa, Na Sijui kwanini CCM mnashindwa kuzitambua Signals ambazo zinatumwa na Wanademokrasia Duniani.
Ipo Wazi, Dunia ya Ujamaa ilishindwa na HAITAKAA kushinda ,Iwe MCHINA kaungana na Urusi, Korea kaskazin, Iran, Venezuela, HAWA HAWAWEZI KUWASHINDA WANADEMOKRASIA.
Niliandika Uzi hapa, Bunge la Ulaya laionya Serikali ya CCM , Uchaguzi Mkuu bila Chama cha upinzan chenye Nguvu (CHADEMA) hautakua uchaguzi wa Harali na wa Kidemokrasia! kwenye Video iliyopo hapo, Sio tu IDU kumjadili LISSU, Bunge la Ulaya Limemjadili pia, na Bunge la Ulaya likaja na Maadhimio yake , haikuishia hapo, Marekan kupitia Wizara yake ya Mambo ya Nje ikanena pia.
Juzi Ulaya imepiga Marufuku Ndege za ATCL ... Hiyo ni Signal ,Mnatumiwa CCM .
ANGUKO la Nchi linaenda kua Dhahiri na Uhakika hivi karibuni.
Taarifa za Uhakika kabisa zisizokua na Mashaka, MAREKAN NA ULAYA zimeadhimia Kwa pamoja, Kutoutambua Uchaguzi Mkuu wa 2025 ikiwa CHADEMA haishiriki, na CHADEMA kushiriki ni lazima Mabadiliko yafanyike, Hatuwezi shiriki chaguzi ambazo watu wetu wanauliwa !! HATUWEZI KAMWE!!!.
Sasa, ATHARI ya Ulaya na Marekan Kutoutambua Uchaguzi Mkuu ,maana yake ni Kutotambua Serikali , Mnataka kuua Nchi?? ?Mnataka Kutesa Wananchi wakati ambao Nyinyi mtakua mnaishi vizuri??.
Ikiwa Nyerere alikubali Kunyoosha Mikono , Basi Hata mfanye nini, CCM mpo Dunia hii hii ambayo Ulaya na Marekani ndio viranja wake !!.
Iandaeni Nchi kusitishiwa Misaada katika Nyanja mbalimbali
Iandaeni Nchi kuondolewa kwenye Mifumo ya Kipesa ya Dunia
Jiandaeni kuzuiliwa Kukanyaga Marekan na Ulaya.
Jiandaeni Bidhaa zote zinazouzwa uzwa katika Mataifa ya Ulaya, Marekan, Japan, Korea na washiriki wao wote kupiga Marufuku .
Jiandaeni Jiandaeni !!.
Kazi yetu sisi ni Kusema tu¡!.
Niliandika hapa, Na Sijui kwanini CCM mnashindwa kuzitambua Signals ambazo zinatumwa na Wanademokrasia Duniani.
Ipo Wazi, Dunia ya Ujamaa ilishindwa na HAITAKAA kushinda ,Iwe MCHINA kaungana na Urusi, Korea kaskazin, Iran, Venezuela, HAWA HAWAWEZI KUWASHINDA WANADEMOKRASIA.
Niliandika Uzi hapa, Bunge la Ulaya laionya Serikali ya CCM , Uchaguzi Mkuu bila Chama cha upinzan chenye Nguvu (CHADEMA) hautakua uchaguzi wa Harali na wa Kidemokrasia! kwenye Video iliyopo hapo, Sio tu IDU kumjadili LISSU, Bunge la Ulaya Limemjadili pia, na Bunge la Ulaya likaja na Maadhimio yake , haikuishia hapo, Marekan kupitia Wizara yake ya Mambo ya Nje ikanena pia.
Juzi Ulaya imepiga Marufuku Ndege za ATCL ... Hiyo ni Signal ,Mnatumiwa CCM .
ANGUKO la Nchi linaenda kua Dhahiri na Uhakika hivi karibuni.
Taarifa za Uhakika kabisa zisizokua na Mashaka, MAREKAN NA ULAYA zimeadhimia Kwa pamoja, Kutoutambua Uchaguzi Mkuu wa 2025 ikiwa CHADEMA haishiriki, na CHADEMA kushiriki ni lazima Mabadiliko yafanyike, Hatuwezi shiriki chaguzi ambazo watu wetu wanauliwa !! HATUWEZI KAMWE!!!.
Sasa, ATHARI ya Ulaya na Marekan Kutoutambua Uchaguzi Mkuu ,maana yake ni Kutotambua Serikali , Mnataka kuua Nchi?? ?Mnataka Kutesa Wananchi wakati ambao Nyinyi mtakua mnaishi vizuri??.
Ikiwa Nyerere alikubali Kunyoosha Mikono , Basi Hata mfanye nini, CCM mpo Dunia hii hii ambayo Ulaya na Marekani ndio viranja wake !!.
Iandaeni Nchi kusitishiwa Misaada katika Nyanja mbalimbali
Iandaeni Nchi kuondolewa kwenye Mifumo ya Kipesa ya Dunia
Jiandaeni kuzuiliwa Kukanyaga Marekan na Ulaya.
Jiandaeni Bidhaa zote zinazouzwa uzwa katika Mataifa ya Ulaya, Marekan, Japan, Korea na washiriki wao wote kupiga Marufuku .
Jiandaeni Jiandaeni !!.
Kazi yetu sisi ni Kusema tu¡!.
Unamaanisha wapo tayari hata kutuua sote ili wabaki madarakani?!vijana wa chadema munavituko sana, Nahisi bado CCM hamjaielewa vizuri.
CCM hawako tayari kutoka madarakani, na wapo tayari kwa lolote. Sasa hayo mambo ya misaada sijui mnajisumbua tu