Tetesi: Marekani na Ulaya hazitautambua Uchaguzi Mkuu 2025 ikiwa CHADEMA haitashiriki!!

No election no reform, aluta continua!
Sorry nilikosea kdg hapo juu kutokana na hasira kali! rekebisha mwenye
 
kuna mwamba trump nasikia faili liko mezani tayari kusurubu.....
Tutakuwa kama Zimbabwe kwa sababu tu ya mjinga mmoja anayependa madaraka wakati hatumtaki. Halafu ninyi JF mnatetea ujinga. Tanzania yetu inaharibika kutokana na mjinga mmoja.
 
Taarifa za Uhakika kabisa zisizokua na Mashaka, MAREKAN NA ULAYA zimeadhimia Kwa pamoja, Kutoutambua Uchaguzi Mkuu wa 2025 ikiwa CHADEMA haishiriki, na CHADEMA kushiriki ni lazima Mabadiliko yafanyike, Hatuwezi shiriki chaguzi ambazo watu wetu wanauliwa !! HATUWEZI KAMWE!!!.
 
Demokrasia katika uchaguzi mkuu 2025 ni lazima ipatikane safari hii, kwa heri au kwa shari. Hatutakubali tena kutawaliwa na serikali ya wafiraji.
 
Reactions: UCD
Kwani kiu ya watanzania nini ndugu? Kama mnajua chuki ina madhara kwa nini tusikae tukajenga nyumba ya pamoja?

Tatizo la CCM ni walafi wa madaraka. Ni afadhali itumike nguvu demokrasia ipatikane watoto wetu wataijenga Tanzania inayojitambua.
Hapo umepigilia msumari pahali pale.
Ni ulafi waliojihalalalishia nchi nzima
Yaani Rushwa na wizi ni jambo ambalo mwanasiasa yoyote awe mpinzani wala waliopo madarakani hawataki kuliwekea msisitizo

Badala yake wanabariki kabisa
Inasikitisha sana watu hawataki kuijenga nchi yenye nguvu
 
Halafu tza sio ccm kabla ya ccm Tanzania mbona ilikuwepo tu na watu waliishi fresh.
Hata ccm ikifa tza na watz wapo tu ccm ni sawa na chupa ya maji tu kampuni zipo nyingi tu lazima tunywe maji hayo hayo kila siku
 
Ukiendekeza dhana ya utegemezi na kujiona huwezi kujitegemea ni njia ya kwenda kuinamishwa na hao unaowaabudu na kuwaona bora kwakuwa wameshafanikiwa kudunisha uwezo wako wa kufikiri na kujiona dhaifu kuwa bila wao huwezi kitu.
 
Mkuu kumbe umeshatolewa na posa na wala hausemi. Tukuindoka wazandiki na wenye mawazo mgando kama wewe, Africa ina uwezo wa kufanya makubwa pasipo utegemezi wa hao unaowaabudu sasa.
 
Tanzania kabla ya kufufua ATCL haikuwepo?
 
Mkuu kumbe umeshatolewa na posa na wala hausemi. Tukuindoka wazandiki na wenye mawazo mgando kama wewe, Africa ina uwezo wa kufanya makubwa pasipo utegemezi wa hao unaowaabudu sasa.
Sasa hayo usiniambie mimi waambie viongozi wako ombaomba kwamba hakuna uhuru bila kujitegemea hivyo waache kuombaomba pesa za watu, wakitaka wasiingiliwe kwenye siasa basi wakatae kwanza kuingiliwa kwenye uchumi siyo wakipewa pesa wanafurahia halafu wakitungiwa sheria ndio wanajifanya wazalendo, hata ungekuwa wewe mtu unamhudumia halafu anakuletea jeuri anakutunishia misuli na kujifanya anataka uhuru wakati umemzidi kila kitu na anakutegemea wewe ungekubali
 
Malizia "Mungu Wabariki Wazungu "
 
Na wasiitambue kabisa serikali yetu. Bila shaka tutakuwa huru zaidi.
 
Reactions: UCD
Mikopo siyo misaada na kwa taarifa yako kwa sasa TZ tunapata mikopo mingi toka China na nchi za Asia wala siyo EU na Marekani.
 
Hata sisi uchaguzi wao hatuutambui!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…