Marekani na Zelensky wailalamikia Urusi kuiondoa Kyiv kwenye mgao wa umeme toka kwenye mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia

Mrusi hii vita itaigharimu sana mbeleni
Kuvamia Ukraine walikosea Urusi itaendelea kuwa vitani kwa Miaka mingi ijayo

Wangekuwa na akili wangeondoka Ukraine
Urusi ilitakiwa impindue Putin na kumuua kabisa sababu yeye ndie Tatizo Urusi
Hata km itachukua muda mrefu inaonesha urusi wamejiandaa.

Wanamabom na mizinga ya kutumia kwa muda wa miaka kumi bila kuzalisha mipya kwa wastan wa matumiz ya mabom buku pa dei.

Chanzo;....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabeberu wakubali hawawezi Urusi,wanawatesa raia wao Bure,msimu wa baridi hawataamini macho yao,akili kubwa itawanyanyasa mbaya, Kwa kuwa saidia kidogo TU,Mzee Baba atakuwa anawaminya pumzi ana waachia,anawaminya anawaachia Hadi pale ubongo wao kama wa kenge ukielekea kukataa moto ndio watakubali mrusi hajatetereka na uwanja wa vita anaendelea kupata mafanikio na kiuchumi hajaumia ,na wanaoteswa niraia wa ulaya wasiona hatia Kwa Hali ngumu kiuchumi na baridi linalo sogea sogea🤔
Walimkadiria vibaya kumbe Put-in alishapiga hesabu kita_mbooo saaana
 
Dah i'la warusi wanapigana kistaarabu Sana.. wanapigana mda wote huu miezi 6 lakini Kiev umeme ulikuwepo na ukitoka Happ Zaphorizhya nuclear power plant? What a nice guy is Vladmir Putin?
Adui unampa umeme ..
Hii hutokea kwa warusi TU!

Putin mstaarabu sana sana,kama vita hii ingehusu Merikani saa hizi Ukraine yote ingebaki magofu matupu na raia wengi kupoteza maisha kutokana na tactics za Merikani za kupigana vita by carpet bombing maadui zake (real and imaginary) back to stone age era - in other words implementing to the letter their "shock and awe" brutality.
 
Mkiambiwa Putin Ni genius ,alishaplan hii move long time,alishajua yafuatayo kabla sisi wachambuzi wabongo hatujajua Vita utakuwepo
1.Aliplan hii Vita muda mrefu
2.Aliplan maeneo gani muhimu atayachukua na maeneo gani atawaachia ili mteseke nayo
3.mtakuja na vikwazo vitavyowaumiza nyinyi na dunia
4.alishajiandaa kwa pesa,mafuta,gesi,chakula,silaha,watu kwa muda mrefu
5.Alishajiandaa kwa gharama za Vita ili asifiliisike ie ameshachukua maeneo ya Ukraine yenye viwanda vikubwa, bandari,powerplants,nuclear plants,migodi kikubwa,food reserves etc
Kwa mbumbumbu wasiojua sasaivi sio gharama ya Vita tu anayogharamia Ukraine mwenyewe Bali mapato muhimu na resources anachukua Russia, pia silaha za misaada kwa Ukraine kutoka kwa mashoga ndio hizo hizo anazotumia kwa kuziteka na pia anatumia silaha za zamani USSR age kuclear mahhala ya silaha huku akijiandaa kwa Vita kubwa na ndefu na NATO na USA
6.Maeneo anayochukua Ni yake maeneo pia yaliyo karibu na Nate kiboundary,hivyo basi Kuna uwezekano mkubwa Eneo kubwa la Ukraine kuwa buffer. Zone ya Russia kwa kuwekewa silaha kubwa na nuclear na Ukraine kubaki na kupanda tu,
7.Muda huu wa Vita Russia anasambaza technology hatari Kama za ICBMs,S-400,500,550generation , nuclear ,hypersonic a etc kwani USA na NATO wameshavunja agreement ya usambazaji silaha,
8.Akimaliza hii show hakuna kima yoyote anayepakana nae atakayethubutu kudanganyika na mashoga Tena
Adios
Amigo
 
Adios Amooo......Rusian
 
Kazi nzuri
JamiiForums1020029902.gif
 
Achaga
Mrusi hii vita itaigharimu sana mbeleni
Kuvamia Ukraine walikosea Urusi itaendelea kuwa vitani kwa Miaka mingi ijayo

Wangekuwa na akili wangeondoka Ukraine
Urusi ilitakiwa impindue Putin na kumuua kabisa sababu yeye ndie Tatizo Urusi
Kujipa matumaini ya bure kule Mariupol anawajengea makazi😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom