Marekani ndio alikuwa anatakiwa kiingilia hii show ya israel na palestina sasa tujianda na WW3 soon.

Nebuchadneza

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2023
Posts
435
Reaction score
1,093
Habari zenu.

Mara kwa mara wamekuwa wakigombana ila kwa klichotokea sasa ni dhahiri tunaenda kushuhudia vita vya dunia vya 3,na nauliza je Tanzania tutachangamana na mataifa gani??au tutabaki kwenye ile sera yetu kuwa hatuchangamani na taifa lolote!.
Basi ikiwa ndo hivyo tunaenda kupata hali ngumu ya maisha sana,vitu vitapanda bei miezi inayokuja,dunia imperial kipindi cha hatari kuwahi kutokea Bahamas wamechoma bendera ya marekani,na Egypt wamewaua raia wawili wa Israeli na katika kitu marekani apendi ni dharau Joe Biden ameongea na Benjamin Netanyahu kuwa wametuma vikosi vya wanajeshi na silaha za nguvu.

Tikae tayari na vita vya 3
 
Bila U.S.A, European union, hakuna Israel hao ndio wanawapa jeuri.

Robo ya Bajeti ya jeshi la Israel inatoka marekani.
 
Habari zenu.

Mara kwa mara wamekuwa wakigombana ila kwa klichotokea sasa ni dhahiri tunaenda kushuhudia vita vya dunia vya 3,na nauliza je Tanzania tutachangamana na mataifa gani??au tutabaki kwenye ile sera yetu kuwa hatuchangamani na taifa lolote!.
Basi ikiwa ndo hivyo tunaenda kupata hali ngumu ya maisha sana,vitu vitapanda bei miezi inayokuja,dunia imperial kipindi cha hatari kuwahi kutokea Bahamas wamechoma bendera ya marekani,na Egypt wamewaua raia wawili wa Israeli na katika kitu marekani apendi ni dharau Joe Biden ameongea na Benjamin Netanyahu kuwa wametuma vikosi vya wanajeshi na silaha za nguvu.

Tikae tayari na vita vya 3
Sasa mkuu sisi watanzania tuna Nini hata tutegemee upande mwingine?
 
Habari zenu.

Mara kwa mara wamekuwa wakigombana ila kwa klichotokea sasa ni dhahiri tunaenda kushuhudia vita vya dunia vya 3,na nauliza je Tanzania tutachangamana na mataifa gani??au tutabaki kwenye ile sera yetu kuwa hatuchangamani na taifa lolote!.
Basi ikiwa ndo hivyo tunaenda kupata hali ngumu ya maisha sana,vitu vitapanda bei miezi inayokuja,dunia imperial kipindi cha hatari kuwahi kutokea Bahamas wamechoma bendera ya marekani,na Egypt wamewaua raia wawili wa Israeli na katika kitu marekani apendi ni dharau Joe Biden ameongea na Benjamin Netanyahu kuwa wametuma vikosi vya wanajeshi na silaha za nguvu.

Tikae tayari na vita vya 3
Mgosi andika vizuri basi
 
Hata JW ilipoenda kuwachapa M23 mkadai ni WW3, mabomu ya Mbagala nayo mkadai ni WW3. Saddam nako mkadai itakua ni WW3
Hivi kabla kuitaja hiyo WW whatever huwa mnafanya Military and Economic relevancy kweli?
 
Back
Top Bottom