Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,093
Habari zenu.
Mara kwa mara wamekuwa wakigombana ila kwa klichotokea sasa ni dhahiri tunaenda kushuhudia vita vya dunia vya 3,na nauliza je Tanzania tutachangamana na mataifa gani??au tutabaki kwenye ile sera yetu kuwa hatuchangamani na taifa lolote!.
Basi ikiwa ndo hivyo tunaenda kupata hali ngumu ya maisha sana,vitu vitapanda bei miezi inayokuja,dunia imperial kipindi cha hatari kuwahi kutokea Bahamas wamechoma bendera ya marekani,na Egypt wamewaua raia wawili wa Israeli na katika kitu marekani apendi ni dharau Joe Biden ameongea na Benjamin Netanyahu kuwa wametuma vikosi vya wanajeshi na silaha za nguvu.
Tikae tayari na vita vya 3