wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Balozi aliyekuwa anagonga mhindi wa Iringa juzi Kati?
fuatilia threads zangu humu... sio za kiboya kama wewe.unajipendekeza sana na kujidai mjuaji ...kumbe kiazi tu
Ndio maana nimesema hicho cheo kwa wenzetu sio "hisani" au " zawadi ya mstaafu"hata Tanzania hufanya hivyo.
Jifunze zaidi
Wewe ni Great thinker wa uchochoroni.unashindwaje kuunganisha matukio dhahiri?Sasa hio thread uliyoleta si ya kijinga tu!
Marekani anaweza kupangiwa na kinchi ambacho hakina hata uwezo wa chanjo hadi akisaidie..
Acha ujinga basi
Wright alipitishwa kuwa balozi 2020 kwa hiyo hajakaa sana. Kwa sababu alikuwa ni balozi wa kisiasa basi inabidi ampishe mtu wa Biden. Hamna cha muda kuisha.
Amandla...
Kakojoe ukalale matagaWewe ni Great thinker wa uchochoroni.unashindwaje kuunganisha matukio dhahiri?
unajichekesha nini?acha utoto jadili mada
Hiyo ni perspective yao na mimi nimeleta perspective yetu kulingana na matukio locallyMkuu, tulia kwa muda, soma CV ya huyo mteuliwa, halafu angalia matukio ya kikanda..kidogo utapata uelewa kwanini Balozi huyo kateuliwa kuja Bongo.
President Biden Announces His Intent to Nominate Three Individuals to Serve as Ambassadors | The White House
WASHINGTON – Today, President Joe Biden announced his intent to nominate the following three individuals to serve as U.S. ambassadors: Michael Battle,www.whitehouse.gov
huoni cha kujadili kwa kuwa u mlevi na mla plama wa kinondoni manyanya.Hakuna cha kujadili hapa wewe!!! Nani ajadili uzushi wako! Nenda ukajadili na MAZWAZWA wenzio lumumba. Eti jadili mada!!! 🤣🤣🤣🤣
Ulitaka ujadili perspective yanani?Alaa! Kumbe hapa tunajadili "perspectives" zetu! Basi endelea Mkuu
unajichekesha nini?acha utoto jadili mada
huoni cha kujadili kwa kuwa u mlevi na mla plama wa kinondoni manyanya.
Hiyo ni perspective yao na mimi nimeleta perspective yetu kulingana na matukio locally
Haha mataga wanacheza ngoma wasioielewa, this time mabeberu watazaa na mataga subiriniHujui kitu, Mmarekani hapangiwi,
inawezekana wewe huna habari hizo..balozi wa us jana alikuwa mkoani songwe kufungua vituo vya afya vilivyojengwa kwa hisani ya nchi yake.
..habari kwamba mh.mulamula "amemuondoa" umezipata wapi? Je, unaelewa uzito wa uamuzi wa kumuondoa balozi hapa nchini?
Nenda Kawadanganye Ma Bwabwa Menzakomzembe wa kutupwa kabisa wewe