meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,425
- 4,768
- Thread starter
-
- #61
Niletee orodha ya mabalozi wa USA na itikadi zao.yaani mabalozi 20 walikuwa republican na sasa wanabadilishwa.Una akili kweli wewe? Kuna mada ya kujadili hapa? Upuuzi huu ndio unataka watu wajadili. Wright (Republican) anaondoka kwa sababu Biden (Democratic) analeta Balozi wake. Sasa Mulamula anaingiaje hapa? Huko CCM kazi kweli kweli! Kiswahili chenyewe huyo Mulamula hawezi kuongea.
Ndio kinachofuata ITVKwa hiyo tusubiri na wengine kuondolewa maana hakuwa peke yake!
Black box halijafunguka bado ingawa lilikaribia kufunguka!
Ukiona hivyo ujue mission aliyotumwa kufanya Tanzania ilishakamilika.Hii ni hatua muhimu ya kuonesha misuli ya Tanzania dhidi ya wote wasio itakia mema Tanzania.Huwezi ukasapoti Ugaidi waziwazi halafu ukaachwa tu.
Naamini Biden amemuondoa Balozi huyu wa USA Tanzania kutokana na kitendo cha ubalozi kwenda kusikiliza kesi ya ugaidi kitendo kilicholalamikiwa na Serikali ya Tanzania.
Mimi ni walewale.Anyhow, utawala ukibadilika si viongozi wa kisiasa hubadilika pia? Na akiletwa mwingine, muda wa aliyekuwepo unakwisha. Haiwezekani kuwa na mabalozi 2 katika nchi moja...
Endelea kujikweza kwa madogo...mimi ni mkongwe humu nimekusoma muda mrefu.jirekebishe upuuzi wako wafanyie wasiokujua sio mimi.boya weweNarudia tena acha KUKURUPUKA ná kuja humu kuandika uongo na juha wewe ukajiona umeleta mada ya kujadiliwa. Ujinga wako peleka kwa wapuuzi wenzio lumumba siyo humu. Humu tutakuchapa za uso tu.
Hujaaacha kukurupuka? Tabia za shule mpaka kwenye maisha Sasa OK mdogo wanguUle ugaidi walifanyiwa Lissu, mo, roma, nondo, kabendera, na wengine wengi ulifadhiliwa na nani?
Hakuna cha mission wala nini.Liberata MulaMula kamlipua ,sio kwamba namkubali sana MulaMula ila kwa hili lazima nimtambueUkiona hivyo ujue mission aliyotumwa kufanya Tanzania ilishakamilika.
Huyu nae kaja na mission yake.
I believe USA pia iko behind ya kifo cha the late......... Sababu alikua threat sana.
kaoshe na uvae sodo haraka usituchafulie jamvi.Bwabwa wewe unagawa Bure sio ?
Ntaibuka nikupasua Linda zaidi na Zaidikaoshe na uvae sodo haraka usituchafulie jamvi.
Endelea kujikweza kwa madogo...mimi ni mkongwe humu nimekusoma muda mrefu.jirekebishe upuuzi wako wafanyie wasiokujua sio mimi.boya wewe
Linda ndio nini...mimi nakuchania Rinda na underware.kajifunze lugha ndio uje kujibu ..hata ubwabwa wa shingo haujakutoka.Ntaibuka nikupasua Linda zaidi na Zaidi
come unto ya sense ....hoja ikiletwa uache ujuha kalulu.ukiona nimepost usije kichwakichwa.usione tumechill ukatuchukulia poa.Next time ukiona nimeleta thread behave!!Ukongwe wa kuandika UJINGA!? 🤣🤣🤣🤣 kukwambia UKWELI kuhusu UZUSHI wako wa balozi kuondolewa na huyo liberatus si upuuzi. Kuwa mkongwe humu si RUKHSA au TICKET ya kuandika ujinga. Kama hujui kitu uliza ZWAZWA!!!
come unto ya sense ....hoja ikiletwa uache ujuha kalulu.ukiona nimepost usije kichwakichwa
Niletee orodha ya mabalozi wa USA na itikadi zao.yaani mabalozi 20 walikuwa republican na sasa wanabadilishwa.
Think...my friend
Upuuzi kwako na mabwana wako wa kinondoni manyanya..let the thinkers digest and commentHakuna hoja hapa wewe ZWAZWA!!! Kuandika UZUSHI wako humu usilazimishe kuwa ni hoja. KAMWE uzushi hauwezi kuwa hoja peleka kwa wapuuzi wenzio lumumba kule itakuwa hoja siyo humu.
Akili isiyofikiri na kudaavua kuwa haya mabadiliko ni ya kawaida.Tuache wenye akili tujadiliUbishi wa kitoto huu. Okay, Mulamula amemfukuza Wright. Akili ya kijinga...
Upuuzi kwako na mabwana wako wa kinondoni manyanya..let the thinkers digest and comment
Nakujua kwa post zako humu JF na umeonekana kuwa kinara wa kutukana watu humu.sasa be informed sio kila mtu humu ni nyumbu kama wewe na leo umeingia kiumeni nitakukeketa bila ganziAcha kujifanya unanijua pimbi wewe!!! Kwa kuwa babaako anafanya huo ujuha kisha akakufundisha na wewe unadhani kila mtu anafanya!? Eti jadili hoja!!!! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tangu lini uongo/uzushi ukawa ni hoja ZWAZWA WEWE!!!?