meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,425
- 4,768
- Thread starter
- #61
Niletee orodha ya mabalozi wa USA na itikadi zao.yaani mabalozi 20 walikuwa republican na sasa wanabadilishwa.Una akili kweli wewe? Kuna mada ya kujadili hapa? Upuuzi huu ndio unataka watu wajadili. Wright (Republican) anaondoka kwa sababu Biden (Democratic) analeta Balozi wake. Sasa Mulamula anaingiaje hapa? Huko CCM kazi kweli kweli! Kiswahili chenyewe huyo Mulamula hawezi kuongea.
Think...my friend