Marekani: Rais Trump amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper

Marekani: Rais Trump amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Rais Donald Trump ametangaza kumfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper baada ya wawili hao kushindwa kuelewana. Christopher Miller aliyekuwa Mkuu wa Kituo cha Ugaidi atachukua nafasi yake

Esper alipishana kauli na Rais Trump kuhusu namna Ikulu (White House) ilivyotumia Jeshi wakati wa maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi yaliyotokea baada ya kifo cha Mmarekani mweusi, George Floyd

Mwezi Juni, Waziri huyo alisema hakukuwa na ulazima wa kutumia nguvu, jambo ambalo inadaiwa Ikulu haikupendezwa nalo na ilidhaniwa atafutwa kazi. Rais Trump hajatoa sababu ya uamuzi wake

Donald Trump ameshindwa katika Uchaguzi Mkuu lakini bado ana mamlaka ya kufanya maamuzi mpaka pale Rais Mteule, Joe Biden atakapoingia rasmi Ikulu

====

President Donald Trump has sacked Defence Secretary Mark Esper, announcing on Twitter that the top US official has been "terminated".

Christopher Miller, the current head of the National Counterterrorism Center, will take on the role immediately.

It follows a public falling-out between Mr Trump and Mr Esper in recent weeks.

Mr Trump has so far not conceded the US election to President-elect Joe Biden, and has vowed to challenge the projected result in court.

In the weeks before Mr Biden takes office on 20 January, Mr Trump is still empowered to make decisions.

Mr Miller was seen entering the Department of Defense headquarters at the Pentagon on Monday shortly after Mr Trump announced the dismissal.

The former Special Forces soldier served on President Trump's National Security Council before becoming head of the Counterterrorism Centre in August.

In a resignation letter, Mr Esper thanked members of the Armed Forces and said he was proud of his achievements in 18 months of service at the Pentagon.

"I serve my country in deference to the Constitution, so I accept your decision to replace me," he wrote.

Top Democrat Nancy Pelosi criticised the decision. "The abrupt firing of Secretary Esper is disturbing evidence that President Trump is intent on using his final days in office to sow chaos in our American Democracy and around the world," said the speaker of the House of Representatives.

Why did Trump fall out with his defence secretary?

Mr Esper clashed with the president over the White House's attitude to the military during protests over racial injustice earlier this year.

As protests rocked the US following the death of black man George Floyd at the hands of police in Minneapolis, Minnesota, in May, Mr Trump threatened to use troops to suppress unrest.

In June, Mr Esper, a former army officer, said the use of active-duty forces was unnecessary, in remarks that were known to have displeased the White House.

Following the clash, it was widely-speculated that the president would fire the defence secretary, although on Monday Mr Trump gave no reason for his dismissal.

Mr Esper has also disagreed with Mr Trump over the president's dismissive attitude towards Nato.

In an interview with Military Times last week, Mr Esper said that despite the difficult relationship with the White House, he didn't believe quitting was the right thing to do.

"The president's going to — he's very transparent in terms of what he wants. And he's been very clear about his views … I'm not trying to make anybody happy," he told the website.

"What I'm trying to do is, fulfil what he wants — I mean, he's the duly elected commander in chief — and make the best out of it."

He also rejected allegations that he was a "yes man" to his boss. The newspaper notes that his critics in the administration, and Trump himself, have called Mr Esper "Yesper" due to his reputation for being obedient to Trump.

"My frustration is I sit here and say, 'Hmm, 18 Cabinet members. Who's pushed back more than anybody?' Name another Cabinet secretary that's pushed back," he said.

"Have you seen me on a stage saying, 'Under the exceptional leadership of blah-blah-blah, we have blah-blah-blah-blah?"

President Trump has fired a significant number of his officials and advisers during his tenure, often using Twitter to announce the dismissal.

Mr Esper's predecessor was James Mattis, who resigned in 2018 over differences with the president including about the war in Syria.

In June, as racial injustice protests were ongoing, Mr Mattis criticised Donald Trump as the "first president in my lifetime who does not try to unite the American people - does not even pretend to try. Instead he tries to divide us."
 
Ni mwendo wa kukomaa mpaka siku ya mwisho.
never.jpg
 
Trump ni mzungu tu kwa nje ila kwa ndani anatabia zote kama rais wa PORTLAND na marais wa nchi zinazoizunguka nchi hio.
 
Afute kazi, ateue tena, afute, ateue. Amfute hadi pompeo, Ateue, Afute. Mamlaka bado anayo hadi january, avurugevuruge tu. Aache mambo shagalabagala kwa hasira.
 
Nikifikiri waziri wa mambo ya ndani ndio angekuwa mhanga. Kwanini US kila kitu ni ubabe tu?
 

Matokeo ya uchaguzi Marekani 2020: Donald Trump amfuta kazi Waziri wa Ulinzi Mark Esper​


Waziri wa ulinzi Mark Esper ni afisa wa hivi karibuni kupigwa kalamu na Donald Trump Rais Donald Trump amemfuta kazi Waziri wa Ulinzi Mark Esper, na kutangaza kwenye Twitter kwamba afisa huyo wa ngazi ya juu wa Marekani "amefutwa". Christopher Miller, mkuu wa sasa wa Kituo Cha Kukabiliana na ugaidi amechukua nafasi hiyo mara moja.

Hii ni baada ya wawili hao kutofautiana hadharani katika wiki za hivi karibuni. Bw. Trump mpaka sasa hajakubali kushindwa katika uchaguzi wa Marekani na rais mteule Joe Biden, na ameapa kupinga matokeo hayo mahakamani.

Wiki chache zilizosalia kabla ya Biden kuchukua ofisi Januari 20, Trump bado ana uwezo wa kufanya maamuzi.
 

Matokeo ya uchaguzi Marekani 2020: Donald Trump amfuta kazi Waziri wa Ulinzi Mark Esper​


Waziri wa ulinzi Mark Esper ni afisa wa hivi karibuni kupigwa kalamu na Donald Trump Rais Donald Trump amemfuta kazi Waziri wa Ulinzi Mark Esper, na kutangaza kwenye Twitter kwamba afisa huyo wa ngazi ya juu wa Marekani "amefutwa". Christopher Miller, mkuu wa sasa wa Kituo Cha Kukabiliana na ugaidi amechukua nafasi hiyo mara moja.

Hii ni baada ya wawili hao kutofautiana hadharani katika wiki za hivi karibuni. Bw. Trump mpaka sasa hajakubali kushindwa katika uchaguzi wa Marekani na rais mteule Joe Biden, na ameapa kupinga matokeo hayo mahakamani.

Wiki chache zilizosalia kabla ya Biden kuchukua ofisi Januari 20, Trump bado ana uwezo wa kufanya maamuzi.
Mteule mpya anaapishwa lini???
 
Mteule mpya anaapishwa lini???
MPAKA JAMAA AKUBALI, N AMESEMA LABDA WAMTOE KWA bulldozer 🤣Kampeni ya Trump bado haijatoa "ushahidi thabiti" lakini inasema inapanga kufungua kesi mahakamani katika majimbo mengi muhimu Jumatatu.
 
MPAKA JAMAA AKUBALI, N AMESEMA LABDA WAMTOE KWA bulldozer [emoji1787]Kampeni ya Trump bado haijatoa "ushahidi thabiti" lakini inasema inapanga kufungua kesi mahakamani katika majimbo mengi muhimu Jumatatu.
Nilimaanisha huyo wazir mteule wa Trump ataapishwa lini
 
Back
Top Bottom