Si ushajibiw kwamba Mungu muumbaji wa vyote pamoja na sababu zake?Hiyo khutba peleka msikitini kwenye watu kama ww ukazawadiwe takbir!
Jibu hapa!
[emoji116][emoji116]
Aliye waumbia maadui na mashetani watu nani??
Umeelewa kauli yangu?Katangaze msikitini Yesu sio isa!;
Halafu uje humu utupe mrejesho [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kijana nakuona km mtoto asiyejua kesha anajifanya anajua.Wapi kwenye hii ayat allah kasema wenye moyo mgumu hawawezi kuifahamu kolan??
[emoji116][emoji116]
وَلَقَدْ يَسَّرْنَا الْقُرْآنَ لِلذِّكْرِ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ
[ AL-QAMAR - 22 ]
Na bila ya shaka Sisi tumeifanya Qur'ani nyepesi kufahamika; lakini yupo anaye kumbuka?
ww ni kafir kwa kujiona mjuzi allah hamnazo[emoji13][emoji13]
Kama ndivyo anzisha deen yako bro!; kuliko kumdhalilisha allah!
Na mm namzungumzia Issa huyo huyo.Issa ni huyu hapa, history yake fupi kutoka Koran
- Tunaona kwenye koran inamtaja Issa, Babu yake ni Imran na Uncle zake ni Haruni na Mussa
3;35. Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu........
36. Basi alipo mzaa alisema: Mola wangu Mlezi! Nimemzaa mwanamke(Maryamu)
19:28 “Ewe dada yake Haruni. Baba yako hakuwa mtu mbaya.
66;12. Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake,- Tunaona Huyu Isa wa Allah alikimbia msalaba , na Allah akatengeneza Issa mwingine ambae anafanana na Isa original ili Isa clone (cloning) asulubiwe(Hiki kitendo hakipo kwenye historia yoyote kabla ya Muhammad)
- Koran 4:157. ................................ - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu...........
- Cloning -is the process of producing individuals with identical or virtually identical DNA, either naturally or artificially.
Tttttttttt jalalyn ndio nani?Mimi nimekupa Al -Jalalalyn kasema ni kubaka maria na nimeweka ushahidi , je wewe unawezeza kuweka ushahidi wa asali? na hapa inathibitisha huwezi elewa koran kirahisi maana ata scholar wanaitilafiana
Hadith -narration of the sayings, doings or approvals of Muhammad
Tafsir -attempts to provide elucidation, explanation, interpretation, context or commentary for clear understanding
EMBU NIKUPE HINT UKASOME MAANA DOH.Ili uweze kujibu haya maswali utategemea nini? twende taratibu kabisa
Unapo jibu weka ushahidi wa utegemezi ulipo utoa
Kosugi says "Quran haitegemei hadith wala vitabu vya wanazuoni mkuu ili uielewe."
Nimekupa mfano wa haya hizi
- Koran 66:1 1. Ewe Muhammad! Kwa nini unaharimisha alicho kuhalilishia Allah?...
- Bila kutumia Hadith wala Tafsir niambie ni nini Muhammad aliharimisha ambacho Allah alimuhalalishia?
- Koran 36:14 Tulipo watumia wawili, wakawakanusha. Basi tukawazidishia nguvu kwa mwingine wa tatu. -
- Bila kutumia Hadith na Tafsir nipe majina ya hawa watu watatu?
Mtu anaeanza kusema kasome ujue nimeshamaliza kazi yangu , huna ushahidi wa unayoongea, Koran bila Hadith na Tafsiri ni kitabu hakieleweki kabisaEMBU NIKUPE HINT UKASOME MAANA DOH.
KASOME SIRAH KWANZA UJUE MTUME WASIFU WAKE.
KASOME TAFSIR YA IMAM MALIK YA QURAN.
UTAPATA MAJIBU YOTE USIENDE GOOGLE UKARUDI TAFUTA VITABU.
UKISHAPITIA HIVYO VITABU RUDI.
Vitabu siku hizi vipo online huna sababu ya kutafuta hardcopyEMBU NIKUPE HINT UKASOME MAANA DOH.
KASOME SIRAH KWANZA UJUE MTUME WASIFU WAKE.
KASOME TAFSIR YA IMAM MALIK YA QURAN.
UTAPATA MAJIBU YOTE USIENDE GOOGLE UKARUDI TAFUTA VITABU.
UKISHAPITIA HIVYO VITABU RUDI.
Nilikupa maswali marahisi kabisa , kwamba ILI uweze kujua majibu ya maswali yangu utategemea nini? Maana Koran haina majibuEMBU NIKUPE HINT UKASOME MAANA DOH.
KASOME SIRAH KWANZA UJUE MTUME WASIFU WAKE.
KASOME TAFSIR YA IMAM MALIK YA QURAN.
UTAPATA MAJIBU YOTE USIENDE GOOGLE UKARUDI TAFUTA VITABU.
UKISHAPITIA HIVYO VITABU RUDI.
Issa kwa uelewa wako alikuwepo miaka ipi , kabla ya Yesu au Baada ya Yesu na kitabu gani Cha Jews tunaweza msoma issaNa mm namzungumzia Issa huyo huyo.
Ninyi mnaamini Yesu katundikwa msalabani ndio imani yenu.
Mimi naamini Nabii Issa aliokolewa na alotundikwa alikua mtu badala yake.
Kwahiyo ni vigumu kuafikiana.
soma mlolongo na kisa chake unanukuu ayah moja tuKwa hoyo hizo ayat zime-expire??
na hii!
فَمَنْ حَاجَّكَ فِيهِ مِن بَعْدِ مَا جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ فَقُلْ تَعَالَوْا نَدْعُ أَبْنَاءَنَا وَأَبْنَاءَكُمْ وَنِسَاءَنَا وَنِسَاءَكُمْ وَأَنفُسَنَا وَأَنفُسَكُمْ ثُمَّ نَبْتَهِلْ فَنَجْعَل لَّعْنَتَ اللَّهِ عَلَى الْكَاذِبِينَ
[ AL I'MRAN - 61 ]
Watakao kuhoji katika haya baada ya kukufikilia ilimu hii waambie: Njooni tuwaite watoto wetu na watoto wenu, na wake zetu na wake zenu, na sisi wenyewe na nyinyi wenyewe, kisha tuombe kwa unyenyekevu tutake laana ya Mwenyezi Mungu iwashukie waongo.
Hadith toa pembeni.Nilikupa maswali marahisi kabisa , kwamba ILI uweze kujua majibu ya maswali yangu utategemea nini? Maana Koran haina majibu
Ili uweze kujibu haya maswali utategemea nini? twende taratibu kabisa
Unapo jibu weka ushahidi wa utegemezi ulipo utoa
Kosugi says "Quran haitegemei hadith wala vitabu vya wanazuoni mkuu ili uielewe."
Nimekupa mfano wa haya hizi
- Koran 66:1 1. Ewe Muhammad! Kwa nini unaharimisha alicho kuhalilishia Allah?...
- Bila kutumia Hadith wala Tafsir niambie ni nini Muhammad aliharimisha ambacho Allah alimuhalalishia?
- Koran 36:14 Tulipo watumia wawili, wakawakanusha. Basi tukawazidishia nguvu kwa mwingine wa tatu. -
- Bila kutumia Hadith na Tafsir nipe majina ya hawa watu watatu?
Huyo mnaemwita Yesu Masihi ndio kwetu Nabii Issa ambae alipewa injil.Issa kwa uelewa wako alikuwepo miaka ipi , kabla ya Yesu au Baada ya Yesu na kitabu gani Cha Jews tunaweza msoma issa
mimi nimekupa evidence ya vitabu.Mtu anaeanza kusema kasome ujue nimeshamaliza kazi yangu , huna ushahidi wa unayoongea, Koran bila Hadith na Tafsiri ni kitabu hakieleweki kabisa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂pole yako.Vitabu siku hizi vipo online huna sababu ya kutafuta hardcopy
soma mlolongo na kisa chake unanukuu ayah moja tu
[emoji115][emoji116][emoji115][emoji116]
kisa hadi allah baba qasim amekasirika ni pale MAASKOFU WALIPO MTEMBELEA BBQASIM NYUMBANI KUTHIBITISHA KAMA ROHO ILIYOMVAA MUHAMMAD NI ROHO WA MUNGU!
WALIPOONA KAJAA POVU NA KUANZA KULAANI BADALA YA KUBARIKI KAMA ILIVYO ANDIKWA WAKAPATA JIBU ROHO ALIYOIVAA MUHAMMAD SIO ROHO WA MUNGU!
IKABIDI WAONDOKE!
Hadith toa pembeni.
Hizo ayah wapaswa kutumia tafsir ili uweze kung'amua nini kimeongeleka.
kwasababu kisa chake kimefumbwa.
Ila Quran36:14 inaeleweka kisa chake ni ayah mutashabihat unatakiwa uanzie ayah ya 12 mpk 17 kinaelezea kisa cha mtume .
Nimeshamaliza , Koran bila Hadith na Tafsiri ni kitabu kitupu kabisa ni kama mashahiri yasiyo na MAELEZO ya kutoshasoma mlolongo na kisa chake unanukuu ayah moja tu
Hadith toa pembeni.
Hizo ayah wapaswa kutumia tafsir ili uweze kung'amua nini kimeongeleka.
kwasababu kisa chake kimefumbwa.
Ila Quran36:14 inaeleweka kisa chake ni ayah mutashabihat unatakiwa uanzie ayah ya 12 mpk 17 kinaelezea kisa cha mtume .
Hapana unakosea pakubwa mno , Issa alikuwepo kipindi Cha Mussa na Harun ila hakuna andiko lolote la kabla ya Koran likimtaja , Yesu alikuja miaka kama 1500 baada ya MusaHuyo mnaemwita Yesu Masihi ndio kwetu Nabii Issa ambae alipewa injil.
Mtaje mwanazuoni wako wa kale nikuwekee hapa,😂😂😂😂😂😂😂😂😂pole yako.
Huwez kukuta kitabu cha wanazuoni wa kale mtandaoni ht kiduchu.
Ukikuta naanza kutembea uchi.
Ndio hivyo vitabu vya kina jalalalyn au?
HUWEZ KUKUTA VITABU VYA WANAZUONI WA KALE MTANDAONI.
NDIO MAAN HT UKIENDA SUUDIA KUSOMA DINI WANAKUPIGA MARUFUKU USITUMIE VITABU VYA MTANDAONI VINGI FABRICATED.