Huna hoja.ww teja la kukariri ningeshangaa kama ungeona [emoji13][emoji13]
Nioneshe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna hoja.ww teja la kukariri ningeshangaa kama ungeona [emoji13][emoji13]
Nyepesi kufahamika kwa anayetaka kujua na mwenyemoyo mlaini.qurani ni nyepesi sannaà usiitie ugumu bro!
[emoji116][emoji116]
وَلَقَدْ يَسَّرْنَا الْقُرْآنَ لِلذِّكْرِ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ
[ AL-QAMAR - 22 ]
Na bila ya shaka Sisi tumeifanya Qur'ani nyepesi kufahamika; lakini yupo anaye kumbuka?
Usiandike maneno mengi alafu point natafuta kwa tochiHayo unalazimisha wewe.
Asa tafsir ni hadith?
Hadith ni nn na tafsir ni nini?
Hadith inakaa kivyake na tafsir ni ufafanuzi wa Quran kutoka kwa mtume.
Halafu Quran imekamilika bali imeongea kauli za mafumbo.
Na siyo Quran yote imeongea kauli za mafumbo.
Kuna surah zingine zimeongelewa kauli za wazi mfano suratul kahfi,nnisaa n.k n.k.
Kama kuongea kwa fumbo ni kutokukamilika basi pole yako.
UNALAZIMISHA HOJA .
NARUDIA KUSEMA NA NITAENDELEA KUSEMA QURAN HAITEGEMEI HADITHI WALA MANENO YA WANAZUONI.
MAANA HAO WANAZUONI JE NI WA ZAMA GANI?
JE HAYO MANENO WAMEYATOA WAPI?
NDUGU WE SIO MUISLAM HUJAISOMA DINI YETU INAHITAJI NINI.
NIMEKUUTAJIA WANAZUONI WAKUWA NUKUU AMBAO NUKUU ZAO ZILITOKA DIRECTLY KWA MTUMEE .
WE UNANIAMBIA UMENUKUU KUTOKA KWA SUNNI.
HAO MAIMAMU NILOKUTAJIA VITABU VYAO VINAELEZEA KUWA MTUME ALIHARAMISHA ASALI NDIO KISA CHA HIYO AYAH KUSHUKA.
ASA HAO SUNNI ULOWANUKUU NA HAWA MAIMAM NILOKUTAJIA AMBAO WAMEFUNDISHWA DIRECTLY NA MTUME NANI YUPO SAHIHI??
UNAJUA TUNAPIMAJE ITHBATI?
HALAFU HADITHI HAUIJUI WW.
WE USHAKARIRI KILA ANACHOSEMA MTUME NI HADITHI YOU ARE TOTALLY WRONG.UMEKOSEA PAKUBWA.
TAFSIR NI MAFUNDISHO YA MTUME JUU YA UFAFANUZI WA QURAN NA WANAZUONI WAMETOA KWAKE ILA SIO HADITHI NA SIO VITABU VYA WANAZUONI.
USILAZIMISHE UJUAJI MKUU KAMA HUJUI HUJUI.
Hiyo surah imeshuka makkah kipindi ambacho hata miaka ya hijriyah haijaanza.Uje na hii singo aliyo kuja nayo allah muham mad kushindwa ligi!; tena hata kwa kuwaahidi watu kungonoka na mahulu.72 wenye makalio uji uji, mito ya gongo, ku-update dhakar isisinyae...mbele ya allah! [emoji2301]
hadi akatumia jambia na kumuomba Mwenyezi Mungu Awaangamize Wakristo na Wayahudi
Akashindwa [emoji56][emoji13]
Itakuwa ww[emoji15][emoji2957]
Ukristo Hadi Leo Unadunda [emoji123][emoji106]
Alipo zidiwa akaja na singo hii
[emoji1370][emoji1370]
قُلْ يَا أَيُّهَا الْكَافِرُونَ
1.
Sema: Enyi makafiri!
لَا أَعْبُدُ مَا تَعْبُدُونَ
2.
Siabudu mnacho kiabudu;
وَلَا أَنتُمْ عَابِدُونَ مَا أَعْبُدُ
3.
Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
وَلَا أَنَا عَابِدٌ مَّا عَبَدتُّمْ
4.
Wala sitaabudu mnacho abudu.
وَلَا أَنتُمْ عَابِدُونَ مَا أَعْبُدُ
5.
Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
لَكُمْ دِينُكُمْ وَلِيَ دِينِ
6.
Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
Mbona unajichanganya?Usiandike maneno mengi alafu point natafuta kwa tochi
Jibu hapa kwanza alafu tuendelee
Kosugi says "Quran haitegemei hadith wala vitabu vya wanazuoni mkuu ili uielewe."
Nimekupa mfano wa haya hizi
- Koran 66:1 1. Ewe Muhammad! Kwa nini unaharimisha alicho kuhalilishia Allah?...
- Bila kutumia Hadith wala Tafsir niambie ni nini Muhammad aliharimisha ambacho Allah alimuhalalishia?
- Koran 36:14 Tulipo watumia wawili, wakawakanusha. Basi tukawazidishia nguvu kwa mwingine wa tatu. -
- Bila kutumia Hadith na Tafsir nipe majina ya hawa watu watatu?
Mimi nimekupa Al -Jalalalyn kasema ni kubaka maria na nimeweka ushahidi , je wewe unawezeza kuweka ushahidi wa asali? na hapa inathibitisha huwezi elewa koran kirahisi maana ata scholar wanaitilafianaHayo unalazimisha wewe.
Asa tafsir ni hadith?
Hadith ni nn na tafsir ni nini?
Hadith inakaa kivyake na tafsir ni ufafanuzi wa Quran kutoka kwa mtume.
Halafu Quran imekamilika bali imeongea kauli za mafumbo.
Na siyo Quran yote imeongea kauli za mafumbo.
Kuna surah zingine zimeongelewa kauli za wazi mfano suratul kahfi,nnisaa n.k n.k.
Kama kuongea kwa fumbo ni kutokukamilika basi pole yako.
UNALAZIMISHA HOJA .
NARUDIA KUSEMA NA NITAENDELEA KUSEMA QURAN HAITEGEMEI HADITHI WALA MANENO YA WANAZUONI.
MAANA HAO WANAZUONI JE NI WA ZAMA GANI?
JE HAYO MANENO WAMEYATOA WAPI?
NDUGU WE SIO MUISLAM HUJAISOMA DINI YETU INAHITAJI NINI.
NIMEKUUTAJIA WANAZUONI WAKUWA NUKUU AMBAO NUKUU ZAO ZILITOKA DIRECTLY KWA MTUMEE .
WE UNANIAMBIA UMENUKUU KUTOKA KWA SUNNI.
HAO MAIMAMU NILOKUTAJIA VITABU VYAO VINAELEZEA KUWA MTUME ALIHARAMISHA ASALI NDIO KISA CHA HIYO AYAH KUSHUKA.
ASA HAO SUNNI ULOWANUKUU NA HAWA MAIMAM NILOKUTAJIA AMBAO WAMEFUNDISHWA DIRECTLY NA MTUME NANI YUPO SAHIHI??
UNAJUA TUNAPIMAJE ITHBATI?
HALAFU HADITHI HAUIJUI WW.
WE USHAKARIRI KILA ANACHOSEMA MTUME NI HADITHI YOU ARE TOTALLY WRONG.UMEKOSEA PAKUBWA.
TAFSIR NI MAFUNDISHO YA MTUME JUU YA UFAFANUZI WA QURAN NA WANAZUONI WAMETOA KWAKE ILA SIO HADITHI NA SIO VITABU VYA WANAZUONI.
USILAZIMISHE UJUAJI MKUU KAMA HUJUI HUJUI.
MIE NAZUNGUMZIQ NABII ISSA AMBAYE UTOTONI ALIISHI KWA AMANI NA UKUBWANI ALITAKA KUULIWA NDIPO AKAOKOLEWA.Usisahau tulipo toka nilianzia hapa!
[emoji116][emoji116]
mchambuzi tuchambulie hapa!
Jee mwanaume akimkosea adabu mwanamke muumini naye alipize kisasi ili awe na Uhai kama alivyo agiza allah??
[emoji116][emoji116]
وَلَكُمْ فِي الْقِصَاصِ حَيَاةٌ يَا أُولِي الْأَلْبَابِ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ
[ AL - BAQARA - 179 ]
Mtakuwa nao uhai mzuri katika kulipiza kisasi enyi wenye akili, ili msalimike.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii aya inajitosheleza!
Naenda na akili zako!; Hizi ayat zinashahabiana!
[emoji116][emoji116]
وَبِكُفْرِهِمْ وَقَوْلِهِمْ عَلَىٰ مَرْيَمَ بُهْتَانًا عَظِيمًا
(AN-NISAAI - 156)
Na pia kwa kufuru zao na kumsingizia kwao Maryamu uwongo mkubwa,
وَقَوْلِهِمْ إِنَّا قَتَلْنَا الْمَسِيحَ عِيسَى ابْنَ مَرْيَمَ رَسُولَ اللَّهِ وَمَا قَتَلُوهُ وَمَا صَلَبُوهُ وَلَـٰكِن شُبِّهَ لَهُمْ ۚ وَإِنَّ الَّذِينَ اخْتَلَفُوا فِيهِ لَفِي شَكٍّ مِّنْهُ ۚ مَا لَهُم بِهِ مِنْ عِلْمٍ إِلَّا اتِّبَاعَ الظَّنِّ ۚ وَمَا قَتَلُوهُ يَقِينًا
(AN-NISAAI - 157)
Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.
Hivyo basi Ukubaliane na mimi leo Kisa cha kukusudiwa kukatwa Yesu kilikuwa cha Utotoni! Ukubwani Yesu Aliteswa, Akafa, kisha Kufufuka!
Nakualika lunch kigogo sambusa tupate kitimoto na chachandu ya uhakika ushushie na ka-laga bardii kanatoa jasho?
Alihamdulilah![emoji106][emoji123]View attachment 1897747
Umezungumza hapa
[emoji116][emoji116]
Halafu katika hizo ayah hakuna palipoandikwa kuwa Yesu alikufa akafufuka usitake kupindua maana.
Bali Allah amesema Nabii Issa hakufa wala hakusulubiwa bali alimleta mtu wa mfanowe.
Ili uweze kujibu haya maswali utategemea nini? twende taratibu kabisaMbona unajichanganya?
Halaf pia mbona haujibu maswali yangu?
Hadith na tafsir na vitabu vya wanazuoni ni vitu vitatu tofauti.
Mie napinga Quran haitegemei hadith wala vitabu vya wanazuoni.
Bali inategemea tafsir na ufafanuzi wa mtume Muhammad(s.a.w).
Kwasababu Quran ilishuka kwake na yey ndiye mwalimu wa Quran.
USICHANGANYE HADITH,VITABU VYA WANAZUONI NA TAFSIR.
Hao wanazuoni pasi na kufundishwa na mtume wasingeweza kujua Quran na ufafanuzi wake.
Issa ni huyu hapa, history yake fupi kutoka KoranMIE NAZUNGUMZIQ NABII ISSA AMBAYE UTOTONI ALIISHI KWA AMANI NA UKUBWANI ALITAKA KUULIWA NDIPO AKAOKOLEWA.
SIMZUNGUMZII YESU AMBAYE NI MUNGU ALOSULUBIWA MSALABANI NAMZUNGUMZIA NABII ISSA MTUME WA ALLAH.
SAWA KIJANA?
Waafrika tuna njia zetu, hatupaswi kufuata au kunakili za wageni, wao mbona hawanakili za kwetu.Kuna taratibu za kufuata mwanamume akimkosea mkewe au hujasoma fiqhi masuala ya ndoa?
Heee ajabu hii kwahiyo kumuonya mwanamke kwa mdomo ni mambo ya kale?
kwahiyo kumuonya mwanamke kwa kumsusia ni mambo ya kale?
kuchapa pia ni ukale?
Haya nambie weye mkeo unamuonyaje kwa huo usasa?
Au akikutusi na kukuletea kibri unamwambia sawa mamyy?
Katangaze msikitini Yesu sio isa!;MIE NAZUNGUMZIQ NABII ISSA AMBAYE UTOTONI ALIISHI KWA AMANI NA UKUBWANI ALITAKA KUULIWA NDIPO AKAOKOLEWA.
SIMZUNGUMZII YESU AMBAYE NI MUNGU ALOSULUBIWA MSALABANI NAMZUNGUMZIA NABII ISSA MTUME WA ALLAH.
SAWA KIJANA?
Kwa hoyo hizo ayat zime-expire??Hiyo surah imeshuka makkah kipindi ambacho hata miaka ya hijriyah haijaanza.
Ndio kwanza mtume alikuua nabii hakupewa utume.
Makuraish walimfata wakamwambia km anataka abaki makkah na aishi kwa amani wagawane leo wote waabudu masanam na kesho wote waabudu msikitini.
Allah ndio akashusha hiyo surah akamwambia mtume waambie huwezi kuabudu wanachoabudu na wao hawawezi kuabudu unachoabudu wao wana dini yao na ww una dini yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]UNA MENGI YA KUJIFUNZA.
HALAFU HATA UISLAM UPO NA BADO UNADUNDA HAKUNA ALOTAKA KUUA UKRISTO BALI WAKATOLIKI MLIWACHOKOZA WAARABU ILA WAKAWAFANYA KITU MBAYA.
REJEA VITA ZA DOLA YA KIISLAM YA OSMAN NA WAROMAN CATHOLIC AU WACATHOLIC NA WAAYUBI.
WAKATOLIKI WALIPIGIKA UKAMTAJIA MUITALIANO HAO WATU KTK HISTORIA ANAWAHESHIMU VIBAYA
Wapi kwenye hii ayat allah kasema wenye moyo mgumu hawawezi kuifahamu kolan??Nyepesi kufahamika kwa anayetaka kujua na mwenyemoyo mlaini.
WEWE UNA MOYO MGUMU HUWEZI KUIFAHAM QURAN
Uonyeshwe nini wakti dalili umezivaa??[emoji13][emoji13]Huna hoja.
Nioneshe.
Endelea kubwabwaja najadiliana na anayejielewa Mr.Spensa.
Ukijibu maswali nilokuuliza ndio nitajadiliana nawe kinyume na hapo nitabaki kukujibu pumba tu.
Amepotosha yeye au wamejipotosha wao wayahudi wenyewe?
Allah amemleta Issa bin Maryam kama mtume wao wanamzungumza Issa km mwana wa Mungu na Mungu mtu.
NANI ALOJIPOTOSHA NA KUJIHADAA?
ALLAH KAMUOKOA ISSA MTUME WAKE WAO WACHA WAMSULUBU ISSA MUNGU MTU WALOKUA WANAMSHADADIA.
NA LAZMA AJE ATOE HUKUMU KWANN YEYE AMEMLETA ISSA KM MTUME WAO WANAMPACHIKA UUNGU?
KWANINI WALITHUBUTU KUTAKA KUMUUA MTUME WA MUNGU?
HUKMU ZINAKUJA HAPO.
UMEELEWA KIJANA?
Endelea kubwabwaja najadiliana na anayejielewa Mr.Spensa.
Ukijibu maswali nilokuuliza ndio nitajadiliana nawe kinyume na hapo nitabaki kukujibu pumba tu.
Amepotosha yeye au wamejipotosha wao wayahudi wenyewe?
Allah amemleta Issa bin Maryam kama mtume wao wanamzungumza Issa km mwana wa Mungu na Mungu mtu.
NANI ALOJIPOTOSHA NA KUJIHADAA?
ALLAH KAMUOKOA ISSA MTUME WAKE WAO WACHA WAMSULUBU ISSA MUNGU MTU WALOKUA WANAMSHADADIA.
NA LAZMA AJE ATOE HUKUMU KWANN YEYE AMEMLETA ISSA KM MTUME WAO WANAMPACHIKA UUNGU?
KWANINI WALITHUBUTU KUTAKA KUMUUA MTUME WA MUNGU?
HUKMU ZINAKUJA HAPO.
UMEELEWA KIJANA?
hawa watu hawaDuuuh....hii ndio excuse unayotoa?
Hiyo khutba peleka msikitini kwenye watu kama ww ukazawadiwe takbir!Unachekesha mpk basi kwa hoja zako.
Tuanze na twaif.
Ulikisoma vzuri hko kitabu?
Mtume twaif alienda kutangaza uislam.
Na alienda kiupole sio kwa upanga km ilivyo kwa wakatoliki wauaji walivyofanya.
Mtume alipigwa mawe na waabudu masanamu wakimuita muongo.
Allah alitaka iwe hivyo kwake yeye ili kuonesha kuwa kazi ya daawa sio ndogo.
Kama asingetaka angemuokoa km alivyowaokoa mitume wengine km Ibrahim kwenye moto na Yunus kwenye tumbo la Chewa.
Licha ya hivyo jibril alitumwa amuulize mtume wale watu wapewe adhabu gani mtume alikataa akasema anawaombea kheri kwa Allah wabadilike.
Ni sawana mie nikuulize kwanini Yesu ambaye ni Mungu alitundikwa msalabani na kuchapwa pasi na kujitetea tena na binadamu??
Tuje ktk hiyo ayah uloileta wewe.
Ndio Allah ni muumbaji wa kila kitu mpk majini.
Sio km Mungu wenu mnaesema kaumba vyote ila sio majini asa sijui majini wametokea wap km Yehovah hajawaumba!
Allah ndiye anayeleta mitihani kwa waja wake kuwapima kiimani.
Kila mtume kaletewa mitihani yake kupima uzito wa imani yake.
Hata huo pia ulikua ni mtihani wa kwetu waislam juu ya kuilinda dini yetu na kujitoa juu ya dini yetu.
Yesu ni nani kwa nyie wakristo?Wapi Wayahudi wamesema isa ni mwana wa mungu na mungu mtu??
Unazusha mwana kuzua ww[emoji706][emoji706]
Na ndio sababu natumia lugha hii ili ufunguke!
[emoji116][emoji116]
TIT. 3:10-11 Mtu aliye mzushi, baada ya kumwonya mara ya kwanza na mara ya pili, mkatae; ukijua ya kuwa mtu kama huyo amepotoka, tena atenda dhambi, maana amejihukumu hatia yeye mwenyewe.