Marekani: Sherehe za uzinduzi wa msikiti zazua gumzo baada ya kualikwa wanaume pekee

Marekani: Sherehe za uzinduzi wa msikiti zazua gumzo baada ya kualikwa wanaume pekee

qurani ni nyepesi sannaà usiitie ugumu bro!
[emoji116][emoji116]
وَلَقَدْ يَسَّرْنَا الْقُرْآنَ لِلذِّكْرِ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ

[ AL-QAMAR - 22 ]
Na bila ya shaka Sisi tumeifanya Qur'ani nyepesi kufahamika; lakini yupo anaye kumbuka?
Nyepesi kufahamika kwa anayetaka kujua na mwenyemoyo mlaini.
WEWE UNA MOYO MGUMU HUWEZI KUIFAHAM QURAN
 
Hayo unalazimisha wewe.
Asa tafsir ni hadith?
Hadith ni nn na tafsir ni nini?
Hadith inakaa kivyake na tafsir ni ufafanuzi wa Quran kutoka kwa mtume.
Halafu Quran imekamilika bali imeongea kauli za mafumbo.
Na siyo Quran yote imeongea kauli za mafumbo.
Kuna surah zingine zimeongelewa kauli za wazi mfano suratul kahfi,nnisaa n.k n.k.
Kama kuongea kwa fumbo ni kutokukamilika basi pole yako.
UNALAZIMISHA HOJA .
NARUDIA KUSEMA NA NITAENDELEA KUSEMA QURAN HAITEGEMEI HADITHI WALA MANENO YA WANAZUONI.
MAANA HAO WANAZUONI JE NI WA ZAMA GANI?
JE HAYO MANENO WAMEYATOA WAPI?
NDUGU WE SIO MUISLAM HUJAISOMA DINI YETU INAHITAJI NINI.
NIMEKUUTAJIA WANAZUONI WAKUWA NUKUU AMBAO NUKUU ZAO ZILITOKA DIRECTLY KWA MTUMEE .
WE UNANIAMBIA UMENUKUU KUTOKA KWA SUNNI.
HAO MAIMAMU NILOKUTAJIA VITABU VYAO VINAELEZEA KUWA MTUME ALIHARAMISHA ASALI NDIO KISA CHA HIYO AYAH KUSHUKA.
ASA HAO SUNNI ULOWANUKUU NA HAWA MAIMAM NILOKUTAJIA AMBAO WAMEFUNDISHWA DIRECTLY NA MTUME NANI YUPO SAHIHI??
UNAJUA TUNAPIMAJE ITHBATI?
HALAFU HADITHI HAUIJUI WW.
WE USHAKARIRI KILA ANACHOSEMA MTUME NI HADITHI YOU ARE TOTALLY WRONG.UMEKOSEA PAKUBWA.
TAFSIR NI MAFUNDISHO YA MTUME JUU YA UFAFANUZI WA QURAN NA WANAZUONI WAMETOA KWAKE ILA SIO HADITHI NA SIO VITABU VYA WANAZUONI.
USILAZIMISHE UJUAJI MKUU KAMA HUJUI HUJUI.
Usiandike maneno mengi alafu point natafuta kwa tochi
Jibu hapa kwanza alafu tuendelee
Kosugi says "Quran haitegemei hadith wala vitabu vya wanazuoni mkuu ili uielewe."
Nimekupa mfano wa haya hizi
  • Koran 66:1 1. Ewe Muhammad! Kwa nini unaharimisha alicho kuhalilishia Allah?...
    • Bila kutumia Hadith wala Tafsir niambie ni nini Muhammad aliharimisha ambacho Allah alimuhalalishia?
  • Koran 36:14 Tulipo watumia wawili, wakawakanusha. Basi tukawazidishia nguvu kwa mwingine wa tatu. -
    • Bila kutumia Hadith na Tafsir nipe majina ya hawa watu watatu?
 
Uje na hii singo aliyo kuja nayo allah muham mad kushindwa ligi!; tena hata kwa kuwaahidi watu kungonoka na mahulu.72 wenye makalio uji uji, mito ya gongo, ku-update dhakar isisinyae...mbele ya allah! [emoji2301]

hadi akatumia jambia na kumuomba Mwenyezi Mungu Awaangamize Wakristo na Wayahudi
Akashindwa [emoji56][emoji13]
Itakuwa ww[emoji15][emoji2957]

Ukristo Hadi Leo Unadunda [emoji123][emoji106]

Alipo zidiwa akaja na singo hii
[emoji1370][emoji1370]

قُلْ يَا أَيُّهَا الْكَافِرُونَ
1.
Sema: Enyi makafiri!
لَا أَعْبُدُ مَا تَعْبُدُونَ
2.
Siabudu mnacho kiabudu;
وَلَا أَنتُمْ عَابِدُونَ مَا أَعْبُدُ
3.
Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
وَلَا أَنَا عَابِدٌ مَّا عَبَدتُّمْ
4.
Wala sitaabudu mnacho abudu.
وَلَا أَنتُمْ عَابِدُونَ مَا أَعْبُدُ
5.
Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
لَكُمْ دِينُكُمْ وَلِيَ دِينِ
6.
Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
Hiyo surah imeshuka makkah kipindi ambacho hata miaka ya hijriyah haijaanza.
Ndio kwanza mtume alikuua nabii hakupewa utume.
Makuraish walimfata wakamwambia km anataka abaki makkah na aishi kwa amani wagawane leo wote waabudu masanam na kesho wote waabudu msikitini.
Allah ndio akashusha hiyo surah akamwambia mtume waambie huwezi kuabudu wanachoabudu na wao hawawezi kuabudu unachoabudu wao wana dini yao na ww una dini yako.
😂😂😂😂😂😂😂😂UNA MENGI YA KUJIFUNZA.
HALAFU HATA UISLAM UPO NA BADO UNADUNDA HAKUNA ALOTAKA KUUA UKRISTO BALI WAKATOLIKI MLIWACHOKOZA WAARABU ILA WAKAWAFANYA KITU MBAYA.
REJEA VITA ZA DOLA YA KIISLAM YA OSMAN NA WAROMAN CATHOLIC AU WACATHOLIC NA WAAYUBI.
WAKATOLIKI WALIPIGIKA UKAMTAJIA MUITALIANO HAO WATU KTK HISTORIA ANAWAHESHIMU VIBAYA
 
Usiandike maneno mengi alafu point natafuta kwa tochi
Jibu hapa kwanza alafu tuendelee
Kosugi says "Quran haitegemei hadith wala vitabu vya wanazuoni mkuu ili uielewe."
Nimekupa mfano wa haya hizi
  • Koran 66:1 1. Ewe Muhammad! Kwa nini unaharimisha alicho kuhalilishia Allah?...
    • Bila kutumia Hadith wala Tafsir niambie ni nini Muhammad aliharimisha ambacho Allah alimuhalalishia?
  • Koran 36:14 Tulipo watumia wawili, wakawakanusha. Basi tukawazidishia nguvu kwa mwingine wa tatu. -
    • Bila kutumia Hadith na Tafsir nipe majina ya hawa watu watatu?
Mbona unajichanganya?
Halaf pia mbona haujibu maswali yangu?
Hadith na tafsir na vitabu vya wanazuoni ni vitu vitatu tofauti.
Mie napinga Quran haitegemei hadith wala vitabu vya wanazuoni.
Bali inategemea tafsir na ufafanuzi wa mtume Muhammad(s.a.w).
Kwasababu Quran ilishuka kwake na yey ndiye mwalimu wa Quran.
USICHANGANYE HADITH,VITABU VYA WANAZUONI NA TAFSIR.
Hao wanazuoni pasi na kufundishwa na mtume wasingeweza kujua Quran na ufafanuzi wake.
 
Hayo unalazimisha wewe.
Asa tafsir ni hadith?
Hadith ni nn na tafsir ni nini?
Hadith inakaa kivyake na tafsir ni ufafanuzi wa Quran kutoka kwa mtume.
Halafu Quran imekamilika bali imeongea kauli za mafumbo.
Na siyo Quran yote imeongea kauli za mafumbo.
Kuna surah zingine zimeongelewa kauli za wazi mfano suratul kahfi,nnisaa n.k n.k.
Kama kuongea kwa fumbo ni kutokukamilika basi pole yako.
UNALAZIMISHA HOJA .
NARUDIA KUSEMA NA NITAENDELEA KUSEMA QURAN HAITEGEMEI HADITHI WALA MANENO YA WANAZUONI.
MAANA HAO WANAZUONI JE NI WA ZAMA GANI?
JE HAYO MANENO WAMEYATOA WAPI?
NDUGU WE SIO MUISLAM HUJAISOMA DINI YETU INAHITAJI NINI.
NIMEKUUTAJIA WANAZUONI WAKUWA NUKUU AMBAO NUKUU ZAO ZILITOKA DIRECTLY KWA MTUMEE .
WE UNANIAMBIA UMENUKUU KUTOKA KWA SUNNI.
HAO MAIMAMU NILOKUTAJIA VITABU VYAO VINAELEZEA KUWA MTUME ALIHARAMISHA ASALI NDIO KISA CHA HIYO AYAH KUSHUKA.
ASA HAO SUNNI ULOWANUKUU NA HAWA MAIMAM NILOKUTAJIA AMBAO WAMEFUNDISHWA DIRECTLY NA MTUME NANI YUPO SAHIHI??
UNAJUA TUNAPIMAJE ITHBATI?
HALAFU HADITHI HAUIJUI WW.
WE USHAKARIRI KILA ANACHOSEMA MTUME NI HADITHI YOU ARE TOTALLY WRONG.UMEKOSEA PAKUBWA.
TAFSIR NI MAFUNDISHO YA MTUME JUU YA UFAFANUZI WA QURAN NA WANAZUONI WAMETOA KWAKE ILA SIO HADITHI NA SIO VITABU VYA WANAZUONI.
USILAZIMISHE UJUAJI MKUU KAMA HUJUI HUJUI.
Mimi nimekupa Al -Jalalalyn kasema ni kubaka maria na nimeweka ushahidi , je wewe unawezeza kuweka ushahidi wa asali? na hapa inathibitisha huwezi elewa koran kirahisi maana ata scholar wanaitilafiana

Hadith -narration of the sayings, doings or approvals of Muhammad
Tafsir -attempts to provide elucidation, explanation, interpretation, context or commentary for clear understanding
 
Usisahau tulipo toka nilianzia hapa!
[emoji116][emoji116]
mchambuzi tuchambulie hapa!
Jee mwanaume akimkosea adabu mwanamke muumini naye alipize kisasi ili awe na Uhai kama alivyo agiza allah??
[emoji116][emoji116]
وَلَكُمْ فِي الْقِصَاصِ حَيَاةٌ يَا أُولِي الْأَلْبَابِ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ

[ AL - BAQARA - 179 ]
Mtakuwa nao uhai mzuri katika kulipiza kisasi enyi wenye akili, ili msalimike.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Hii aya inajitosheleza!

Naenda na akili zako!; Hizi ayat zinashahabiana!
[emoji116][emoji116]
وَبِكُفْرِهِمْ وَقَوْلِهِمْ عَلَىٰ مَرْيَمَ بُهْتَانًا عَظِيمًا

(AN-NISAAI - 156)
Na pia kwa kufuru zao na kumsingizia kwao Maryamu uwongo mkubwa,

وَقَوْلِهِمْ إِنَّا قَتَلْنَا الْمَسِيحَ عِيسَى ابْنَ مَرْيَمَ رَسُولَ اللَّهِ وَمَا قَتَلُوهُ وَمَا صَلَبُوهُ وَلَـٰكِن شُبِّهَ لَهُمْ ۚ وَإِنَّ الَّذِينَ اخْتَلَفُوا فِيهِ لَفِي شَكٍّ مِّنْهُ ۚ مَا لَهُم بِهِ مِنْ عِلْمٍ إِلَّا اتِّبَاعَ الظَّنِّ ۚ وَمَا قَتَلُوهُ يَقِينًا

(AN-NISAAI - 157)
Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.

Hivyo basi Ukubaliane na mimi leo Kisa cha kukusudiwa kukatwa Yesu kilikuwa cha Utotoni! Ukubwani Yesu Aliteswa, Akafa, kisha Kufufuka!

Nakualika lunch kigogo sambusa tupate kitimoto na chachandu ya uhakika ushushie na ka-laga bardii kanatoa jasho?
Alihamdulilah![emoji106][emoji123]View attachment 1897747

Umezungumza hapa
[emoji116][emoji116]
Halafu katika hizo ayah hakuna palipoandikwa kuwa Yesu alikufa akafufuka usitake kupindua maana.
Bali Allah amesema Nabii Issa hakufa wala hakusulubiwa bali alimleta mtu wa mfanowe.
MIE NAZUNGUMZIQ NABII ISSA AMBAYE UTOTONI ALIISHI KWA AMANI NA UKUBWANI ALITAKA KUULIWA NDIPO AKAOKOLEWA.
SIMZUNGUMZII YESU AMBAYE NI MUNGU ALOSULUBIWA MSALABANI NAMZUNGUMZIA NABII ISSA MTUME WA ALLAH.
SAWA KIJANA?
 
Mbona unajichanganya?
Halaf pia mbona haujibu maswali yangu?
Hadith na tafsir na vitabu vya wanazuoni ni vitu vitatu tofauti.
Mie napinga Quran haitegemei hadith wala vitabu vya wanazuoni.
Bali inategemea tafsir na ufafanuzi wa mtume Muhammad(s.a.w).
Kwasababu Quran ilishuka kwake na yey ndiye mwalimu wa Quran.
USICHANGANYE HADITH,VITABU VYA WANAZUONI NA TAFSIR.
Hao wanazuoni pasi na kufundishwa na mtume wasingeweza kujua Quran na ufafanuzi wake.
Ili uweze kujibu haya maswali utategemea nini? twende taratibu kabisa
Unapo jibu weka ushahidi wa utegemezi ulipo utoa
Kosugi says "Quran haitegemei hadith wala vitabu vya wanazuoni mkuu ili uielewe."
Nimekupa mfano wa haya hizi
  • Koran 66:1 1. Ewe Muhammad! Kwa nini unaharimisha alicho kuhalilishia Allah?...
    • Bila kutumia Hadith wala Tafsir niambie ni nini Muhammad aliharimisha ambacho Allah alimuhalalishia?
  • Koran 36:14 Tulipo watumia wawili, wakawakanusha. Basi tukawazidishia nguvu kwa mwingine wa tatu. -
    • Bila kutumia Hadith na Tafsir nipe majina ya hawa watu watatu?
 
MIE NAZUNGUMZIQ NABII ISSA AMBAYE UTOTONI ALIISHI KWA AMANI NA UKUBWANI ALITAKA KUULIWA NDIPO AKAOKOLEWA.
SIMZUNGUMZII YESU AMBAYE NI MUNGU ALOSULUBIWA MSALABANI NAMZUNGUMZIA NABII ISSA MTUME WA ALLAH.
SAWA KIJANA?
Issa ni huyu hapa, history yake fupi kutoka Koran
  • Tunaona kwenye koran inamtaja Issa, Babu yake ni Imran na Uncle zake ni Haruni na Mussa
    3;35.
    Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu........
    36.
    Basi alipo mzaa alisema: Mola wangu Mlezi! Nimemzaa mwanamke(Maryamu)
    19:28 “Ewe dada yake Haruni. Baba yako hakuwa mtu mbaya.
    66;12. Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake,
  • Tunaona Huyu Isa wa Allah alikimbia msalaba , na Allah akatengeneza Issa mwingine ambae anafanana na Isa original ili Isa clone (cloning) asulubiwe(Hiki kitendo hakipo kwenye historia yoyote kabla ya Muhammad)
    • Koran 4:157. ................................ - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu...........
    • Cloning -is the process of producing individuals with identical or virtually identical DNA, either naturally or artificially.
 
Kuna taratibu za kufuata mwanamume akimkosea mkewe au hujasoma fiqhi masuala ya ndoa?
Heee ajabu hii kwahiyo kumuonya mwanamke kwa mdomo ni mambo ya kale?
kwahiyo kumuonya mwanamke kwa kumsusia ni mambo ya kale?
kuchapa pia ni ukale?
Haya nambie weye mkeo unamuonyaje kwa huo usasa?
Au akikutusi na kukuletea kibri unamwambia sawa mamyy?
Waafrika tuna njia zetu, hatupaswi kufuata au kunakili za wageni, wao mbona hawanakili za kwetu.

We Africans should not be the blind followers of foreign cultures, let us uphold our values. We should stop being the laughingstock of the world.
 
MIE NAZUNGUMZIQ NABII ISSA AMBAYE UTOTONI ALIISHI KWA AMANI NA UKUBWANI ALITAKA KUULIWA NDIPO AKAOKOLEWA.
SIMZUNGUMZII YESU AMBAYE NI MUNGU ALOSULUBIWA MSALABANI NAMZUNGUMZIA NABII ISSA MTUME WA ALLAH.
SAWA KIJANA?
Katangaze msikitini Yesu sio isa!;
Halafu uje humu utupe mrejesho [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo surah imeshuka makkah kipindi ambacho hata miaka ya hijriyah haijaanza.
Ndio kwanza mtume alikuua nabii hakupewa utume.
Makuraish walimfata wakamwambia km anataka abaki makkah na aishi kwa amani wagawane leo wote waabudu masanam na kesho wote waabudu msikitini.
Allah ndio akashusha hiyo surah akamwambia mtume waambie huwezi kuabudu wanachoabudu na wao hawawezi kuabudu unachoabudu wao wana dini yao na ww una dini yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]UNA MENGI YA KUJIFUNZA.
HALAFU HATA UISLAM UPO NA BADO UNADUNDA HAKUNA ALOTAKA KUUA UKRISTO BALI WAKATOLIKI MLIWACHOKOZA WAARABU ILA WAKAWAFANYA KITU MBAYA.
REJEA VITA ZA DOLA YA KIISLAM YA OSMAN NA WAROMAN CATHOLIC AU WACATHOLIC NA WAAYUBI.
WAKATOLIKI WALIPIGIKA UKAMTAJIA MUITALIANO HAO WATU KTK HISTORIA ANAWAHESHIMU VIBAYA
Kwa hoyo hizo ayat zime-expire??
na hii!
[emoji116][emoji116]
فَمَنْ حَاجَّكَ فِيهِ مِن بَعْدِ مَا جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ فَقُلْ تَعَالَوْا نَدْعُ أَبْنَاءَنَا وَأَبْنَاءَكُمْ وَنِسَاءَنَا وَنِسَاءَكُمْ وَأَنفُسَنَا وَأَنفُسَكُمْ ثُمَّ نَبْتَهِلْ فَنَجْعَل لَّعْنَتَ اللَّهِ عَلَى الْكَاذِبِينَ

[ AL I'MRAN - 61 ]
Watakao kuhoji katika haya baada ya kukufikilia ilimu hii waambie: Njooni tuwaite watoto wetu na watoto wenu, na wake zetu na wake zenu, na sisi wenyewe na nyinyi wenyewe, kisha tuombe kwa unyenyekevu tutake laana ya Mwenyezi Mungu iwashukie waongo.
 
Nyepesi kufahamika kwa anayetaka kujua na mwenyemoyo mlaini.
WEWE UNA MOYO MGUMU HUWEZI KUIFAHAM QURAN
Wapi kwenye hii ayat allah kasema wenye moyo mgumu hawawezi kuifahamu kolan??
[emoji116][emoji116]

وَلَقَدْ يَسَّرْنَا الْقُرْآنَ لِلذِّكْرِ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ

[ AL-QAMAR - 22 ]
Na bila ya shaka Sisi tumeifanya Qur'ani nyepesi kufahamika; lakini yupo anaye kumbuka?

ww ni kafir kwa kujiona mjuzi allah hamnazo[emoji13][emoji13]

Kama ndivyo anzisha deen yako bro!; kuliko kumdhalilisha allah!
 
Endelea kubwabwaja najadiliana na anayejielewa Mr.Spensa.
Ukijibu maswali nilokuuliza ndio nitajadiliana nawe kinyume na hapo nitabaki kukujibu pumba tu.
Amepotosha yeye au wamejipotosha wao wayahudi wenyewe?
Allah amemleta Issa bin Maryam kama mtume wao wanamzungumza Issa km mwana wa Mungu na Mungu mtu.
NANI ALOJIPOTOSHA NA KUJIHADAA?
ALLAH KAMUOKOA ISSA MTUME WAKE WAO WACHA WAMSULUBU ISSA MUNGU MTU WALOKUA WANAMSHADADIA.
NA LAZMA AJE ATOE HUKUMU KWANN YEYE AMEMLETA ISSA KM MTUME WAO WANAMPACHIKA UUNGU?
KWANINI WALITHUBUTU KUTAKA KUMUUA MTUME WA MUNGU?
HUKMU ZINAKUJA HAPO.
UMEELEWA KIJANA?

Wapi Wayahudi wamesema isa ni mwana wa mungu na mungu mtu??
Unazusha mwana kuzua ww[emoji706][emoji706]

Na ndio sababu natumia lugha hii ili ufunguke!
[emoji116][emoji116]
TIT. 3:10-11 Mtu aliye mzushi, baada ya kumwonya mara ya kwanza na mara ya pili, mkatae; ukijua ya kuwa mtu kama huyo amepotoka, tena atenda dhambi, maana amejihukumu hatia yeye mwenyewe.
 
Unachekesha mpk basi kwa hoja zako.
Tuanze na twaif.
Ulikisoma vzuri hko kitabu?
Mtume twaif alienda kutangaza uislam.
Na alienda kiupole sio kwa upanga km ilivyo kwa wakatoliki wauaji walivyofanya.
Mtume alipigwa mawe na waabudu masanamu wakimuita muongo.
Allah alitaka iwe hivyo kwake yeye ili kuonesha kuwa kazi ya daawa sio ndogo.
Kama asingetaka angemuokoa km alivyowaokoa mitume wengine km Ibrahim kwenye moto na Yunus kwenye tumbo la Chewa.
Licha ya hivyo jibril alitumwa amuulize mtume wale watu wapewe adhabu gani mtume alikataa akasema anawaombea kheri kwa Allah wabadilike.
Ni sawana mie nikuulize kwanini Yesu ambaye ni Mungu alitundikwa msalabani na kuchapwa pasi na kujitetea tena na binadamu??

Tuje ktk hiyo ayah uloileta wewe.
Ndio Allah ni muumbaji wa kila kitu mpk majini.
Sio km Mungu wenu mnaesema kaumba vyote ila sio majini asa sijui majini wametokea wap km Yehovah hajawaumba!
Allah ndiye anayeleta mitihani kwa waja wake kuwapima kiimani.
Kila mtume kaletewa mitihani yake kupima uzito wa imani yake.
Hata huo pia ulikua ni mtihani wa kwetu waislam juu ya kuilinda dini yetu na kujitoa juu ya dini yetu.
Hiyo khutba peleka msikitini kwenye watu kama ww ukazawadiwe takbir!

Jibu hapa!
[emoji116][emoji116]
Aliye waumbia maadui na mashetani watu nani??
 
Kuna haja ya kuulizwa hao waloandaa hiyo sherehe kwanini hawakualika wanawake, kwani kitendo cha wao kutokualika wanawake bado hakifanyi kuwa ni somo ama ishara ya dini ya uislamu kumkandamiza mwanake, hija wanahija wanaume na wanawake, misikitini wanakutana wanaume na wanawake, hao jamaa wana lao jambo si bure.
 
Ila uzuri wa US ukija na culture zako za ajabu ajabu lazima wakushughulike vizuri sana , nakumbuka one time in Minneapolis wasomali madereva wa TAX wakaanza kukataa kupakia walevi eti dini yao hairuhusu pombe basi wanyamwezi hawakuongea kitu wakawa wanatuma walevi kamili kutumia TAX za wasomali, sasa chagua upakie uendelee na biashara au kataa wachukue licence yao for discrimination....wasomali ilibidi tuu wasalimu amri
 
Wapi Wayahudi wamesema isa ni mwana wa mungu na mungu mtu??
Unazusha mwana kuzua ww[emoji706][emoji706]

Na ndio sababu natumia lugha hii ili ufunguke!
[emoji116][emoji116]
TIT. 3:10-11 Mtu aliye mzushi, baada ya kumwonya mara ya kwanza na mara ya pili, mkatae; ukijua ya kuwa mtu kama huyo amepotoka, tena atenda dhambi, maana amejihukumu hatia yeye mwenyewe.
Yesu ni nani kwa nyie wakristo?
Mnamtambua Yesu km nani?
Embu nipe jibu.
Utarukaruka sana tuu.
Nyie si ndio mnasema kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu?
Hiyo ilianzia wapi km siyo kwa hao wana wa israel?
😂😂😂😂😂😂😂 unachekesha ww.
 
Back
Top Bottom