Marekani: Sherehe za uzinduzi wa msikiti zazua gumzo baada ya kualikwa wanaume pekee

Marekani: Sherehe za uzinduzi wa msikiti zazua gumzo baada ya kualikwa wanaume pekee

mimi nimekupa evidence ya vitabu.
unasemaje sina ushahidi?
SHIDA ZENU MANASARA MNASOMA DINI MTANDAONI SHAME ON YOU.
WE SI UNATAKA USHAHIDI?
KASOME VITABU NILIVYOKUTAJIA.
MM KILA NACHOONGEA NIMEFUNDISHWA SINA HAJA YA KWENDA GOOGLE KM WW.
QURAN HAITEGEMEI HADITH KWANZA HT HADITH HAUJUI MAANA YAKE KATAFTE SIRATUL NABAWIYYAH KASOME UTAFAHAM
WWeka
mimi nimekupa evidence ya vitabu.
unasemaje sina ushahidi?
SHIDA ZENU MANASARA MNASOMA DINI MTANDAONI SHAME ON YOU.
WE SI UNATAKA USHAHIDI?
KASOME VITABU NILIVYOKUTAJIA.
MM KILA NACHOONGEA NIMEFUNDISHWA SINA HAJA YA KWENDA GOOGLE KM WW.
QURAN HAITEGEMEI HADITH KWANZA HT HADITH HAUJUI MAANA YAKE KATAFTE SIRATUL NABAWIYYAH KASOME UTAFAHAM
Weka hapa, piga ata picha ukurasa

Shida sio kujua Hadith au kuto kujua , Koran bila Hadith ni empty book

Maliza ubishi kama unasema Koran haitegemei Hadith jibu haya maswali kwa kutumia Koran only.
  • Koran 66:1 1. Ewe Muhammad! Kwa nini unaharimisha alicho kuhalilishia Allah?...
    • Bila kutumia Hadith wala Tafsir niambie ni nini Muhammad aliharimisha ambacho Allah alimuhalalishia?
  • Koran 36:14 Tulipo watumia wawili, wakawakanusha. Basi tukawazidishia nguvu kwa mwingine wa tatu. -
    • Bila kutumia Hadith na Tafsir nipe majina ya hawa watu watatu?
Jibu hayo maswali kwa kutumia Koran tu na leo hii ukiweza nanyoa ndevu zangu ambazo nimezifuga mwaka wa 15 sasa
 
soma mlolongo na kisa chake unanukuu ayah moja tu

Hadith toa pembeni.
Hizo ayah wapaswa kutumia tafsir ili uweze kung'amua nini kimeongeleka.
kwasababu kisa chake kimefumbwa.
Ila Quran36:14 inaeleweka kisa chake ni ayah mutashabihat unatakiwa uanzie ayah ya 12 mpk 17 kinaelezea kisa cha mtume .
Rudia tena kwa sauti , lazima utumie nini? Tafsir?
Kwa hiyo Koran ukimpa mtu ambae hajui uislamu unatakiwa uumpe na Hadith na tafsir , kwa nini Allah katunga kitabu tengemezi?
 
Kiongozi kuna kitu kimoja hujaelewa .
Quran hakiitaji vitabu vya wanazuoni kueleweka.
Bali kunahitaji ufafanuzi aliouacha mtume kwa wanazuoni.
Pia kuna wanazuoni na wanazuoni.
Si kila mwanazuoni ni wa kumnukuu maelezo yake.
Kuna wanazuoni wa kishia,kiahmadia.
Unapaswa uangalie tafsir Quran unayosoma imenukuliwa kwa mwanazuoni gani?
Wanazuoni bora wa kuwanukuu ni Hambal,Shafii,Makil, Abuu Hanifah, hao ni wale wanazuoni baada ya kufariki mtume.
wanazuoni kipindi cha mtume kina Abuu hurayrah,Ally,Abdillahi Ibn masoud n.k n.k.
Halafu hiyo siyo hadithi hiyo ni asbab nuzul.
Tofautisha hadith na asbab nuzul.
Quran haitegemei hadith wala vitabu vya wanazuoni mkuu ili uielewe.
Bali inahitaji ww uielewe lugha kwanza pia ukasome uchambuzi alouacha mtume kwa wanazuoni ambayo siyo maneno ya wanazuoni bali ni kile alichorithisha mtume kwayo.
Kuhusu hiko kisa ni asali sio Mariyyatul qibtiyyah.
Kasome ht sirah ama wasifu wa mtume hiko kisa kipo.
HAO WANAOPINGA HADITH SIYO WAISLAM.
KUPINGA HADITH NI SAWA NA KUMPINGA MTUME.
Kosugi says "Kuhusu hiko kisa ni asali sio Mariyyatul qibtiyyah.
Kasome ht sirah ama wasifu wa mtume hiko kisa kipo."

Soma hapa hicho kisa cha Maria the coptic

It was narrated from Anas, that the Messenger of Allah had a female slave with whom he had intercourse, but 'Aishah and Hafsah would not leave him alone until he said that she was forbidden for him. Then Allah, the Mighty and Sublime, revealed:
"O Prophet! Why do you forbid (for yourself) that which Allah has allowed to you.' until the end of the Verse. Sunan an-Nasa'i 3959

Hichi kisa cha kubaka ndio kilifanya Allah ashushe Koran 66:1
 
Back
Top Bottom