Marekani: Sherehe za uzinduzi wa msikiti zazua gumzo baada ya kualikwa wanaume pekee

Marekani: Sherehe za uzinduzi wa msikiti zazua gumzo baada ya kualikwa wanaume pekee

_101526702_ruhii.jpg

Jamii ndogo ya waislamu mjini New York imekuwa kwenye mjadala mkali kuhusu nafasi ya wanawake, baada ya mwanamke mmoja kwenye mitandao ya kijamii kutaka mabadiliko yafanyike.
wakiwa hawana msikiti wao kwa zaidi ya miaka 20, walikuwa tayari kufanya jitihada ya kupata eneo lao wenyewe
walipopata ardhi mwaka 2007, jamii hiyo ilitumia miaka kadhaa kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi.Sasa kutokana na michango hiyo kutoka familia za wafanya kazi waliweza kulipa gharama za ujenzi kwa awamu, muda ulikuwa umewadia wa kujenga msikiti.
Jamii ilikusanyika siku ya jumapili katika sherehe za kuweka jiwe la msingi, viongozi mbali mbali walialikwa, hotuba zilitolewa na mradi wa dola milioni 1.5, jengo la orofa tatu ukawekwa wazi.
Lakini wanawake wa jamii hiyo hawakuonekana kwenye sherehe hizo wengi wao walihusika kwenye uchangiaji.
Mwanamke mmoja wa kiislamu Jabin Ahmed Ruhii alipeleka malalamiko kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook.
''Ingawa barua ya mwaliko ilisema ''wapendwa makaka na madada'' ,wanaume waliambiwa kuwa wanawake si sehemu ya kusanyiko hilo.alieleza . Ruhii ,24 ameeleza kuwa kitendo hicho n cha ''unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana.
''Uislamu ni wa kila mmoja, si tu wanaume, Ruhii aliandika. ''Wanawake katika jamii hii wamekuwa wakikihudumia kituo hiki cha kiislamu kwa chochote wanachokuwanacho, bila kuambiwa au kukaribishwa na kaka zetu wa kiislamu.
Amesema wanawake ''wangeendelea kukiunga mkono'' kituo''bila kujali kama wanakaribishwa au la.
Rais wa kituo hicho, Abdul Hannan, amesema kuwa kutokuwepo kwa wanaume kwenye sherehe hizo jumesababishwa na ''kutokuwepo kwa mawasiliano''
Hannan anasema hakukuwa na nafasi ya kutosha kwa wanawake na kwa sababu za usalama, hivyo si wanajumuia wote wa kiislamu walioalikwa.
Hata hivyo, maafisa wengi waliofika na kuzungumza katika sherehe hiyo walikuwa wanawake
Katiba ya kituo cha kiislamu inawazuia wanawake kuwania nafasi mbalimbali hivyo hakuna uwakilishi wa wanawake kwenye bodi.
Wiki moja baada ya kuandika, yeye na wengina walialikwa na utawala wa kituo hicho kwa ajili ya majadiliano.

''Tuliwaambia wanawake katika jamii yenu hawaoni kama wanakubalika'' Ruthii alieleza.''hamjafungua milango kwa ajili yetu.''
Hannan anaamini mkutano ulikwenda vizuri.
''Aliamini alihitaji kuongea nasi badala ya kuweka facebook, alieleza.
Kamati imeahidi kufanya tukio jingine wakati mwingine ambapo kila mtu ataalikwa.Kituo hicho pia kinafanya jitihada kuabadili katiba kuwaruhusu wanawake kuwania nafasi mbalimbali kwenye kamati.Alieleza Hannan.
Ruhii anasema mkutano ulikuwa mgumu lakini wenye heshima na kusema kuwa Hannan alifanya jitihada za kutuliza hali.Lakini anaamini kuwa kuweka malalamiko yake Facebook, kwani bila kufanya hivyo na kutikisa jamii ya kiislamu na msikiti, kusingekuwa na mazungumzo yeyote.

Source:-
www.bbcswahili.com
 
Kusiwe kukawa kuna katabia ka ushogalization!

Nawaza kwa kelele hapa
 
Mnatakiwa kuuelewa uislsm una sheria iliyojikamilisha moja zinamtaka mwanamke kuwa ni mama wa na ni mlezi wa familia na ibada zake za swala zitakuwa bora zaidi endapo tu atazitimizia akiwa nyumbani. Sasa nashangaa huyo Dada ambae amelalamika kwenye mitandao ya kijamii isingemsaidia kufanya vile ila wanaume wangemtosheleza kwenye tafrija ya ufunguzi huo.
Pia nawapongeza waislamu wa hapo New York City kwa kupata sehemu ya ardhi na kufanikiwa kujenga miskiti safi inshaaAllah ALLAH TAALAH awalipe
 
Mbona amuueleweki wakuu mie nadhani humu watu mnaakili zenu safi hetulieni acheni matusi
 
Na kweli hii dini imejengwa na matabaka. Lakini ukirsto wetu wenyewe hatuna matabaka kabsaa. Tukianza na mashoga na masagaji kwetu wanatimiza upendo wa bwana, na kwa kuwa wanatimiza upendo ndio tukauhalalisha na ni rukhsa kuoana.
Makahaba kwetu ni binadamu na wanastahili upendo na kuheshimu kazi yao . Na wale wanaofanya picha za ngono hata kama wanaingiliana kinyume na maumbile haina dhambi kwetu ile ni kazi tunawaita "porn stars" na hata zile picha za wenzetu wengine wanaonyesha picha za wanawake wakifanya ngono na wanyama yote ile ni kazi tu na si dhambi kabsaaa.
Hata hii vita mataifa ya wakristo wazungu wanapowapiga mabomu waarabu na kuua malaki na mamilioni ni rukhsa wabaya ni wale wanaojaribu kujilinda au kutetea haki zao kwa wao kupigana nao hao tunawaita magaidi.

Mbona unawasingizia Wakristo [emoji15] [emoji12] hivi mtu anajiita muislamu huku ana Banda la kufugia nguruwe na butcher ya kuuza nyama za nguruwe utamuita muislamu? Mkristo ni MWANAFUNZI WA YESU! sasa utueleze Yesu KAFUNDISHA WAPI HAYO ILI HAO WAFANYAYO HAYO TUWAITE WAKRISTO?! allah amewaagiza kwamba kigezo chema kwa waislam (lagad kanna) ni muhammad ambaye kama muumini lazima umgeze! sasa usipo mgeza haya [emoji117]
The life of muhammad.jpg
wewe sio muislamu muumini, wala usijipe moyo!
 
Mbona unawasingizia Wakristo [emoji15] [emoji12] hivi mtu anajiita muislamu huku ana Banda la kufugia nguruwe na butcher ya kuuza nyama za nguruwe utamuita muislamu? Mkristo ni MWANAFUNZI WA YESU! sasa utueleze Yesu KAFUNDISHA WAPI HAYO ILI HAO WAFANYAYO HAYO TUWAITE WAKRISTO?! allah amewaagiza kwamba kigezo chema kwa waislam (lagad kanna) ni muhammad ambaye kama muumini lazima umgeze! sasa usipo mgeza haya [emoji117] View attachment 776630 wewe sio muislamu muumini, wala usijipe moyo!
Huzo propaganda zenu za kuuchafua uislamu ni kawaida yenu na wala hamkuanza leo. Tupo na tutaendelea kuwepo.
 
Hizo kama ni za kweli mbona wenyewe hawazifuati na wanazipinga? Hizi za ushoga, usagaji, uzinifu ,mauaji ya halaiki mamilioni ya waafrika kuchukuliwa utumwani ,mwauaji ya wakongo milioni 12 mpaka leo hayazungumzwi kwa sababu waliouliwa ni weusi na mkiristo mweupe mfalme wa Ubeligiji. Wewe nyamaza
 
Huzo propaganda zenu za kuuchafua uislamu ni kawaida yenu na wala hamkuanza leo. Tupo na tutaendelea kuwepo.

Nashangaa ilimu Islam unaita propaganda [emoji15] haya sio maagizo ya allah kwenda kwa waumini
aAVNrD0_700b.jpg
kwa hiyo unaniaminisha maagizo Hayo ya allah kwa waumini waisilamu ni propaganda [emoji15] nyinyi waislam dirisha dogo hamjitambui [emoji12]
 
Nashangaa ilimu Islam unaita propaganda [emoji15] haya sio maagizo ya allah kwenda kwa wauminiView attachment 776641 kwa hiyo unaniaminisha maagizo Hayo ya allah kwa waumini waisilamu ni propaganda [emoji15] nyinyi waislam dirisha dogo hamjitambui [emoji12]
Hayo ni maagizo ya propaganda zenu kuuchafua. Endeleeni mnajitahidi
 
[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji849][emoji849][emoji846][emoji5][emoji4][emoji151][emoji151][emoji151][emoji148][emoji149][emoji147][emoji858][emoji878][emoji183]
 
Back
Top Bottom