Marekani: Sherehe za uzinduzi wa msikiti zazua gumzo baada ya kualikwa wanaume pekee

Tukisema uislamu haumtendei haki mwanamke mnakuwa wabishi sana
Inakuwaje mwanamke hana haki ya kuswali msikitini na akisali huko sala yake haitakuwa bora
Acha propaganda Kwa issue ambazo zipo real hii dini imetafsir vizuri nature ya kila kumbe na kuwa group eti imewabaguwa unaujua ubaguzi vizuri wewe waulize black amerka na wafrika kusini huone ubaguzi upoje
 
Mbona unapaniki mkuu
 
Umesema padre ila masister wapo
Tunaongelea ufunguzi wa msikiti...kuhusu ubaguzi hadi sardaus upo Mimi nitazawadiwa na allah mahulu 72 wenye makalio ft.40, kiuno ka nyigu, macho ka vikombe, ata-update dushe na kuwa Pima.4 mwanamke aliye fuzu kazawadiwa nini na Allah?)
 
Ina maana swali langu ulioni au unapuuza? narudia tena dini ipi imemfanya mwanamke daraja la kwanza au awe na hadhi sawa na mwanaume naomba jibu ndugu
Kiujumla nyinyi mmewaweka sana pembeni kuliko kawaida hamuwathamini kabisa we mwanamke haruhusiwi kukaribiana na mwanaume msikitini eti kwa kisingizio mtawatamani
Inaonekana nyie ni wazinzi mliopitiliza
 
Tunaongelea ufunguzi wa msikiti...kuhusu ubaguzi hadi sardaus upo Mimi nitazawadiwa na allah mahulu 72 wenye makalio ft.40, kiuno ka nyigu, macho ka vikombe, ata-update dushe na kuwa Pima.4 mwanamke aliye fuzu kazawadiwa nini na Allah?)
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu umenikumbusha aisee kuwa huyu mungu wao allah amewaahidia wakifika huko firdausi watakutana na warembo wa ukweli
Huyu mungu wao allah ni kiboko
 
Kiujumla nyinyi mmewaweka sana pembeni kuliko kawaida hamuwathamini kabisa we mwanamke haruhusiwi kukaribiana na mwanaume msikitini eti kwa kisingizio mtawatamani
Inaonekana nyie ni wazinzi mliopitiliza
Jibu swali usitoe lawama dini ipi imemuweka mwanamke na mwanaume kuwa hadhi sawa ni ilo tu mm mabishano yenu siwezi
 
Kwetu wakristo kila mtu ni sawa na mwingine haijalishi huyu mwanaume au mwanamke tunashirikiana
Sasa wanawake wamechanga pesa kupata jengo halafu mnawanyanyapaa mbona msiwaambie hawaruhusiwi kuchanga?
 
kama kwenye ukristo wote sawa leta ANDIKO kuweka nguvu kauli yako ili isiwe uzushi au mawazo yako
 
Umesema padre ila masister wapo

Kwani tofauti Role ya padri ndio ya sister kanisani?

Mkileta hoja mjipange kuitetea Sio Tena mnaleta double standard

Kama kuna usawa kuna Siku tulitegemea tuwe Na Paroko Au Padri Au Askofu wa Kike ndani ya Kanisa Katoliki
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu umenikumbusha aisee kuwa huyu mungu wao allah amewaahidia wakifika huko firdausi watakutana na warembo wa ukweli
Huyu mungu wao allah ni kiboko
Hebu vuta hisia hiyo pepo jinsi tarajiwa[emoji15] mbele ya allah mnaserebuka... mauno [emoji4]
 
Tukisema uislamu haumtendei haki mwanamke mnakuwa wabishi sana
Inakuwaje mwanamke hana haki ya kuswali msikitini na akisali huko sala yake haitakuwa bora

Ina maana tangu ukatoliki umeanzishwa hakuna Mwanamke Mwenye uwezo wa Kuwa Papa?, lini mtaacha ubaguzi, Hata Uaskofu Bado hamuwaamini Wao wanaishia kwenye u sister tu?
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu umenikumbusha aisee kuwa huyu mungu wao allah amewaahidia wakifika huko firdausi watakutana na warembo wa ukweli
Huyu mungu wao allah ni kiboko

Nyie Mungu wenu kawaahidi kukutana Na Mabasha?
 
kama kwenye ukristo wote sawa leta ANDIKO kuweka nguvu kauli yako ili isiwe uzushi au mawazo yako
Wakristo wanaishi kama jamaa moja na roho moja na walishirikiana kwa kila kitu bila kujali huyu ni mwanamke au mwanaume matendo 4/32
 
Kwani tofauti Role ya padri ndio ya sister kanisani?

Mkileta hoja mjipange kuitetea Sio Tena mnaleta double standard

Kama kuna usawa kuna Siku tulitegemea tuwe Na Paroko Au Padri Au Askofu wa Kike ndani ya Kanisa Katoliki
Tofauti yao ni moja tu kuendesha ibada tu vingine kama kufundisha, kuhubiri wako sawa kabisa
 
Kwani tofauti Role ya padri ndio ya sister kanisani?

Mkileta hoja mjipange kuitetea Sio Tena mnaleta double standard

Kama kuna usawa kuna Siku tulitegemea tuwe Na Paroko Au Padri Au Askofu wa Kike ndani ya Kanisa Katoliki
Mimi nasubir alete andiko huyo bwana kimario linalozungumza kuwa mwanamke na mwanaume ni sawa analeta ushabiki kwenye masuala yaliyo wazi kabisa anashindwa ata kujua nani alianza kufinywanga udongo au anafikir ilikuwa bahati mbaya Mungu kuanza na adamu kwanza badala ya hawa ?
 
Back
Top Bottom