mchambuzi tuchambulie hapa!
Jee mwanaume akimkosea adabu mwanamke muumini naye alipize kisasi ili awe na Uhai kama alivyo agiza allah??
[emoji116][emoji116]
وَلَكُمْ فِي الْقِصَاصِ حَيَاةٌ يَا أُولِي الْأَلْبَابِ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ
[ AL - BAQARA - 179 ]
Mtakuwa nao uhai mzuri katika kulipiza kisasi enyi wenye akili, ili msalimike.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii aya inajitosheleza!
Naenda na akili zako!; Hizi ayat zinashahabiana!
[emoji116][emoji116]
وَبِكُفْرِهِمْ وَقَوْلِهِمْ عَلَىٰ مَرْيَمَ بُهْتَانًا عَظِيمًا
(AN-NISAAI - 156)
Na pia kwa kufuru zao na kumsingizia kwao Maryamu uwongo mkubwa,
وَقَوْلِهِمْ إِنَّا قَتَلْنَا الْمَسِيحَ عِيسَى ابْنَ مَرْيَمَ رَسُولَ اللَّهِ وَمَا قَتَلُوهُ وَمَا صَلَبُوهُ وَلَـٰكِن شُبِّهَ لَهُمْ ۚ وَإِنَّ الَّذِينَ اخْتَلَفُوا فِيهِ لَفِي شَكٍّ مِّنْهُ ۚ مَا لَهُم بِهِ مِنْ عِلْمٍ إِلَّا اتِّبَاعَ الظَّنِّ ۚ وَمَا قَتَلُوهُ يَقِينًا
(AN-NISAAI - 157)
Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.
Hivyo basi Ukubaliane na mimi leo Kisa cha kukusudiwa kukatwa Yesu kilikuwa cha Utotoni! Ukubwani Yesu Aliteswa, Akafa, kisha Kufufuka!
Nakualika lunch kogogo sambusa tupate kitimoto na chachandu ya uhakika ushushie na ka-laga bardii kanatoa jasho?
Alihamdulilah![emoji106][emoji123]
View attachment 1897747