Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

Nafikiri anaweza kufanya move baada ya. Nancy kuondoka
Ametangaza kufanya mazoezi ya kivita ya siku 3 kukizunguka kisiwa cha Taiwan.

Hii yote ni nini? Binafsi naona wanaficha aibu lakini pakacha limeshavuja haliwezi kuhimili. China kwa leo imekuwa ni kicheko kwa dunia.

China haitofanya chochote kwa Taiwan. Kilichotokea kwa leo si kwa mara ya kwanza kwa China kufanyiwa na west. Kuna mwaka walitaka kukivamia kabisa wakapigwa biti wakarudi kwa aibu.
 
Nahitimisha: Afadhali China ASINGEJIMWAMBAFAI, lakini suala la kupiga mkwara hewa limemwaibisha sana China!! Hata huko China wachina wenyewe watamdharau sana rais wao!! Mrusi hapo hana mshirika! Ukimtegemea mchina kukupa tafu atakuacha kwenye mataa!! Wababe waliobaki ni watatu tu: URUSI, KOREA YA KASKAZINI NA IRAN!!
 
Unasema kweli kabisa: Wakati NATO ilipoishambulia Serbia zama zile za Yugoslavia ya zamani, China ilileta mdomo kidogo, kilichofanyika ni kwamba NATO walishambulia ubalozi wa China nchini Yugoslavia, na China hakufanya chochote!! Kushambulia ubalozi ni kuishambulia nchi husika!!
 
Mwenyewe husema hatutasahau kilichofanyika Yugoslavia
 
Hata Russia alipoanza operation Ukraine China ilikuwa Inasita sita. Baada ya kuona Russia ipo serious nayo ikaanza kutoa misemo ya kututimia misuli.
 
Ili China isiendelee kuaibika ni afadhali China iitangazie uhuru Taiwan kesho asubuhi, maana ikichelewa itajitangazia uhuru yenyewe. Maana kwa leo imedhihirisha kuwa iko huru kivitendo!!
Dharau kubwa!

Pelosi anaingia anga ya Taiwan, Taiwan inatoa ulinzi wa ndege zake za kivita kumsindikiza?! Huu ulofa hata Tz usingeukubali.
 
Mchina apigane na nani wakati hata hajafikia kuwa superpower?
 
putin ayo mbona anayajua china ni superpower wa mchongo ndio mahana anamchukulia kuwa ni mshirika wa kibiashara tu lakini kumtegemea kwenye millitary atakuacha ferry unashangaa meli sidhani kama ata kwenye store zao za silaha wana silaha kweli usikute wamejaza ma tecno na infinix wanasema silaha[emoji28][emoji28]
 
Ili China isiendelee kuaibika ni afadhali China iitangazie uhuru Taiwan kesho asubuhi, maana ikichelewa itajitangazia uhuru yenyewe. Maana kwa leo imedhihirisha kuwa iko huru kivitendo!!
Upo sahihi kabisa.

# U.S.A NI SUPERPOWER CHINA NI MANDONGA πŸ˜†
 
Korea na Iran Wana umwamba gani ? ,Huyu Iran wanaye mbikiri kila siku wazayuni , wazayuni wanaingia na kutoka kwake wanaspy na kuua nuclear scientists wake hapo hapo kwake ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…