Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

Hakuna vita itakaa itokee kati ya Taiwan na China... Matajiri wa Taiwan ndio wamewekeza China kwa sehemu kubwa sana na wana muingiliano mkubwa wa kindugu
Kagoogle vizuri
 
Kumekucha: China inasema iko tayari kuwazika wavamizi!! Imeyapa amri majeshi yake kukaa mkao wa kupokea amri ya mwisho ya kushambulia wavamizi na kuwazika!!
Wakati huo huo kundi la meli za marekani (attack group) linaelekea Taiwan! Tuombe tuepushwe na dhahama hili linaloinyemelea dunia!!

China ready to ‘bury invading enemies’​

The country’s military has issued a new threat as ongoing tensions surround Taiwan.
China’s Eastern Theater Command has issued a strong warning to the country’s “enemies” amid ongoing tension over the potential visit of US House Speaker Nancy Pelosi to Taiwan.

The officials released a video on Monday, as China marks the anniversary of its People’s Liberation Army (PLA). The video, featuring footage of various drills and military units, urges the solders to “stand by in battle formation, be ready to fight upon command, bury all invading enemies.”

1659376377215.png

Askari wa China hao wako tayari kukabiliana na wavamizi!! Inaonekana kama wanawaambia Marekani "njoni haraka mkutane ni kiama chenu!!

US carrier strike group may be heading towards Taiwan – monitor​

The USS Ronald Reagan and its strike group have been on the move amid the Asian visit of US House Speaker Nancy Pelosi.
A US strike group, headed by aircraft carrier USS Ronald Reagan, may possibly be approaching Taiwanese waters, the Chinese semi-official monitoring group South China Sea Strategic Situation Probing Initiative (SCSPI) reported on Monday.

This comes during the Asian tour by the US House Speaker Nancy Pelosi, who made her first stop in Singapore earlier in the day. Media reports have earlier claimed that Pelosi could make an unannounced visit to the self-governed island of Taiwan as part of her tour. China had described the alleged plan as highly provocative and threatened the US with “unbearable consequences” if she decides to visit the island.

1659376687148.png

Convoy la Mimeli ya kivita la Marekani likiwa limebeba madege ya kivita likielekea Taiwan Kumlinda Spika wao mPelosi na kuilinda Taiwan ikiwemo kutetea ubabe wa Marekani dhidi ya dunia! Swali je China itathubutu kuitwanga Taiwan mbele ya mtetezi Marekani kama Urusi ilivyothubutu kuitwanga Ukraine mbele ya mtetezi Marekani?? Dunia inakimbilia ukurasa mwingine kabisa ambao haujawahi kufunguliwa wala kusomwa!! Tunaomba sala kwa kila awezaye kusali na kuomba!! Hili ni tishioo kubwa sana kwa dunia!! Inawezekana kabisa kuwa wote wanawekeana mikwala tu lakini hakuna ajuaye!!
 
Hakuna kitu China atafanya mbele ya USA, akikumbuka alivyofinywa na japani enzi zileee Hana hamu na vita
China ya leo siyo sawa na China ya wakati huo! Hata hivyo ni China ndiyo iliyomfurumua marekani kwenye vita vya korea!! Korea ya kaskazini ilikuwa imeshaelemewa, lakini china ilipotia mguu wake walirudishwa nyuma!
 
Nimeishi Taiwan mwaka mzima 2000 ambapo tension ilikuwa kubwa kiasi kwamba wageni tulihamishwa usiku kupelekwa Nagasaki kwa ndege
Bado nakuambia China ya wakati huo siyo China ya leo!! Kama vile USSR ya 1990 siyo sawa na Urusi ya leo!! China ni mbabe wa kiuchumi duniani!! Huwezi kuiwekea vikwazo vya kiuchumi kama ilivyowekewa urusi vinginevyo uchumi wa dunia unakwama wote!!
 
China anawaza kuiinua nchi yake kiuchumi na anamtegemea sana marekani hivyo hawezi kufanya vita na marekani. Hata kule Ukraine amepiga kimya.
Linapokuja suala la maslahi ya inchi hayo Mambo hayapewi tena kipaumbele, Taiwan ikifanikiwa kujitenga na marekani ikiimarisha ushawishi wake hio ni threat kubwa kwa china..china hawezi kuruhusu hiko kitokee ingawa vita kutoea sio rahisi ,hio ziara ni mwendelezo wa harakati za kuitenganisha Taiwan na china
 
Bado nakuambia China ya wakati huo siyo China ya leo!! Kama vile USSR ya 1990 siyo sawa na Urusi ya leo!! China ni mbabe wa kiuchumi duniani!! Huwezi kuiwekea vikwazo vya kiuchumi kama ilivyowekewa urusi vinginevyo uchumi wa dunia unakwama wote!!
Bado hataweza hata mara moja kuivamia Taiwan
 
Hiki kibibi ambacho kimekaribia kuhitimisha maisha yake hapa duniani kinaweza kusababisha maelfu ya watu wakiwemo watoto na vijana kufariki kama kitaendelea na chokochoko chake cha kulazimisha kuingia Taiwan kinyume na matakwa ya China ambayo ndiyo mmiliki halali wa Taiwan. China ilishaionya Marekani kuwa kama kibibi hicho (Nancy Pelosi) kitaamua kutaka kuingia Taiwan kinguvu basi Marekani itakuwa inataka kuchezea moto na lazima itaungua. Tishio hilo liliifanya Ziara ya Pelosi kutokuwa na kituo cha Taiwan kwenye ziara yake ya mashariki ya mbali.

Cha kushangazwa leo jioni Marekani imetangaza kuwa anatazamiwa kuingia Taiwan kesho jumanne!! China imesema imeziagiza ndege zake kukesha zikikizunguka kisiwa cha Taiwan kuhakikishga kuwa Pelosi hatii mguu wake Taiwan!! Marekani imesema inaelekeza meli zake zilizoko karibu na maeneo hayo zielekee huko ili kumlinda Pelosi!! Sijui hili picha litaishaje, lakini waswahili walisema mzaha mzaha hutumbua usaha1! Wote Pelosi na Biden ni wazee na hawana kiu kubwa sana ya kuendelea kuishi lakini kiburi cha kutaka kuonesha umwamba dhidi ya China inaweza kupelekera vita ya tatu ya dunia!! Mungu aepushe balaa hilo!!

Pelosi to visit Taiwan – CNN​

The top US official will be staying overnight in Taipei, the news network reports
CNN has confirmed from sources both in the US and in Taiwan that US House Speaker Nancy Pelosi plans to visit the self-governed island this week, despite objections from Beijing, which considers the island part of its territory.

A Taiwanese official said that Pelosi is expected to spend the night in Taiwan, but didn’t offer any details about the time of her expected arrival. A US official said the Pentagon was “working around the clock” to ensure the speaker's safety. Both spoke on condition of anonymity.

Maoni yangu: Marekani anatishia tu wala Pelosi hatothubutu kuingia Taiwan. Ikitokea kweli Pelosi akaingia Taiwan na China ikaingia baridi kutekeleza kitisho chake, China itadharaulika mbele ya dunia na mbele ya Marekani milele!! Japo China kukubali kudharaulika ndio itakuwa wokovu wa dunia kuepushwa na vita kuu ya tatu kwa sasa!!

View attachment 2311328
Kibibi hicho kinataka kuiletea balaa wakati chenyewe kimeshaifaidi dunia kwa miaka 82!!

View attachment 2311330

View attachment 2311333
Kibabu Biden cha miaka 79 chenyewe kimeshaifaidi dunia kwa miaka 79 kinataka kuleta kizazaa duniani kisababishe watoto wadogo na vijana kwa maelfu wapoteze maisha ili mradi tu kionekane kibabe mbele ya China!! Dunia ikipinge hiki kibibi na hiki kibabu kwa nguvu zote!! Wawaache na wenzao wafikishe ile miaka waliyofikia wao!!
Supa pawa wa zamani za kale ameshachomoa baada ya kupewa biti la nguvu la kibabe kutoka china. Sasa official kibibi kizee polosi hakita kanyaga ardhi ya Teiwani kama kilivyopanga.

Source.. Aljezeela news this time
 
Back
Top Bottom