Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

Korea na Iran Wana umwamba gani ? ,Huyu Iran wanaye mbikiri kila siku wazayuni , wazayuni wanaingia na kutoka kwake wanaspy na kuua nuclear scientists wake hapo hapo kwake ?
Acha kabisa!! Iran iko kwenye vikwazo lukuki vya kiuchumi lakini inatoboa kutengeneza nyuklia na hakuna wa kuizuia!! Iliitwanga makombora lukuki kambi ya kijeshi ya Marekani iliyopo Iraq ikiwa ni kulipiza kisasi kwa kamanda wake kuuliwa na wamarekani, na Marekani hakufanya kitu!! Imedondosha drones kibao za upelelezi za marekani!! Iran mbabe sana na Marekani anajua!!
 
1659460531404.png

Kibibi kinashuka kwenye ndege nchini Taiwan!! Pamoja na mkwara mzito wa mchina lakini MCHINA AMEKULA KONA!!
 
Leo mngeshinda sijui tungejificha wapi
Mbona Mimi mkuu sikuweka ushabiki wa kuamini China atafanya Jambo Mimi niliwadharau China tokea muda Sana . Ukichanganya na Bibi Pelosi ni mbishi na anamisimamo Sana namfahamu na namkubali tokea muda Sana . Mtu anachana hotuba ya Rais mbele yake huyo mtu lazima awe chuma haswa.
 
Hiki kibibi ambacho kimekaribia kuhitimisha maisha yake hapa duniani kinaweza kusababisha maelfu ya watu wakiwemo watoto na vijana kufariki kama kitaendelea na chokochoko chake cha kulazimisha kuingia Taiwan kinyume na matakwa ya China ambayo ndiyo mmiliki halali wa Taiwan. China ilishaionya Marekani kuwa kama kibibi hicho (Nancy Pelosi) kitaamua kutaka kuingia Taiwan kinguvu basi Marekani itakuwa inataka kuchezea moto na lazima itaungua. Tishio hilo liliifanya Ziara ya Pelosi kutokuwa na kituo cha Taiwan kwenye ziara yake ya mashariki ya mbali.

Cha kushangazwa leo jioni Marekani imetangaza kuwa anatazamiwa kuingia Taiwan kesho jumanne!! China imesema imeziagiza ndege zake kukesha zikikizunguka kisiwa cha Taiwan kuhakikishga kuwa Pelosi hatii mguu wake Taiwan!! Marekani imesema inaelekeza meli zake zilizoko karibu na maeneo hayo zielekee huko ili kumlinda Pelosi!! Sijui hili picha litaishaje, lakini waswahili walisema mzaha mzaha hutumbua usaha1! Wote Pelosi na Biden ni wazee na hawana kiu kubwa sana ya kuendelea kuishi lakini kiburi cha kutaka kuonesha umwamba dhidi ya China inaweza kupelekera vita ya tatu ya dunia!! Mungu aepushe balaa hilo!!

Pelosi to visit Taiwan – CNN​

The top US official will be staying overnight in Taipei, the news network reports
CNN has confirmed from sources both in the US and in Taiwan that US House Speaker Nancy Pelosi plans to visit the self-governed island this week, despite objections from Beijing, which considers the island part of its territory.

A Taiwanese official said that Pelosi is expected to spend the night in Taiwan, but didn’t offer any details about the time of her expected arrival. A US official said the Pentagon was “working around the clock” to ensure the speaker's safety. Both spoke on condition of anonymity.

Maoni yangu: Marekani anatishia tu wala Pelosi hatothubutu kuingia Taiwan. Ikitokea kweli Pelosi akaingia Taiwan na China ikaingia baridi kutekeleza kitisho chake, China itadharaulika mbele ya dunia na mbele ya Marekani milele!! Japo China kukubali kudharaulika ndio itakuwa wokovu wa dunia kuepushwa na vita kuu ya tatu kwa sasa!!

View attachment 2311328
Kibibi hicho kinataka kuiletea balaa wakati chenyewe kimeshaifaidi dunia kwa miaka 82!!

View attachment 2311333
Kibabu Biden cha miaka 79 chenyewe kimeshaifaidi dunia kwa miaka 79 kinataka kuleta kizazaa duniani kisababishe watoto wadogo na vijana kwa maelfu wapoteze maisha ili mradi tu kionekane kibabe mbele ya China!! Dunia ikipinge hiki kibibi na hiki kibabu kwa nguvu zote!! Wawaache na wenzao wafikishe ile miaka waliyofikia wao!!
Unadhani kaenda tu. Huo ni mkakati wa kujua nguvu ya mchina ili wajue yule putin atapata msaada wapi wakikiwasha vzr. Nawaza tu
 
Nahitimisha: Afadhali China ASINGEJIMWAMBAFAI, lakini suala la kupiga mkwara hewa limemwaibisha sana China!! Hata huko China wachina wenyewe watamdharau sana rais wao!! Mrusi hapo hana mshirika! Ukimtegemea mchina kukupa tafu atakuacha kwenye mataa!! Wababe waliobaki ni watatu tu: URUSI, KOREA YA KASKAZINI NA IRAN!!
Mkuu Korea ana ubabe gani.?? Irani anaubabe gani.? Hembu tuache mihemko kaka. Hakuna hao wakumzuia au kumhenyesha U.S.A hata putin anavutiwa muda tu maana kdgo ni msumbufu
 
Pelosi katua Taiwan, Chinese were bluffing
 
Mbona mababu zetu walikua wanafika,,,ukute haya magonjwa waliotuletea na michanjo yao ndio yanayosababisha.
ila kwetu kwa sasa ni mtihani sna maana kijana wa miaka 40 wanaitana wazee sijui hiyo 82 wataitana nani ?
 
Hiki kibibi ambacho kimekaribia kuhitimisha maisha yake hapa duniani kinaweza kusababisha maelfu ya watu wakiwemo watoto na vijana kufariki kama kitaendelea na chokochoko chake cha kulazimisha kuingia Taiwan kinyume na matakwa ya China ambayo ndiyo mmiliki halali wa Taiwan. China ilishaionya Marekani kuwa kama kibibi hicho (Nancy Pelosi) kitaamua kutaka kuingia Taiwan kinguvu basi Marekani itakuwa inataka kuchezea moto na lazima itaungua. Tishio hilo liliifanya Ziara ya Pelosi kutokuwa na kituo cha Taiwan kwenye ziara yake ya mashariki ya mbali.

Cha kushangazwa leo jioni Marekani imetangaza kuwa anatazamiwa kuingia Taiwan kesho jumanne!! China imesema imeziagiza ndege zake kukesha zikikizunguka kisiwa cha Taiwan kuhakikishga kuwa Pelosi hatii mguu wake Taiwan!! Marekani imesema inaelekeza meli zake zilizoko karibu na maeneo hayo zielekee huko ili kumlinda Pelosi!! Sijui hili picha litaishaje, lakini waswahili walisema mzaha mzaha hutumbua usaha1! Wote Pelosi na Biden ni wazee na hawana kiu kubwa sana ya kuendelea kuishi lakini kiburi cha kutaka kuonesha umwamba dhidi ya China inaweza kupelekera vita ya tatu ya dunia!! Mungu aepushe balaa hilo!!

Pelosi to visit Taiwan – CNN​

The top US official will be staying overnight in Taipei, the news network reports
CNN has confirmed from sources both in the US and in Taiwan that US House Speaker Nancy Pelosi plans to visit the self-governed island this week, despite objections from Beijing, which considers the island part of its territory.

A Taiwanese official said that Pelosi is expected to spend the night in Taiwan, but didn’t offer any details about the time of her expected arrival. A US official said the Pentagon was “working around the clock” to ensure the speaker's safety. Both spoke on condition of anonymity.

Maoni yangu: Marekani anatishia tu wala Pelosi hatothubutu kuingia Taiwan. Ikitokea kweli Pelosi akaingia Taiwan na China ikaingia baridi kutekeleza kitisho chake, China itadharaulika mbele ya dunia na mbele ya Marekani milele!! Japo China kukubali kudharaulika ndio itakuwa wokovu wa dunia kuepushwa na vita kuu ya tatu kwa sasa!!

View attachment 2311328
Kibibi hicho kinataka kuiletea balaa wakati chenyewe kimeshaifaidi dunia kwa miaka 82!!

View attachment 2311333
Kibabu Biden cha miaka 79 chenyewe kimeshaifaidi dunia kwa miaka 79 kinataka kuleta kizazaa duniani kisababishe watoto wadogo na vijana kwa maelfu wapoteze maisha ili mradi tu kionekane kibabe mbele ya China!! Dunia ikipinge hiki kibibi na hiki kibabu kwa nguvu zote!! Wawaache na wenzao wafikishe ile miaka waliyofikia wao!!
Hakuna vita yoyote labda kwenu huko ikwiriri
 
Mbona Urusi alipiga biti atayepeleka silaha kukiona, ila yeye ndo anakiona
alisema atakayeingilia sio atakayepeleka silaha,......nadhani hukusikia vizuri,
hata hivyo urusi wana nguvu kijeshi pengine hata zaidi ya US (maana US bila NATO sijui kama nguvu za kutisha).......

Russia toka enzi za USSR anapigana vikumbo na west (NATO), na hata NATO iliundwa kwa sababu wanamwogopa! hakuna nchi peke yake inaweza simama na mrusi, haipo!
 
Back
Top Bottom